BABA Dillish
JF-Expert Member
- Jan 20, 2016
- 2,362
- 3,252
Kwakweli ñi ujimaMtu anataka HAKI Fulani alafu anachagua kiongozi ambaye sio mpiganaji wa Haki (mwanaharakati)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwakweli ñi ujimaMtu anataka HAKI Fulani alafu anachagua kiongozi ambaye sio mpiganaji wa Haki (mwanaharakati)
Kwa mfano kura zikiibwa uchaguzi mkuu, mtaandamana kutaka sheria nzuri au kuipinga serikali inayoelekea kuundwa ? 2929 Lissu aliitisha maandamano baada ya uchaguzi na hakuna aliyejitokeza na yeye kwa mdomo wake alisema "watanzania hawapo tayari kudai haki yao"Unapinga serikali kuunda serikali?
Au unapinga matendo ya serikali ili sheria ziundwe nzuri
Ndio wakae wajitathmini. Kama Lissu atashindwa hiyo nafasi namshauri ahame chama na atapata support kubwa sana hasa ya vijana na wazee wanaojielewa katika hiko chama kipya.Lisu ni mpigania Haki (mwanaharakati) CHADEMA haitaki kuongozwa na mpigania Haki (mwanaharakati)lakini kutwa kuchwa hudai wanaonewa, wanaibiwa Kura, na kufanya maandamano
Very well argued, lakini nina uhakika, wale wajinga, wanafiki na machawa, hawataelewa kitu, kwa sababu akili zao, maarifa yao, na hekima zao, vyote vimeliwa na kumezwa na unafiki na uchawa, ndiyo maana hakuna chawa au mnafiki, mwenye akili timamuKWELI KUNA WANACHADEMA HAMNAZO. UTAWEZAJE KUPIGANIA HAKI BILA KUWA NA KIONGOZI MWANAHARAKATI?
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Kwa kweli Wanachadema wamenishangaza Sana. Uchaguzi huu umeniongezea uelewa kuhusu CHADEMA inawatu wa aina gani.
Hivi mtu anawezaje kupambania HAKI, ukombozi pasipo kuwa mwanaharakati?
Huwezi tenganisha ukombozi na uanaharakati never ever.
Kama kweli CHADEMA ni chama cha ukombozi kwa wananchi, kupigania HAKI na mabadiliko ya taifa letu haiwezekaniki kuepuka uanaharakati.
Upinzani ambao kimsingi unalenga kupigania ukombozi wa haki za watu kama HAKI za kisiasa, HAKI za kujieleza, Katiba mpya, kukomesha mifumo kandamizi; hauwezi kuitwa chama cha maendeleo bila kuwa chama cha uanaharakati.
Huwezi kuipata Demokrasia bila harakati. Huwezi.
Baada ya ukombozi chama ndio hugeuka kuwa chama cha siasa. Kwa sababu kunakuwa na uwanja sawa, HAKI sawa katika nchi.
Lakini CHADEMA hakitaki kiongozi mwanaharakati alafu wakati huohuo ati wanaitisha maandamano ya kudai Katiba, hivi mmelogwa ninyi au?
CHADEMA hakihitaji kiongozi mwanaharakati lakini kila siku kinaimba kinataka tume Huru ya uchaguzi. Hivi ninyi ni nyumbu?
CHADEMA hakihitaji kiongozi mwanaharakati lakini kila siku kinahangaika kupigania HAKI ya kufanya mikutano ya siasa kwa Uhuru kama wafanyavyo ndugu zao ccm. Hivi ninyi ni kenge Maji?
CHADEMA kila mara wanawekwa korokoroni, wanatekwa, na wengine wameuawa, wanapigania HAKI uchunguzi wa Haki ufanyike lakini hayohyo majitu yanakuambia hayataki kiongozi mwanaharakati! Hivi wanafikiri kwa kutumia makamasi au kitu gani?
Unapopigania Jambo lolote ambalo ni HAKI yako wewe tayari ni mwanaharakati.
Ikiwa upo kwenye chama ambacho kinapigania HAKI Fulani lakini hutaki kiongozi mpigania(mwanaharakati). Ujue wewe unaitwa Nyumbu.
Yaani hujielewi, huelewi nini unafanya, huelewi upo wapi.
Naachia maiki. Nawatakia maandalizi Mema ya sikukuu ya Christmas
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Hakuna struggle rahisi, sio kwamba wanaonewa, ila walioko madarakani wanafanya wanachoona ni sahihi, na CDM wanaona si sahihi, let them pull kuna sehemu watakutana. May be wakisema hoja yao ku-counter za watawala, wewe unaita malalamiko.Sas kwa nini kinalalamika kinaonewa?
Very well argued, lakini nina uhakika, wale wajinga, wanafiki na machawa, hawataelewa kitu, kwa sababu akili zao, maarifa yao, na hekima zao, vyote vimeliwa na kumezwa na unafiki na uchawa, ndiyo maana hakuna chawa au mnafiki, mwenye akili timamu
Katika mchakato wa Slaa kuondoka alifanya press conference akiwa na vyombo vikubwa vya habari vile vile ambavyo tunavishangaa kwa nini jana vilikuwa live kwa mwenyekiti....Slaa aliondoka baada ya kuona viongozi wenzake sio watetezi wa Haki kama wanavyojitambulisha.
Wapo kwaajili ya matumbo Yao.
Unadhani Lissu alikosea kusema vile kuhusu watanzania? Ni swala la wananchi kuelewa haki zao, walipotoka na walipo comparing to level of economic growth and economic development since independence na morale kwa ujumla.Kwa mfano kura zikiibwa uchaguzi mkuu, mtaandamana kutaka sheria nzuri au kuipinga serikali inayoelekea kuundwa ? 2929 Lissu aliitisha maandamano baada ya uchaguzi na hakuna aliyejitokeza na yeye kwa mdomo wake alisema "watanzania hawapo tayari kudai haki yao"
Kumbe wewe ndio leo umeyajua haya manyumbu?。Nailaumu CHADEMA kuwa hawajui wanataka niniKWELI KUNA WANACHADEMA HAMNAZO. UTAWEZAJE KUPIGANIA HAKI BILA KUWA NA KIONGOZI MWANAHARAKATI?
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Kwa kweli Wanachadema wamenishangaza Sana. Uchaguzi huu umeniongezea uelewa kuhusu CHADEMA inawatu wa aina gani.
Hivi mtu anawezaje kupambania HAKI, ukombozi pasipo kuwa mwanaharakati?
Ikiwa upo kwenye chama ambacho kinapigania HAKI Fulani lakini hutaki kiongozi mpigania(mwanaharakati). Ujue wewe unaitwa Nyumbu.
Yaani hujielewi, huelewi nini unafanya, huelewi upo wapi.
Robert Heriel
Nyie hamna monopoly ya ukweli wala thinkingVery well argued, lakini nina uhakika, wale wajinga, wanafiki na machawa, hawataelewa kitu, kwa sababu akili zao, maarifa yao, na hekima zao, vyote vimeliwa na kumezwa na unafiki na uchawa, ndiyo maana hakuna chawa au mnafiki, mwenye akili timamu
Kuwa calm kwake ni kwa sababu ni Mnufaika wa Mfumo, Hana Busara kama tulivyokuwa tunadai!Uanaharakati ni sawa ila kuwa na kiongozi mwanaharakati ni kuitumbukiza chama shimoni. Lissu kama mwanaharakati hawezi kuwa chairman na chama kikawa imara, huko SA tumeona, uanaharakati ni mzuri ila uwe na blend ya watu calm na composed kama Mbowe.
Nakubali muda wa Mbowe umepita, ila ukishaweka activist kuwa chairman unakiuwa chama.
Hakuna struggle rahisi, sio kwamba wanaonewa, ila walioko madarakani wanafanya wanachoona ni sahihi, na CDM wanaona si sahihi, let them pull kuna sehemu watakutana. May be wakisema hoja yao ku-counter za watawala, wewe unaita malalamiko.
Sasa Boni ni kiongozi ama mwanaharakati?!Chadema sio Hamas, Hezbollah au Jamaa Al-Islamiyah. Chadema ni taasisi ya kisiasa, sio kiharakati
Unyumbu wa kisiasa ni tabia ya wanaopewa dhamana kuahirisha kufikri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kulitumikia kundi fulani kwa maslilahi binafsi na uoga wa kuigiza kwa viongozi, (unafiki), tuseme kuahirisha kufikiri kizalendo, (kujizima data)KWELI KUNA WANACHADEMA HAMNAZO. UTAWEZAJE KUPIGANIA HAKI BILA KUWA NA KIONGOZI MWANAHARAKATI?
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Kwa kweli Wanachadema wamenishangaza Sana. Uchaguzi huu umeniongezea uelewa kuhusu CHADEMA inawatu wa aina gani.
Hivi mtu anawezaje kupambania HAKI, ukombozi pasipo kuwa mwanaharakati?
Huwezi tenganisha ukombozi na uanaharakati never ever.
Kama kweli CHADEMA ni chama cha ukombozi kwa wananchi, kupigania HAKI na mabadiliko ya taifa letu haiwezekaniki kuepuka uanaharakati.
Upinzani ambao kimsingi unalenga kupigania ukombozi wa haki za watu kama HAKI za kisiasa, HAKI za kujieleza, Katiba mpya, kukomesha mifumo kandamizi; hauwezi kuitwa chama cha maendeleo bila kuwa chama cha uanaharakati.
Huwezi kuipata Demokrasia bila harakati. Huwezi.
Baada ya ukombozi chama ndio hugeuka kuwa chama cha siasa. Kwa sababu kunakuwa na uwanja sawa, HAKI sawa katika nchi.
Lakini CHADEMA hakitaki kiongozi mwanaharakati alafu wakati huohuo ati wanaitisha maandamano ya kudai Katiba, hivi mmelogwa ninyi au?
CHADEMA hakihitaji kiongozi mwanaharakati lakini kila siku kinaimba kinataka tume Huru ya uchaguzi. Hivi ninyi ni nyumbu?
CHADEMA hakihitaji kiongozi mwanaharakati lakini kila siku kinahangaika kupigania HAKI ya kufanya mikutano ya siasa kwa Uhuru kama wafanyavyo ndugu zao ccm. Hivi ninyi ni kenge Maji?
CHADEMA kila mara wanawekwa korokoroni, wanatekwa, na wengine wameuawa, wanapigania HAKI uchunguzi wa Haki ufanyike lakini hayohyo majitu yanakuambia hayataki kiongozi mwanaharakati! Hivi wanafikiri kwa kutumia makamasi au kitu gani?
Unapopigania Jambo lolote ambalo ni HAKI yako wewe tayari ni mwanaharakati.
Ikiwa upo kwenye chama ambacho kinapigania HAKI Fulani lakini hutaki kiongozi mpigania(mwanaharakati). Ujue wewe unaitwa Nyumbu.
Yaani hujielewi, huelewi nini unafanya, huelewi upo wapi.
Naachia maiki. Nawatakia maandalizi Mema ya sikukuu ya Christmas
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Uanaharakati ni sawa ila kuwa na kiongozi mwanaharakati ni kuitumbukiza chama shimoni. Lissu kama mwanaharakati hawezi kuwa chairman na chama kikawa imara, huko SA tumeona, uanaharakati ni mzuri ila uwe na blend ya watu calm na composed kama Mbowe.
Nakubali muda wa Mbowe umepita, ila ukishaweka activist kuwa chairman unakiuwa chama.
Unyumbu wa kisiasa ni tabia ya wanaopewa dhamana kuahirisha kufikri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kulitumikia kundi fulani kwa maslilahi binafsi na uoga wa kuigiza kwa viongozi, (unafiki)
By, Ipyana Haraba
Human herding in politics is an occurrence of entrusted people suspending their individual reasoning because of flattering, working towards group objectives and hypocrite
By, Ipyana Haraba
Kumbe wewe ndio leo umeyajua haya manyumbu?。Nailaumu CHADEMA kuwa hawajui wanataka nini
P
Mkuu mbona nawe umeonyesha wazi unafiki baada ya Mbowe kusema atagombea nyuzi hazikauki. Mnatakiwa mlienzi neno demokrasia kama lilivyo katika jina la chama. Box la kura liamue.Watanzania sio wajinga.
Huwezi jiunga kupigana ukiongozwa na watu wanafiki.
Mbona wakati wa Slaa watu walikuwa wanatoka