Kweli kuna Wanachadema Hamnazo. Utawezaje kupigania haki bila kuwa na kiongozi mwanaharakati?

Wewe ndo HAMNAZO tuonyeshe initiative zako hapo.....Mbururaa
 
Hakuna chama cha kiuanaharakati kimewahi kushika nchi, huwezi kuendesha siasa za kiuanaharakati ukapata madaraka, siasa ni sayansi na haitaki uanaharakati. Wanaharakati ni part and parcel ya kuendesha siasa ila sio watu wa kuikomboa nchi.

Chama cha ANC cha kina Mandela kilikuwa cha kianaharakati. Ilifikia hatua walitumia mbinu za Kigaidi.

Huwezi kupigania HAKI BILA uanaharakati.

Kwa sababu wanaokunyima Haki sio kwamba hawajui wanachokifanya ni kibaya. Wanafanya hivyo makusudi Kwa sababu wananufaika na Yale wanayokufanyia.

Sasa wewe unaamini Katiba mpya itapatikana kwa njia zinazotumiwa?
 
Lowassa singlehandedly alii-boost CHADEMA kwa kipindi kifupi na ile idadi kubwa ya wabunge waliipata kutokana na nguvu/ushawishi wa kisiasa aliokuwa nao, bila zile kashkash za Jiwe zilizomrudisha CCM angewafikisha mbali tatizo ni kwamba naye alikuwa na malengo yake binafsi(kama walivyo wanasiasa wengi) ambayo mashabiki zake hawakutaka hata kuchekecha na kujiuliza.
 
Za kuambiwa changanya na zako

Wanasiasa ni vigeugeu

Ova
 
Bora tuendelee na CCM yetu. Huku kwingine ni zaidi ya matatizo.
Sasa Hivi namuona Mbowe Akitetea na Wachaga badala na Chama..
Nimemuona Dr Aikande akiwakashfu wanaosema Chadema Chini ya Mbowe Ni mbovu anawaambia Wahame chama...

Hivi wanafikiri Wananchi wakihama Chama Watapata Hizo Ruzuku wanazolingia..

Mimi namuomba Lissu ahamia CHAUMA
 

CHADEMA ndio imeisha hivyo.

CCM washamaliza Kazi hapo. Wewe ngoja uone
 
Hakuna chama cha kiuanaharakati kimewahi kushika nchi, huwezi kuendesha siasa za kiuanaharakati ukapata madaraka, siasa ni sayansi na haitaki uanaharakati. Wanaharakati ni part and parcel ya kuendesha siasa ila sio watu wa kuikomboa nchi.
We mzee dah, hizohizo siasa za upole si zilileta mbunge mmoja wa kuchaguliwa wa CHADEMA nchi nzima mwaka 2020. Au umesahau?
 
Dunia ya saizi inahitaji wanaharakati.
Fuatilia hata trend ya chaguzi zote duniani ni wale wanaharakati.
 
Lowasa alijaribu kuwafundisha CHADEMA tofauti kati ya harakati na siasa
 
Walituaminisha ana faaa kuwa RAISI ila kuwa mwenyekiti wa chama HAPANA,,, huy hatufai ni mwanaharakati sanaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…