Kweli ICC inatisha. Hadi Sirro kasema watampa Lissu ulinzi

Amani iwe nanyi wadau.

Sasa nimeanza kuamini kuwa kumbe suala la ICC ni tishio kubwa kwa serikali ya awamu ya Tano, pamoja na kebehi za wanalumbumba humu........
Wote hawa kushindwa kuchukua hatua muda wote, huo peeke ya faa kushitakiwa kwa uzembe wakushindwa kutkmiza majukumu yao. Baadae mashitaka juu ya kushirimi ama kutaka kushiriki katika uovu uliotendeka.
 
Warudishe network tuzitiririshe video za mauaji ili dunia ijue tunalia na ushahidi mikononi. Lisu alishasema hatuna kitu kinaitwa jiwe ila boflo lililopakwa rangi ya jiwe.
Hapa mbona asubuhi kbs!! Tusubiti muda ufike tutaongea lugha moja.
 
Siro atulie tu asubirie Safari ya kwenda The Hague , Mhutu kaishamponza na kawaponza wengi sana na ataenda na wengi , wajiandae kupanda ndege yet na kina Mambosasa , Chakubanga .
 
Issue ipo very criticles kwa sababu wakati uchaguzi unaendelea na kampeni zikiwa zinafanyika huenda kulikuwepo na kamati za siri maalumu zilizokuwa zikirekodi kila tukio from A to Z hivyo huenda [[upinzani ulijiandaa mno ki kesi zaidi kuliko hata matokeo ya uchaguzi]] tusije kushangaa yapo mambo mengi zaidi na pengine yamesha fikishwa huko in video hivyo pengine kumpa|kuwapa wakati mgumu mno watu watakao kuwa wanaenda katika mahakama hizo jinsi ya kushindana na kesi zenyewe kwa jinsi zilivyoshikwa na KUNDI LA WAPENDA KESI
 
CCM wakienda ulaya kuomba omba misaada misaada ulaya huwaita wazungu wafadhili wahisani lakini hao hao wazungu wakikataa ujinga upumbavu wa CCM ndipo CCM hugeuka na kuwaita wanaume wenzenu mabeberu utazani nyinyi CCM ni mbuzi jike
 
Nyumbu ni CCM kwani hata mbugani nyumbu ni wengi kama CCM, maandamano tarehe 2 lakini nyinyi CCM tarehe 1 mkaenda kuwakamata viongozi wa chadema nani angehamasisha maandamano? ICC mtakwenda kwani ushahidi wa video upo unyama wote uliofanyika Zanzibar na sehemu zingine Tanganyika upo ICC lazima iwanyooshe muache ushetani wenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…