Kweli nchi hii inatafunwa, Rais Samia amekiri jinsi wakuu wa mashirika ya Umma, wanavyojidai, jinsi wanavyoiba pesa za Umma!

Mystery

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2012
Posts
15,843
Reaction score
31,057
Nimemsikia mwenyewe LIVE, wakati Rais anatoa hotuba leo huko Arusha katika kikao Cha watendaji wakuu wa Taasisi za Umma, akikiri kuwa katika miaka Ile ya mwanzoni wa miaka ya 2000 wakati alipokuwa Waziri wa kawaida, aliwasikia baadhi ya wakuu wa mashirika ya Umma, namna wanavyojimwambafai, Kwa kutamka kwenye kikao Chao Cha "Siri" kuwa ni lazima Kila Mkuu wa Taasisi ya Umma, ale kutokana na urefu wa kamba yake!

Amedai kuwa yupo Mkuu wa shirika Moja la Umma, aliyedai kuwa Kila mwisho wa wiki, alikuwa "akiiba" kutoka Kwenye shirika Hilo siyo chini ya shilingi milioni 2 Kwa madhumuni tu ya kutumbua, Kwa ajili ya weekend!😭

Hivi kama Kila Mkuu wa Taasisi ya Umma, ndivyo afanyavyo, ina maana kuwa haya mashirika ya Umma, wanayaua hao viongozi wa Taasisi hizo Kwa makusudi kabisa!

Hii nchi hakuna jambo lingine litakaloweza kuikomboa hii nchi, zaidi ya kukiondoa madarakani Kwa chama hiki Cha CCM, Kwa njia ya kupiga kura Kwenye box la kura mwakani, Kwenye uchaguzi Mkuu, ambapo tutawatupa nje hawa viwazi Jeshi wa Mali ya Umma

Mungu ibariki Tanzania

Pia soma:Rais Samia: ameelekeza Mashirika kutimiza wajibu wao ili kuongeza wawekezaji wengi Nchini
 
Nimemsikia mwenyewe LIVE, wakati Rais anatoa hotuba leo huko Arusha katika kikao Cha watendaji wakuu wa Taasisi za Umma, akikiri kuwa katika miaka Ile ya mwanzoni wa miaka ya 80, wakati alipokuewa Waziri wa kawaida, aliwasikia baadhi ya wakuu wa mashirika ya Umma, namna wanavyojimwambafai, Kwa kutamka kwenye kikao Chao Cha "Siri" kuwa ni lazima Kila Mkuu wa Taasisi ya Umma, ale kutokana na urefu wa kama yake!

Amedai kuwa yupo Mkuu wa shirika Moja la Umma, aliyedai kuwa Kila mwisho wa wiki, alikuwa "akiiba" kutoka Kwenye shirika Hilo siyo chini ya shilingi milioni 2 Kwa madhumini tu ya kutumbua, Kwa ajili ya weekend!😭

Hivi kama Kila Mkuu wa Taasisi ya Umma, ndivyo afanyavyo, ina maana kuwa haya mashirika ya Umma, wanayaua hao viongozi wa Taasisi hizo Kwa makusudi kabisa!

Hii nchi hakuna jambo lngine litakaloweza kuikombia hii nchi, zaidi ya kukiondoa madarakani Kwa chama hiki Cha CCM, Kwa njia ya kupiga kura Kwenye box la kura mwakani, Kwenye uchaguzi Mkuu, ambao tunawatupa nje hawa viwazi Jeshi wa Mali ya Umma

Mungu ibariki Tanzania
Kamkamata na kumshitaki hata mmoja?
 
Kwamba miaka ya 80 yeye alikuwa waziri wa nini? Yeye kawa waziri kwa mara ya kwanza mwaka 2010. Hii nchi kila mtu ni tapeli.
 
Sio kweli !
Ni nani aliyewahi kufanya tofauti na anavyofanya yeye ?
Ukimuondoa JPM Angalau alionyesha Ukali kidogo ni nani mwingine aliyechukua hatua zaidi ya kulalamika tu ???!
Magufuli ndiyo alikuwa kinara wa kulalamika mpaka akafikia hatua akasema gesi wamepewa wakubwa.... Sasa hao wakubwa hakuwahi kuwataja zaidi ya kulalamika.
 
Nimemsikia mwenyewe LIVE, wakati Rais anatoa hotuba leo huko Arusha katika kikao Cha watendaji wakuu wa Taasisi za Umma, akikiri kuwa katika miaka Ile ya mwanzoni wa miaka ya 80, wakati alipokuewa Waziri wa kawaida, aliwasikia baadhi ya wakuu wa mashirika ya Umma, namna wanavyojimwambafai, Kwa kutamka kwenye kikao Chao Cha "Siri" kuwa ni lazima Kila Mkuu wa Taasisi ya Umma, ale kutokana na urefu wa kama yake!

Amedai kuwa yupo Mkuu wa shirika Moja la Umma, aliyedai kuwa Kila mwisho wa wiki, alikuwa "akiiba" kutoka Kwenye shirika Hilo siyo chini ya shilingi milioni 2 Kwa madhumini tu ya kutumbua, Kwa ajili ya weekend!😭

Hivi kama Kila Mkuu wa Taasisi ya Umma, ndivyo afanyavyo, ina maana kuwa haya mashirika ya Umma, wanayaua hao viongozi wa Taasisi hizo Kwa makusudi kabisa!

Hii nchi hakuna jambo lngine litakaloweza kuikombia hii nchi, zaidi ya kukiondoa madarakani Kwa chama hiki Cha CCM, Kwa njia ya kupiga kura Kwenye box la kura mwakani, Kwenye uchaguzi Mkuu, ambao tunawatupa nje hawa viwazi Jeshi wa Mali ya Umma

Mungu ibariki Tanzania
Huyo na naye hovyo. Mara watu wale kwa urefu wa kamba zao, mara pokopoko
 
Back
Top Bottom