Kweli ICC inatisha. Hadi Sirro kasema watampa Lissu ulinzi

Wazee wa siasa za upepo huu nao utapita kama ni yeye alivyopita na sasa anakula kuku Brussels.
 
Hili bunge la EU ni warning tu kuonyesha ICC inafuata,hata mwinyi Zanzibar kujipendekeza kuwapa nafasi ACT ni kuficha aibu iliyotokea zenji
CCM Zanzibar wapo busy kugawa Rushwa ya vyeo kupoza machungu ya unyanyasaji wa Polisiccm
 
Lema naye awarudishe watoto waje waendelee na masomo!
Bwashe mbona watoto wa mitaani ambao wamekosa access ya shule ni wengi nchi hii lakini hamjawahi kuonesha simpathy nao? Leo mnahuruma gani na watoto wa Lema? Attempt ya kuuawa Lissu ilikuwa wazi angewaacha watoto wake wakiwa lakini hamkuonesha simpathy. Leo kuna nini na Lema? Tutafakari kwa pamoja kumtambua shetani!
 
Hivi zilikuwa nchi gani? Ujerumani, na nchi gani? Vile wazeee wa DW nijulisheni.
 
Hii ndio ile umekwenda kwa Mtu unagonga geti kwa ndani unawaona Mijibwa kadhaa iliyoshiba, yote yamekunja ndita yanakuangalia, kisha Dada wa kazi dirishani anafungua pazia anakwambia ingia tu hao wala hawana shida.
 
Dada/kaka nitumie plz naahidi kukuombea kwa Mungu clip ifike pasipo mkwamo wa Internet
Naona sky eclat jinsia yake haijulikani.
NB: Hebu fafanueni haya mambo ya bahari kuu,

Nani aliona hiyo boti anaweza kuisaidia mahakama?

Watanzania wenzangu, tuombe MUNGU mambo mengine yapite salama,

Lakini pia tupunguze ujuaji.
 
Hivi wewe unaposha kwa faida ya nani? JF lazima nayo ishughulikie wazushi. Tunachoka
 
Hili kwa kweli limeibua maswali mengi.

Hata kama mimi si mpinzani lakini utata unapojitokeza kama huu, serikali iwe makini kutoa maelezo kwa wakati kwa wananchi.

Halafu IGP anaposema Lissu atapewa ulinzi akirudi-anawindwa na nani?
Is there a State within a State?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…