Kweli nchi hii inatafunwa, Rais Samia amekiri jinsi wakuu wa mashirika ya Umma, wanavyojidai, jinsi wanavyoiba pesa za Umma!

Nimemsikia mwenyewe LIVE, wakati Rais anatoa hotuba leo huko Arusha katika kikao Cha watendaji wakuu wa Taasisi za Umma, akikiri kuwa katika miaka Ile ya mwanzoni wa miaka ya 80, wakati alipokuewa Waziri wa kawaida, aliwasikia baadhi ya wakuu wa mashirika ya Umma, namna wanavyojimwambafai, Kwa kutamka kwenye kikao Chao Cha "Siri" kuwa ni lazima Kila Mkuu wa Taasisi ya Umma, ale kutokana na urefu wa kama yake!

Amedai kuwa yupo Mkuu wa shirika Moja la Umma, aliyedai kuwa Kila mwisho wa wiki, alikuwa "akiiba" kutoka Kwenye shirika Hilo siyo chini ya shilingi milioni 2 Kwa madhumini tu ya kutumbua, Kwa ajili ya weekend!😭

Hivi kama Kila Mkuu wa Taasisi ya Umma, ndivyo afanyavyo, ina maana kuwa haya mashirika ya Umma, wanayaua hao viongozi wa Taasisi hizo Kwa makusudi kabisa!

Hii nchi hakuna jambo lngine litakaloweza kuikombia hii nchi, zaidi ya kukiondoa madarakani Kwa chama hiki Cha CCM, Kwa njia ya kupiga kura Kwenye box la kura mwakani, Kwenye uchaguzi Mkuu, ambao tunawatupa nje hawa viwazi Jeshi wa Mali ya Umma

Mungu ibariki Tanzania
Tukiyasema twaonekana "anti-mama"...
Yaani wanazitumbuwa kama hawana akili nzuri! INATISHA SANA SANA!
 
Samia aache mara moja kulalamika, nafasi yake ni ya utendaji sio ya kulalamika, huu ni unafiq tu.
 
Kubadili Chama sio suluhu, wizi utakuwepo tu
Mbona Lissu kasema kuna tatizo pia huko
Ila Africa haiwezi kuendelea hata mfanye nini
Uaminifu hakuna kabisa
Mbunge anaibiwa simu au laptop ndani ya Bunge mnategemea wataziacha hela?
Na hao ndio wenye mishahara mikubwa ila bado wanaiba Simu
 
2m kwenye mashirika ya Umma ndio yakuleta apa aisee? Wakurugenzi hao wana mpaka Budget za Hospitality kiasi kwamba anaweza Kumeet potential Client na waka dinner for almost 2M hio hio hapo bado ujaita mwanamke hio ni ndogo sana mzee, Watu gari inawasha dom kufata malaya dar go and Return mzee
2 millions kwa week tena miaka ya 2000 ni ela kidogo hiyo. Ni fedha ambayo sio stahiki yake

Je kwa mwaka kuna wiki 52 unafikiri atachukua kiasi gani?
 
Nimemsikia mwenyewe LIVE, wakati Rais anatoa hotuba leo huko Arusha katika kikao Cha watendaji wakuu wa Taasisi za Umma, akikiri kuwa katika miaka Ile ya mwanzoni wa miaka ya 80, wakati alipokuewa Waziri wa kawaida, aliwasikia baadhi ya wakuu wa mashirika ya Umma, namna wanavyojimwambafai, Kwa kutamka kwenye kikao Chao Cha "Siri" kuwa ni lazima Kila Mkuu wa Taasisi ya Umma, ale kutokana na urefu wa kama yake!

Amedai kuwa yupo Mkuu wa shirika Moja la Umma, aliyedai kuwa Kila mwisho wa wiki, alikuwa "akiiba" kutoka Kwenye shirika Hilo siyo chini ya shilingi milioni 2 Kwa madhumini tu ya kutumbua, Kwa ajili ya weekend!😭

Hivi kama Kila Mkuu wa Taasisi ya Umma, ndivyo afanyavyo, ina maana kuwa haya mashirika ya Umma, wanayaua hao viongozi wa Taasisi hizo Kwa makusudi kabisa!

Hii nchi hakuna jambo lngine litakaloweza kuikombia hii nchi, zaidi ya kukiondoa madarakani Kwa chama hiki Cha CCM, Kwa njia ya kupiga kura Kwenye box la kura mwakani, Kwenye uchaguzi Mkuu, ambao tunawatupa nje hawa viwazi Jeshi wa Mali ya Umma

Mungu ibariki Tanzania
Cha kuhuzunisha eti Chadema ndo wanalaumiwa kwa kila madhila yanayotokea Tanzania.
 
Magufuli ndiyo alikuwa kinara wa kulalamika mpaka akafikia hatua akasema gesi wamepewa wakubwa.... Sasa hao wakubwa hakuwahi kuwataja zaidi ya kulalamika.
Nkatabaaa ule unauvunjaje na aliyefanya kosa unamwadhibuje , ndio alikuwa anapita huo nkataba kikatokea kilicho tokea sasa hatua Gani angechujua
 
Back
Top Bottom