Kweli mbwa sio msaada kwa ulinzi yani mwizi kaingia ndani jumapili hii kabeba flat TV na mbwa

Ivi kuna mbwa anaweza kutoboa mwizi akija na nyama πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mwandiko wa standard 3 c dropout.
 
Pole sana mkuu, mimi juzi wamepita na pump ya maji, yani watu maisha yamekua magumu kabisa kiasi kwamba watu kuumiza ubongo ili wapate pesa ya halali imekua ishu.
 
Pole sana mkuu, mimi juzi wamepita na pump ya maji, yani watu maisha yamekua magumu kabisa kiasi kwamba watu kuumiza ubongo ili wapate pesa ya halali imekua ishu.
wadokozi ni wengi sana
 
Leo nimetoka na familia kwenda kanisani tunarudi mda huu tunakuta flat imetolewa hukutani na mbwa mfano wa wema sepetu naye kaondoka.
ila ili likijana na miviatu nilishawai kusema hapa nalo kumbe lilitoka
Sio German shepherd puppy πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£

Kuna MBWA πŸ™Œ na Kuna NDAROOO

WEWE UNA MBWA ???? AU ULIKUA NA NDAROOO???
 
Kama uko Dar nanunataka mbwa mkali weka booking ya mbwa wadogo nina mbwa German shepherd ana mimba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…