Kwanini zaidi ya 75% ya mawakili hawajakwenda Arusha kupiga kura TLS? Kwanini vijana wamepungua? Nini nafasi ya Teknolojia kupiga kura?

Kwanini zaidi ya 75% ya mawakili hawajakwenda Arusha kupiga kura TLS? Kwanini vijana wamepungua? Nini nafasi ya Teknolojia kupiga kura?

Tasnia ya sheria iliharibiwa na watu wawili.

Wameiharibu mno.
Wewe sema tu kuwa ni Tundu Lisu na Fatma Karume unawaogopa kwani?
Wanapogombea wao walikua wanajaa mawakili toka Kila eneo Leo wao wamestaafu wanataka kukwamisha zoezi na haya ndiyo madhara ya kuchanganya siasa na Sheria.
 
Rais wako rais wetu we bwege nini.
Ndio aanze kujiona rais wa JMT.
sijawai kuona mnyaturu mshamba kama yule.
Mbona wenzie wanashika hicho cheo muda ukifika wanaachia bila mikwaruzo yoyote.
Acha hasira za mimba changa, Lissu aligoma kuachia cheo!
 
TLS usimfananishe na chama Cha walimu mzee. Uliza uambiwe.
Chama kisichokuwa na mchango kwa jamii na kuishia kuwa genge la mapuppets ya ccm ni heri tu mmesusia uchaguzi wao.

Endeleeni kuwa kama condom, ccm wakiisha watumia vya kutosha watawatupia kt shimo la choo na kuwaflashu
 
TLS ina wanachama zaidi ya elfu tano hai, waliopiga kura ni takribani elfu moja jambo ambalo linaakisi zaidi ya asilimia 75 hawakujitokeza kwenda kuchagua rais wao.

Lakini pia kati ya waliojitokeza kwa tuliopo Arusha, mawakili wenye umri zaidi ya miaka 45 wanaonekana wamejaa AICC kuliko vijana ambao kipindi cha nyuma walikuwa wengi.

Je, ni kweli kwamba mawakili wengi wamekosa uwezo wa kiuchumi? Kama asilimia 75 wana ukwasi finyu taaluma hii inakwepaje makanjanja?

Kwa umaskini huu si wakati wa kuwaza kutumia Teknolojia kupiga kura kuwapa haki mawakili wasio na fedha za nauli?
Uchumi ni shida labda chama kiwalipie ghalma za malazi na chakula
 
Back
Top Bottom