M O N S T E R JF-Expert Member Joined Sep 26, 2022 Posts 2,818 Reaction score 8,465 Dec 22, 2024 #81 DR Mambo Jambo said: Watu wamekosa Imani na Chadema Ya Mbowe Click to expand... Unawezaje kuwa na Imani na wanasiasa wakati wote ni walewale tu matapeli ambao priorities zao ni maslhahi yao binafsi na familia zao mengine wana-flow tu na upepo unapoelekea?
DR Mambo Jambo said: Watu wamekosa Imani na Chadema Ya Mbowe Click to expand... Unawezaje kuwa na Imani na wanasiasa wakati wote ni walewale tu matapeli ambao priorities zao ni maslhahi yao binafsi na familia zao mengine wana-flow tu na upepo unapoelekea?
M O N S T E R JF-Expert Member Joined Sep 26, 2022 Posts 2,818 Reaction score 8,465 Dec 22, 2024 #82 Robert Heriel Mtibeli said: Ni Bora kumtumikia shetani kuliko kibaraka wake Click to expand... Hatumikii shetani tu bali amegeuka amekuwa shetani.
Robert Heriel Mtibeli said: Ni Bora kumtumikia shetani kuliko kibaraka wake Click to expand... Hatumikii shetani tu bali amegeuka amekuwa shetani.