Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Navuta tuUnafanyaje ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni HR
Maisha yamebadilika,ugumu Ni kwa wote hivyo kijana akipata mwanamke mwenye nafuu kiuchumi anashukuru Ila kumbukeni Ni nyie wenyewe mlipenda 50% so hata katika maisha tubebeni.kikubwa mupendane na isiweyupo kimaslahi binafsi.Kama mwanamke ukiskia boyfriend wako sifa ya kwanza anayoitoa kwa washkaji wenzake kwamba kwenu pesa zipo unajiskiaje? Maana ndiyo trend kwa sasa au kuhudumia kumehamia kwa wanawake! Mkienda date ya kwanza unamwonyesha ni jinsi gani kwenu pesa ipo!
Miaka ya nyuma kidogo ukiwasimulia rafiki zako wasifu wa mpenzi wako unaanza na urembo, tabia etc etc ila sasa sifa ya Kwanza ni kwao pesa zipo.
Sasa ambao pesa kwao hazipo mnawaachia nani mazee?
Siku hizi vijana wa kiume washaanza kufikiria kama wao, impact hiyo ya samo la usawa na kijinsia na 50/50 inayo fundishwa mashule, vijana wa kiume washaanza kujiona sawa na wanawake kimtazamo na kimawazo so vijana lile somo wamilielewa.Kama mwanamke ukiskia boyfriend wako sifa ya kwanza anayoitoa kwa washkaji wenzake kwamba kwenu pesa zipo unajiskiaje? Maana ndiyo trend kwa sasa au kuhudumia kumehamia kwa wanawake! Mkienda date ya kwanza unamwonyesha ni jinsi gani kwenu pesa ipo!
Miaka ya nyuma kidogo ukiwasimulia rafiki zako wasifu wa mpenzi wako unaanza na urembo, tabia etc etc ila sasa sifa ya Kwanza ni kwao pesa zipo.
Sasa ambao pesa kwao hazipo mnawaachia nani mazee?
Hahhahhha ukiniuliza hivi naanza kukupotezea yaan [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Ni kwasababu hao ndo wenye upendo wa kweli.. kwao pesa ipo so most of them huwa wanataka upendo tuu..
Sio Hawa wengine unampa upendo lakini kunamambo ukikwama kumtimizia la pesa anaona hufaii
So tusipangiane.. ingawa kiukweli wanawake wengi wasio na pesa kitandani wanajita balaa.. hao wanafaa kuwa side chicks tuu..[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Itabidi niombe ulinzi..[emoji28][emoji28][emoji28]
Hahahahaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28]Kuna mkaka mmoja nilikutana nae siku za nyuma akajifanya amenipenda ghafla nikaanza kuingia lain namba ya simu nikampa.
Baada ya kama week mbil za mawasiliano ya hapa na pale nikamwambia naenda mji flani kesho kwenye interview akaniombea kheri nikaenda.
Baada ya siku kadhaa akanichek unarudi lin nikamwambia kesho akaniambia sawa usiahau zawadi sijakaa sawa ananitumia picha ya Tshirt kali aliipiga picha kwenye duka moja hivi eti nataka zawadi yenyewe iwe hio t-shirt.
Sikuamini nilimchukia hapo hapo nikamwambia naomba tuachane mpaka leo staki hata kumuona.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unafanya kazi wapi? Ukiniuliza hili swali nakutukana
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaahHahahahaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28]
Anaomba zawadi, ila wanaume
Mi Kuna mmoja alikuwa ananiomba pafyume ya 230k...mpaka sasa
Huwaga namuangaliaga simmalizi[emoji2960]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Ni ujinga na upumbavu uliopitiliza kutaka kujua kipato cha msichana.Kwenye interview lazima wakuulize haka ka swali