"Kwao pesa zipo" Msemo unaoshamiri kwa kasi kwa vijana wa kiume

"Kwao pesa zipo" Msemo unaoshamiri kwa kasi kwa vijana wa kiume

Vinaja tunaogopa kugeuzwa tegemezi wa familia zaid ya 3.
Ukishamuweka ndani huyo na una kikazi cha kueleweka basi tegemea wakwe, wadogo zake ama dada zake walioachika huko, watoto wa ndugu zake wote watategemea ndoto xao zitimizwe na wewe.

Wadada waliotoka kwenye kipato hizi mbilinge huwaga hazipo ama zipo kwa uchache tu.

Kina dada tafuteni pesa muolewe.
 
tuvijana twa miaka ya 2000 ndo unatotuzungumzia hapo,,,,,sisi wengine sidhani kama tunahusika na kujibu lolote hapa.

hatuna hulka chafu hizo
 
Life is hard enough as it is.Sasa na mwenza nae awe pangu pakavu tia mchuzi huku na wewe uwe pangu pakavu tia mchuzi mambo hayaendi kabisa[emoji16][emoji16][emoji16]
 
lazima tuseme hivyo na sio kwa ubaya maana huwa hawaba mizinga ya kijinga, sio kama wenzangu na mie ambae akikukubali tu, tayari shida zishaanza utasikia mara sina hiki wala kile
 
Daby Hivi ndugu yako Nyani Ngabu humu

Anyway kuwa na hela kwenu sio kama ni zako mana mzee wangu kashaandika urithi na me sipo mana najua alitafuta zake na me ntatafuta zangu.

Waache waseme tu hivyo pasipo kujua nature ya familia anayo ishi
 
Kama mwanamke ukiskia boyfriend wako sifa ya kwanza anayoitoa kwa washkaji wenzake kwamba kwenu pesa zipo unajiskiaje? Maana ndiyo trend kwa sasa au kuhudumia kumehamia kwa wanawake! Mkienda date ya kwanza unamwonyesha ni jinsi gani kwenu pesa ipo!

Miaka ya nyuma kidogo ukiwasimulia rafiki zako wasifu wa mpenzi wako unaanza na urembo, tabia etc etc ila sasa sifa ya Kwanza ni kwao pesa zipo.

Sasa ambao pesa kwao hazipo mnawaachia nani mazee?
Maisha yamebadilika,ugumu Ni kwa wote hivyo kijana akipata mwanamke mwenye nafuu kiuchumi anashukuru Ila kumbukeni Ni nyie wenyewe mlipenda 50% so hata katika maisha tubebeni.kikubwa mupendane na isiweyupo kimaslahi binafsi.
 
Msemo wa kutetea umarioo na kukimbia kivuli Cha uwajibikaji
 
Kama mwanamke ukiskia boyfriend wako sifa ya kwanza anayoitoa kwa washkaji wenzake kwamba kwenu pesa zipo unajiskiaje? Maana ndiyo trend kwa sasa au kuhudumia kumehamia kwa wanawake! Mkienda date ya kwanza unamwonyesha ni jinsi gani kwenu pesa ipo!

Miaka ya nyuma kidogo ukiwasimulia rafiki zako wasifu wa mpenzi wako unaanza na urembo, tabia etc etc ila sasa sifa ya Kwanza ni kwao pesa zipo.

Sasa ambao pesa kwao hazipo mnawaachia nani mazee?
Siku hizi vijana wa kiume washaanza kufikiria kama wao, impact hiyo ya samo la usawa na kijinsia na 50/50 inayo fundishwa mashule, vijana wa kiume washaanza kujiona sawa na wanawake kimtazamo na kimawazo so vijana lile somo wamilielewa.

Hapo tuwalaumu wanaharakati kwani wana upiga mwingi katika kuwaharibu vijana kiume.
 
Ni kwasababu hao ndo wenye upendo wa kweli.. kwao pesa ipo so most of them huwa wanataka upendo tuu..

Sio Hawa wengine unampa upendo lakini kunamambo ukikwama kumtimizia la pesa anaona hufaii

So tusipangiane.. ingawa kiukweli wanawake wengi wasio na pesa kitandani wanajita balaa.. hao wanafaa kuwa side chicks tuu..[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Itabidi niombe ulinzi..[emoji28][emoji28][emoji28]

Upewe ulinzi mkuu...
 
Kuna mkaka mmoja nilikutana nae siku za nyuma akajifanya amenipenda ghafla nikaanza kuingia lain namba ya simu nikampa.

Baada ya kama week mbil za mawasiliano ya hapa na pale nikamwambia naenda mji flani kesho kwenye interview akaniombea kheri nikaenda.
Baada ya siku kadhaa akanichek unarudi lin nikamwambia kesho akaniambia sawa usiahau zawadi sijakaa sawa ananitumia picha ya Tshirt kali aliipiga picha kwenye duka moja hivi eti nataka zawadi yenyewe iwe hio t-shirt.
Sikuamini nilimchukia hapo hapo nikamwambia naomba tuachane mpaka leo staki hata kumuona.
 
Hahahahaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28]

Anaomba zawadi, ila wanaume

Mi Kuna mmoja alikuwa ananiomba pafyume ya 230k...mpaka sasa

Huwaga namuangaliaga simmalizi[emoji2960]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
 
Back
Top Bottom