Kweli Iran bado Mtoto mdogo sana kwenye game

Kwanini hawajapenda kutumia za mashoga zao china na russia, NB jana nimeona hata zile ambulance ni BENZ ya mjerumani.
 
What a terrible mistake ...!! Wanaume wamebaki Putin na Kim Jong. Ila kama Mosad wanahusika wapewe maua yao. Iran, Son, What Happened? Where Where You?!
 
Ni jambo LA kushqngaza, unambembaje Rais kwenye chopper mkweche!? Hv huwa hawaangalii jinsi Rais mstaafu wa USA Trump, anavyosafiri na mandinga yenye heshima? Hata hqpa kwetu Shabby buss service hatumii mabasi mpaka yachakae, bsada ya muda anauza,sasa hawa Persians na mbwembwe zao zote za kutengeneza drone na kuiuzia russia, wameshindwa kuwa na ndege special ya raisi? Mnapandisha mkweche wenye miaka 45!!!
 
Kwanini wasinunue ndege kutoka China na Urusi ?
 
Hii helicopter imetengenezwa mwaka 1968 Naona comment nyingi wamekariri mwaka 78.

Hii ni ngarangara kwelikweli
 

Hii ni game ya kikubwa, Iran wamefyata mkia kuona kumbe walikuwa wanacheza michezo ya hatari wanasingizia hali mbaya ya hewa.

Wakubwa wameuchuna kiimya kama siyo wao.

TOKA MAKTABA:
Hutasikia Mossad kitengo cha ujasusi wa nje, wala Aman kitengo cha utambuzi / military intelligence (MI) au Shin Bet usalama wa ndani wa Israel wakisema lolote lililotokea leo (jana) katika msafara wa helicopter 3 zilizokuwa katika msafara wa Rais Raisi wa Iran.

Hata wachokozwe vipi si Benjamin almaaruf (Bibi) Netanyahu wala hizo idara tatu muhimu za usalama Israel zikitia neno. Ni siri kubwa isiyotakiwa kufahamika na yoyote idarani wala wanasiasa waliotoa idhini, operesheni itabaki katika makabrasha yaliyofungiwa kwa fungua pacha, kufuli na Code kwa miaka kibao kwa ajili ya kuficha taarifa hizo muhimu kwa usalama wa Israel.

Hata Iran ikingamua kuna mkono wa nje unahusika nao watajifanya ni ajali kwa kuwa michezo hii ya kijasusi haihitaji hasira wala mihemuko bali kujifunza wapi wamejikwaa au kufanikiwa, kimya kimya bila kupiga kelele za kuumia huku wakijikakamua kuwa siyo mkono wa maadui bali kazi ya Mungu huku lakini wanaugulia maumivu na kuwajibishana kwa siri
 
Huu umbeya ndio mbaodanganyana huko Sunday school.
 
Myahudi kikosi cha Hamas kakishindwa akapigane na Iran πŸ˜„

Misalaba ina lana nyie wacheni huoni wachawi wanaitumia hata kina diamond wamejua misalaba ni njia ya shetani πŸ˜„
 
Hiyo ndege wameitumia muda mrefu sana mkuu.

Ni ajali tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…