Kweli ICC inatisha. Hadi Sirro kasema watampa Lissu ulinzi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa umepanik kweli kweli, kunywa maji basi
 
Nyumbu ni nyumbu tu.
kwanza kabla ya uchaguzi mlianza kututishia Armsatdam,mkaja na Jaffrey Smith,mkaja tena na kaulizenu za"mabalozi wamesema"
baada ya uchaguzi mkaanza na kauli za maandamano nchi nzima likabuma,mkaanza na kauli za"E.U wamesema".sasa mmeamia na ICC.
Rais JPM keshaapishwa,watanzania wanachapa kazi na maisha yanaendelea.
 
You're right, lile tukio limetuvua nguo kabisa kabisa...!!
Ni aibu sana
 
Naskia hadi wazee wa kwa mzee wanatumia vpn 😂😂😀
Imagine huu uzwazwa. Mtu anafunga internet harafu yeye mwenyewe anaanza kutweet na kuchungulia JF watu wanasemaje huku akiwa anatumia VPN
 
Mkuu,

Wewe sio mtalaamu wa uchambuzi wa kauli ila ni shabiki wa itikadi kinzani zilizotopea hasa unaposikia Lissu na Polisi (You are absolutely too much addicted with stereotype passion and pseudo politics that impairs independent personal analytical decision)

Kwanza madai yako ni speculative, biased and polarized in favour of your preference. Huwezi kudai kwamba eti kusema polisi itampatia huyo mkimbizi deko kwamba nni defensive mechanism ili ICC isiendelee na mpango wenu wa ndoto ya mchana.

In security iwhat was appealed by IGP is termed as a "Bed Bugs Sweet Trap"

Mwenye masikio na asikie, mwenye macho na aone, mwenye ufahamu na afahamu, mwenye maarifa na ang'amue.
 
Hivi wakishakutwa na hatia watuhumiwa watasokotwa kwa adhabu ipi.!
 
So unamaanisha wanataka wam trap then wamsepeshe kuzimu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…