Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #41
Kwa mfano kura zikiibwa uchaguzi mkuu, mtaandamana kutaka sheria nzuri au kuipinga serikali inayoelekea kuundwa ? 2929 Lissu aliitisha maandamano baada ya uchaguzi na hakuna aliyejitokeza na yeye kwa mdomo wake alisema "watanzania hawapo tayari kudai haki yao"
Watanzania hawawezi kudai HAKI Zao wakiongozwa na watu wanafiki wanaoweza kuwauza na kuwatelekeza Muda wowote.
Hivi Watanzania wataingia barabarani kwa kuingizwa na CHADEMA ambayo iliwaambia Lowasa ni fisadi kwa miaka nenda Rudi alafu mwisho wa siku wakamsafisha? Hao Watanzania ni wajinga kiasi hicho?
Watanzania waingizwe barabarani na watu ambao Leo wanaimba CCM ni wabaya alafu Kesho unawakuta wamechukua kadi za CCM na kujiunga CCM? Hao Watanzania ni manyumbu kiasi hicho?