Kweli kuna Wanachadema Hamnazo. Utawezaje kupigania haki bila kuwa na kiongozi mwanaharakati?

Kwa mfano kura zikiibwa uchaguzi mkuu, mtaandamana kutaka sheria nzuri au kuipinga serikali inayoelekea kuundwa ? 2929 Lissu aliitisha maandamano baada ya uchaguzi na hakuna aliyejitokeza na yeye kwa mdomo wake alisema "watanzania hawapo tayari kudai haki yao"

Watanzania hawawezi kudai HAKI Zao wakiongozwa na watu wanafiki wanaoweza kuwauza na kuwatelekeza Muda wowote.

Hivi Watanzania wataingia barabarani kwa kuingizwa na CHADEMA ambayo iliwaambia Lowasa ni fisadi kwa miaka nenda Rudi alafu mwisho wa siku wakamsafisha? Hao Watanzania ni wajinga kiasi hicho?

Watanzania waingizwe barabarani na watu ambao Leo wanaimba CCM ni wabaya alafu Kesho unawakuta wamechukua kadi za CCM na kujiunga CCM? Hao Watanzania ni manyumbu kiasi hicho?
 
Mkuu mbona nawe umeonyesha wazi unafiki baada ya Mbowe kusema atagombea nyuzi hazikauki. Mnatakiwa mlienzi neno demokrasia kama lilivyo katika jina la chama. Box la kura liamue.
Kumbuka Slaa mwenyekiti wake alikuwa Mbowe.

Sipendi watu wanaoongea Jambo wasilolitenda.

Sijapendezwa na Mbowe kuendelea ingawaje yeye anatumia HAKI yake kulingana na Katiba ya chama chake. Lakini Muda huohuo mtu anayesema anahaki ya kuongoza kwa sababu watu wamemtaka aendelee ndio huyohuyo anataka kuitoa madarakani CCM ambayo watu wanataka iendelee. Kwa logically unaona IPO Sawa?

Unajua kidemokrasia zikipigwa Kura Leo vifutwe vyama vyote vya siasa kibaki chama kimoja unajua watu wengi watasema CCM ibaki vingine vifutwe? Unajua Hilo.

Unajua uwepo wa vyama vingi ni busara za chama tawala?

Unajua ni Kwa nini CCM wenyeviti wanabadilishana uongozi?
 
Katika mchakato wa Slaa kuondoka alifanya press conference akiwa na vyombo vikubwa vya habari vile vile ambavyo tunavishangaa kwa nini jana vilikuwa live kwa mwenyekiti....
na wengine walisema alipewa "ulinzi" wa kutosha kutoka kwa wakubwa

Hata Sisi wengine ambao tunachukizwa na matendo yanayoendelea tunaona ni Bora CCM kuliko hao wanaojifanya wema kumbe ni wabaya. Hao ndio wabaya zaidi
 
Hivi Watanzania wataingia barabarani kwa kuingizwa na CHADEMA ambayo iliwaambia Lowasa ni fisadi kwa miaka nenda Rudi alafu mwisho wa siku wakamsafisha? Hao Watanzania ni wajinga kiasi hicho?
Hawa walikuwa ni Raia wa wapi ? Watanzania wameacha kuingia barabarani kwa sababu ya uoga....hakuna kingine...Kikwete alikuwa "mpole" sana ndio maana walikuwa wakiandamana.....kama Watanzania walikuwa na akili wangewasusia CHADEMA kwa kumkubali Lowassa kuwa mgombea wa Urais wakati walisema ni fisadi
1000017637.jpg

1000017635.jpg
 
Lissu ni muhimu sana kwa siasa za kipindi hiki. CCM haitakiwi ikutane na viongozi lia lia tena bali walio shupavu, wenye maono mapya na ari mpya ya mabadiriko.
Lisu hata akihamia chausta atapata uungwaji mkubwa sana.Chadema kwa sasa imejifia yenyewe kwa tabia za Chairman wa kudumu.
 
Hata Sisi wengine ambao tunachukizwa na matendo yanayoendelea tunaona ni Bora CCM kuliko hao wanaojifanya wema kumbe ni wabaya. Hao ndio wabaya zaidi
Mkuu uko gifted ktk uandishi hilo nakupa credit, lakini ktk huu mchango wako wewe shida yako ni Lissu awe mwenyekiti huna nia ya dhati ya kupigania chama "... matendo yanayoendelea tunaona ni Bora CCM..."
Pambaneni katika kutengeneza taasisi imara na si mtu imara.
Acheni box la kura liamue.
 
Sipendi watu wanaoongea Jambo wasilolitenda.

Sijapendezwa na Mbowe kuendelea ingawaje yeye anatumia HAKI yake kulingana na Katiba ya chama chake. Lakini Muda huohuo mtu anayesema anahaki ya kuongoza kwa sababu watu wamemtaka aendelee ndio huyohuyo anataka kuitoa madarakani CCM ambayo watu wanataka iendelee. Kwa logically unaona IPO Sawa?

Unajua kidemokrasia zikipigwa Kura Leo vifutwe vyama vyote vya siasa kibaki chama kimoja unajua watu wengi watasema CCM ibaki vingine vifutwe? Unajua Hilo.

Unajua uwepo wa vyama vingi ni busara za chama tawala?

Unajua ni Kwa nini CCM wenyeviti wanabadilishana uongozi?
Kuna mchango ungeusoma una jibu la hii comment yako.
 
Ujinga ni kufanya jambo kwa njia ileile hata akili zilezile halafu ukitegemea matokeo chanya
 
Ndio tumejua kumbe ndani ya chadema kuna mkono wa ccm
 
Tanzania chama cha siasa ni kimoja ambacho ni CCM Logically.

Vilivyobaki vyote ni vyama vya wanaharakati ikiwa wanamaanisha.
N vile visivyomaanisha ni vyama rafiki vya CCM.

Chama kinachoingia shimoni ni kile ambacho kina unafiki ndani yake. Au kimejawa na viongozi wanafiki au mamluki.
Vyama vya wanaharakati haviangukagi Mpaka ukombozi upatikane. Hiyo ipo hivyo kihistoria.
Hakuna chama cha kiuanaharakati kimewahi kushika nchi, huwezi kuendesha siasa za kiuanaharakati ukapata madaraka, siasa ni sayansi na haitaki uanaharakati. Wanaharakati ni part and parcel ya kuendesha siasa ila sio watu wa kuikomboa nchi.
 
Kuwa calm kwake ni kwa sababu ni Mnufaika wa Mfumo, Hana Busara kama tulivyokuwa tunadai!
Mbowe huenda alikuwa genuine miaka ya nyuma, ameona there's nothing he can do kuingia madarakani nae akaona afanye siasa za majitaka.

Ila huwezi kuja kuniambia Lissu na siasa zake anaweza kuwa mwenyekiti akafanya kitu tangible, siamini
 
Hakuna chama cha kiuanaharakati kimewahi kushika nchi, huwezi kuendesha siasa za kiuanaharakati ukapata madaraka, siasa ni sayansi na haitaki uanaharakati. Wanaharakati ni part and parcel ya kuendesha siasa ila sio watu wa kuikomboa nchi.
Kuna Jose mujica wa Uruguay kaka mkubwa.
 
Mbowe huenda alikuwa genuine miaka ya nyuma, ameona there's nothing he can do kuingia madarakani nae akaona afanye siasa za majitaka.

Ila huwezi kuja kuniambia Lissu na siasa zake anaweza kuwa mwenyekiti akafanya kitu tangible, siamini
Huena, ila kwa sasa tunaohitaji siasa za Mageuzi tunamhitaji Lissu zaidi kuliko Mbowe!, Amefanya sehemu yake inatosha!
 
Sahihi kabisa.. Sio Slaa tu hata mchungaji Mtikila watu walitoka Sana.. Kifupi CDM wamepoteza mvuto, na kauli zoo haziaminiki tena.
Mtikila ndiye activist wa kweli aliyeipigania Tanganyika, the rest wanatumika either na CCM au na Western sponsors.
 
Back
Top Bottom