KwelI Mungu siku hizi anatumia mitandao ya kijamii kwa alichomfanyia Samia

Watu kama wewe mnafanya CHADEMA wote waonekane wapumbavu. Kifo ni cha kila mtu. Hakuna atakayebaki. Kina Mengitsu Haile Mariam walioua watu kama nzige hadi leo yupo zake anakula bata. Je, Mungu hamwoni?
 
Ni jambo la busara kuchunga mdomo wako wako au kalamu yako kwa mambo ya vifo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…