Kweli nchi hii inatafunwa, Rais Samia amekiri jinsi wakuu wa mashirika ya Umma, wanavyojidai, jinsi wanavyoiba pesa za Umma!

Nimemsikia mwenyewe LIVE, wakati Rais anatoa hotuba leo huko Arusha katika kikao Cha watendaji wakuu wa Taasisi za Umma, akikiri kuwa katika miaka Ile ya mwanzoni wa miaka ya 2000 wakati alipokuewa Waziri wa kawaida, aliwasikia baadhi ya wakuu wa mashirika ya Umma, namna wanavyojimwambafai, Kwa kutamka kwenye kikao Chao Cha "Siri" kuwa ni lazima Kila Mkuu wa Taasisi ya Umma, ale kutokana na urefu wa kama yake!

Amedai kuwa yupo Mkuu wa shirika Moja la Umma, aliyedai kuwa Kila mwisho wa wiki, alikuwa "akiiba" kutoka Kwenye shirika Hilo siyo chini ya shilingi milioni 2 Kwa madhumini tu ya kutumbua, Kwa ajili ya weekend!😭

Hivi kama Kila Mkuu wa Taasisi ya Umma, ndivyo afanyavyo, ina maana kuwa haya mashirika ya Umma, wanayaua hao viongozi wa Taasisi hizo Kwa makusudi kabisa!

Hii nchi hakuna jambo lngine litakaloweza kuikombia hii nchi, zaidi ya kukiondoa madarakani Kwa chama hiki Cha CCM, Kwa njia ya kupiga kura Kwenye box la kura mwakani, Kwenye uchaguzi Mkuu, ambao tunawatupa nje hawa viwazi Jeshi wa Mali ya Umma

Mungu ibariki Tanzania

Pia soma:Rais Samia: ameelekeza Mashirika kutimiza wajibu wao ili kuongeza wawekezaji wengi Nchini
Natamani kusema jambo hapa ila kwa utekaji huu wa sasa 🙌🏿🙌🏿🙌🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿
 
Baada ya kuyasema hayo;

Inampasa sasa kuchukua hatua kali dhidi ya hayo majizi.

Maana nafasi hiyo anayo yeye kwa sasa,

Asipoitumia atakuja kuulizwa na Mungu nafasi yake aliitumiaje kama sisi tunashindwa kumuuliza.
 
Inasikisha sana.

Kwa kuwa tunajua kuwa yeye Rais ndiye mwenye mamlaka hata mamlaka ya kumwajibisha mhalifu yeyote.

Inaonekana kuwa yeye mwenyewe Rais, ndiye anayeongoza kuitafuna nchi hii!😎
 
Nimemsikia mwenyewe LIVE, wakati Rais anatoa hotuba leo huko Arusha katika kikao Cha watendaji wakuu wa Taasisi za Umma, akikiri kuwa katika miaka Ile ya mwanzoni wa miaka ya 2000 wakati alipokuwa Waziri wa kawaida, aliwasikia baadhi ya wakuu wa mashirika ya Umma, namna wanavyojimwambafai, Kwa kutamka kwenye kikao Chao Cha "Siri" kuwa ni lazima Kila Mkuu wa Taasisi ya Umma, ale kutokana na urefu wa kamba yake!

Amedai kuwa yupo Mkuu wa shirika Moja la Umma, aliyedai kuwa Kila mwisho wa wiki, alikuwa "akiiba" kutoka Kwenye shirika Hilo siyo chini ya shilingi milioni 2 Kwa madhumuni tu ya kutumbua, Kwa ajili ya weekend!😭

Hivi kama Kila Mkuu wa Taasisi ya Umma, ndivyo afanyavyo, ina maana kuwa haya mashirika ya Umma, wanayaua hao viongozi wa Taasisi hizo Kwa makusudi kabisa!

Hii nchi hakuna jambo lingine litakaloweza kuikomboa hii nchi, zaidi ya kukiondoa madarakani Kwa chama hiki Cha CCM, Kwa njia ya kupiga kura Kwenye box la kura mwakani, Kwenye uchaguzi Mkuu, ambapo tutawatupa nje hawa viwazi Jeshi wa Mali ya Umma

Mungu ibariki Tanzania

Pia soma:Rais Samia: ameelekeza Mashirika kutimiza wajibu wao ili kuongeza wawekezaji wengi Nchini
Mifumo imebadilika sana siku hizi

Mtu hawezi kubeba 2M kirahisi tu bila proper documentation
 
Inasikisha sana.

Kwa kuwa tunajua kuwa yeye Rais ndiye mwenye mamlaka hata mamlaka ya kumwajibisha mhalifu yeyote.

Inaonekana kuwa yeye mwenyewe Rais, ndiye anayeongoza kuitafuna nchi hii!😎
Anawawajisha kila wakati
 
Nimemsikia mwenyewe LIVE, wakati Rais anatoa hotuba leo huko Arusha katika kikao Cha watendaji wakuu wa Taasisi za Umma, akikiri kuwa katika miaka Ile ya mwanzoni wa miaka ya 2000 wakati alipokuwa Waziri wa kawaida, aliwasikia baadhi ya wakuu wa mashirika ya Umma, namna wanavyojimwambafai, Kwa kutamka kwenye kikao Chao Cha "Siri" kuwa ni lazima Kila Mkuu wa Taasisi ya Umma, ale kutokana na urefu wa kamba yake!

Amedai kuwa yupo Mkuu wa shirika Moja la Umma, aliyedai kuwa Kila mwisho wa wiki, alikuwa "akiiba" kutoka Kwenye shirika Hilo siyo chini ya shilingi milioni 2 Kwa madhumuni tu ya kutumbua, Kwa ajili ya weekend!😭

Hivi kama Kila Mkuu wa Taasisi ya Umma, ndivyo afanyavyo, ina maana kuwa haya mashirika ya Umma, wanayaua hao viongozi wa Taasisi hizo Kwa makusudi kabisa!

Hii nchi hakuna jambo lingine litakaloweza kuikomboa hii nchi, zaidi ya kukiondoa madarakani Kwa chama hiki Cha CCM, Kwa njia ya kupiga kura Kwenye box la kura mwakani, Kwenye uchaguzi Mkuu, ambapo tutawatupa nje hawa viwazi Jeshi wa Mali ya Umma

Mungu ibariki Tanzania

Pia soma:Rais Samia: ameelekeza Mashirika kutimiza wajibu wao ili kuongeza wawekezaji wengi Nchini
Kuitoa CCM madarakani ni sawa kugeuza siku ya kihama badala ya kurudi yesu masiah basi atarudi mtume mohammad SAW
 
Nimekumbuka kesi ya uhaini ya mwaka 1983,namnukuu kepteni Eugene maganga alivyosema

"mawazo ya watanzania wana lalamika kuhusu kila kitu lakini hakuna mmoja wao alio wahi kuchukua hatua"

Kama kweli tunachukia viongozi wezi kama tunavyosema humu,tungeshachukua hatua..
 
Zambia na Kenya na nchi kibao waliondoa vyama tawala, nini kilibadilika!?, kama unaamini chama cha Mbowe ndio kitaleta mabadiliko na kuondoa ufisadi nchini nenda kapimwe akili haraka sana.
Kuna mtu kaandika chama cha mbowe?
Kenya baada ya kubadili utawala mpaka na uchumi umepanda, they probably have the best education east africa na ndio favourite kituo cha uwekezaji EA, walikuwa na siasa kama za kwetu kuabudu rais na wanasiasa kisa chama kilipigania uhuru.

Angalia wakenya waliopo nje wanavyo represent nchi yao? Wanavyo changia uchumi wa nchi yao ? Sis wakwetu wanafanya nini?
Tunawakilishwa na nini?

As for zambia wanapanda taratibu, ila wanaelekea uelekeo wa kenya
 
Nimemsikia mwenyewe LIVE, wakati Rais anatoa hotuba leo huko Arusha katika kikao Cha watendaji wakuu wa Taasisi za Umma, akikiri kuwa katika miaka Ile ya mwanzoni wa miaka ya 2000 wakati alipokuwa Waziri wa kawaida, aliwasikia baadhi ya wakuu wa mashirika ya Umma, namna wanavyojimwambafai, Kwa kutamka kwenye kikao Chao Cha "Siri" kuwa ni lazima Kila Mkuu wa Taasisi ya Umma, ale kutokana na urefu wa kamba yake!

Amedai kuwa yupo Mkuu wa shirika Moja la Umma, aliyedai kuwa Kila mwisho wa wiki, alikuwa "akiiba" kutoka Kwenye shirika Hilo siyo chini ya shilingi milioni 2 Kwa madhumuni tu ya kutumbua, Kwa ajili ya weekend!😭

Hivi kama Kila Mkuu wa Taasisi ya Umma, ndivyo afanyavyo, ina maana kuwa haya mashirika ya Umma, wanayaua hao viongozi wa Taasisi hizo Kwa makusudi kabisa!

Hii nchi hakuna jambo lingine litakaloweza kuikomboa hii nchi, zaidi ya kukiondoa madarakani Kwa chama hiki Cha CCM, Kwa njia ya kupiga kura Kwenye box la kura mwakani, Kwenye uchaguzi Mkuu, ambapo tutawatupa nje hawa viwazi Jeshi wa Mali ya Umma

Mungu ibariki Tanzania

Pia soma:Rais Samia: ameelekeza Mashirika kutimiza wajibu wao ili kuongeza wawekezaji wengi Nchini
Wananchi tunalalamika
Rais analalamika

Nani wa kutusaidia jamani?
 
Bila ya kuchua hatua ni mipasho kama mmeanza na bnadari basi wapewa hata DG weupe tuone ikishindikana binafsisheni kabisa .Anzeni na GPSA, TPDC , PURA , TAA, TRA, MSL hawa viongozi wanatumbua pesa ila wafanyakazi hawana hata safari za maana .
 
Hamsikia mwenyewe LIVE, wakati Rais anatoa hotuba leo huko Arusha katika kikao Cha watendaji wakuu wa Taasisi za Umma, akikiri kuwa katika miaka Ile ya mwanzoni wa miaka ya 2000 wakati alipokuwa Waziri wa kawaida, aliwasikia baadhi ya wakuu wa mashirika ya Umma, namna wanavyojimwambafai, Kwa kutamka kwenye kikao Chao Cha "Siri" kuwa ni lazima Kila Mkuu wa Taasisi ya Umma, ale kutokana na urefu wa kamba yake!

Amedai kuwa yupo Mkuu wa shirika Moja la Umma, aliyedai kuwa Kila mwisho wa wiki, alikuwa "akiiba" kutoka Kwenye shirika Hilo siyo chini ya shilingi milioni 2 Kwa madhumuni tu ya kutumbua, Kwa ajili ya weekend!😭

Hivi kama Kila Mkuu wa Taasisi ya Umma, ndivyo afanyavyo, ina maana kuwa haya mashirika ya Umma, wanayaua hao viongozi wa Taasisi hizo Kwa makusudi kabisa!

Hii nchi hakuna jambo lingine litakaloweza kuikomboa hii nchi, zaidi ya kukiondoa madarakani Kwa chama hiki Cha CCM, Kwa njia ya kupiga kura Kwenye box la kura mwakani, Kwenye uchaguzi Mkuu, ambapo tutawatupa nje hawa viwazi Jeshi wa Mali ya Umma

Mungu ibariki Tanzania

Pia soma:Rais Samia: ameelekeza Mashirika kutimiza wajibu wao ili kuongeza wawekezaji wengi Nchini
Hawakuanza Leo, ni, jambo lililozoeleka, yeye samia mwenye we ni mwizi tu,
Cha ajabu, eti raisi na yeye anashangaa kuwa kuna wezi serikali ni, badala ya kuchukua hatua, anashangaa! So pathetic.
 
Nimemsikia mwenyewe LIVE, wakati Rais anatoa hotuba leo huko Arusha katika kikao Cha watendaji wakuu wa Taasisi za Umma, akikiri kuwa katika miaka Ile ya mwanzoni wa miaka ya 2000 wakati alipokuwa Waziri wa kawaida, aliwasikia baadhi ya wakuu wa mashirika ya Umma, namna wanavyojimwambafai, Kwa kutamka kwenye kikao Chao Cha "Siri" kuwa ni lazima Kila Mkuu wa Taasisi ya Umma, ale kutokana na urefu wa kamba yake!

Amedai kuwa yupo Mkuu wa shirika Moja la Umma, aliyedai kuwa Kila mwisho wa wiki, alikuwa "akiiba" kutoka Kwenye shirika Hilo siyo chini ya shilingi milioni 2 Kwa madhumuni tu ya kutumbua, Kwa ajili ya weekend!😭

Hivi kama Kila Mkuu wa Taasisi ya Umma, ndivyo afanyavyo, ina maana kuwa haya mashirika ya Umma, wanayaua hao viongozi wa Taasisi hizo Kwa makusudi kabisa!

Hii nchi hakuna jambo lingine litakaloweza kuikomboa hii nchi, zaidi ya kukiondoa madarakani Kwa chama hiki Cha CCM, Kwa njia ya kupiga kura Kwenye box la kura mwakani, Kwenye uchaguzi Mkuu, ambapo tutawatupa nje hawa viwazi Jeshi wa Mali ya Umma

Mungu ibariki Tanzania

Pia soma:Rais Samia: ameelekeza Mashirika kutimiza wajibu wao ili kuongeza wawekezaji wengi Nchini
Hao wanalindwa na mifumo.kama anakiona hilo mbona bado anawateua?wako wakurugenzi wengi wengi walifanya mambo ya hovyo jpm aliwatumbua lkn tumewaona awamu hii wamerejeshwa tena.mameneja wananyanyasa watu lkn bosi zipo, wakurugenzi wapo malalamiko wanayaonea lkn wako kinywa sababu ya rushwa.bila katiba kubadilika hata wawaunganishe au kufuta mashirika 100 hali itabaki kama ilivyo.lets say nhc,psssf,NHIF,nssf kwa uchache raisi haoni Madudu wanayofanya?mamiradi la ya Dege ni mfano mdogo tu wa ufisadi sasa haya yako mengi tu nchi nzima mama hayaoni?
 
Back
Top Bottom