Kwenda Preseason kwenye viwanja vya Ulaya wakati mechi zitachezewa viwanja vya manungu ni kudhoofisha timu

Pamoja na kwamba Haji Manara ashagatujuza kuwa pale Yanga mwenye Akili Timamu ni Mzee kikwete na Mzee Manara hawa wengine ni wajinga wa mwisho

Na ukiamua kuwapanga Kwa ranking wajinga wa Yanga huyu jamaa alieleta Uzi waga anaongoza aisee, Yani linapokuja swala la Yanga na usimba jamaa waga kilaza cubic centimetre

Nawashangaa tu mnaotumia nguvu kumuelewesha Huyu jamaa, waga anakuja kajiandaa kubisha kuwa 1+1=11 na sio 2, kwahiyo ata iweje huwezi kumbadirisha

Kuna muda anaandika ujinga hadi waga nafikiri kuna muda akikaa mwenyewe akasoma ujinga wake anaishia kucheka tu, maana ukimkuta kwenye topic zingine anakuwa na Akili timamu hadi unasema mtu sindo huyu sasa, ila mkute kavaa uyanga wake sasa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Yaani mchezaji kwenda likizo kwao na kufanya mambo yake binafsi ni bora sana kuliko kwenda pre season kwenye mwezi. Kumbuka kuwa wachezaji wetu sisi wanakaa kambini badala ya kukaa kwenye nyumba zao, hii inasababisha psychological torture kubwa kwa mchezaji na hata benchi la ufundi. Tuna wanchezaji professiional ambao hata wakiwa likizo wanapaswa kujitunza wenyewe. Nalipongeza sana bebchi la ufundi la Yanga kuchagua likizo ndefu badala ya pre-season ndefu kwa wachezaji.

Hahaha yanga wameangalia bajet Yao, hapa unatetea Tu ila ukweli unajulikana

Hapa mpaka turkey ni siku moja Tu, wala sio wiki mzima au mwez mzima

Na miaka yote wamekuwa wakienda nje

This time bajet imewabana, na wala sio dhambi ni swala la kawaida tu

Mchezaji wa kiafrika hasa huu ukanda wetu

Ukimpa wiki mbili za mapumziko akirudi anakuwa amesahau hata anacheza namba ngapi hahaha

Kim pouslen anakutana na hiyo shida Sana, kila wakienda anaanza upya
 
Hebu sema wewe mechi ya mwisho ya Azam Federation championship kati ya yanga vs coastal union ilifanyika lini? wachezaji wangepunzika lini? pre season ulaya wangeenda lini? siku ya wananchi ni tarehe 6 Agost siku 16 kutoka leo, ngao ya jamii ni 13 Augost. Yanga wana akili sana kuliko wale wenzao. Wanajua tofauti kati ya wish, want, na need, kati ya nice na important, kati ya may na shall. Yaani kati ya kumpata Morrison na Aziz Ki na kwenda Misri kufanya mchujo wa wachezaji nani aachwe na nani abaki.
 
Kocha mpya wa Simba ametaka kujiridhisha mwenyewe so sio kitu kibaya

Yanga bajet imewabana otherwise hata msumbiji mngeenda,
 
Huwezi kufanya maamuzi kwa kukaa na mchezaji kwa siku 15 TU, utajua kitu gani kwa mchezaji? Kocha amepewa kazi batili ya kuamua nani abaki na nani atoke. Mchezaji unahitaji kumuangalia katika mechi kadhaa tofauti kwenye mazingira na mahitaji tofautitofauti kabla ya kusema anafaa au hafai. Preseason gani unayokwenda na wachezaji ambao utawaacha? Umeona wapi chupli ya hivyo? Huko ni kumdhalilisha mchezaji na kumpotezea muda wake wa kutafuta timu nyingine mapema. Binafsi ninamuonea huruma kijana Ahmed Ally kuwa msemaji wa timu inayoendeshwa kishamba
 
Sasa hapo unaingilia taaluma za mtu

Wabongo tujifunze kuheshim taaluma

Yy kaona Kwa siku kumi zinamtosha ww kocha wa ndanda ya mtwara unaitaji siku Mia
 
Timu zimesajilli wachezaji wapya wa kigeni ni Bora preseason Yao ikawa kwenye hali ya hewa na viwanja ambavyo mashindano yatafanyika. Aziz Ki kumpekeka preseason Egypt wakati mechi yake ya kwanza ya ngao ya jamii atachezea uwanja wa kigoma sio weledi.

Wachezaji wageni wazoee viwanja vyetu hivi vibovu wakati huu wa preseason.
Mlipopanga kwenda Uturuki hadi mnadaiwa huko akili mliziweka maliwatoni? Sizitaki mbichi hizi.
 
Kocha mpya wa Simba ametaka kujiridhisha mwenyewe so sio kitu kibaya

Yanga bajet imewabana otherwise hata msumbiji mngeenda,
Ni mara ya kwanza duniani kusikia kocha mgeni anapewa wiki 2 aseme nani aachwe na nani abaki. Mnataka kocha awape mbwa wenu majina mabaya ili mpate sababu ya kuwapiga risasi kuwapunguza. Mwamed kagoma na hela zake,
 
Ni hivi

Simba ilitaka kuacha wachezaji na wengine kuvunja mikataba yao

Kocha ndio kasema bfr hayo mambo ngoja niwaone hao ambao mnaplan kuwaaacha

Wanaweza kuwa ni wachezaji wazuri Kwa mifumo yake, sasa hapo kipi ni Kibaya?

Kama ww ni secretary wa MO basi naamini maneno yako
 
Pamoja na kwamba Haji Manara ashagatujuza kuwa pale Yanga mwenye Akili Timamu ni Mzee kikwete na Mzee Manara hawa wengine ni wajinga wa mwisho

Na ukiamua kuwapanga Kwa ranking wajinga wa Yanga huyu jamaa alieleta Uzi waga anaongoza aisee, Yani linapokuja swala la Yanga na usimba jamaa waga kilaza cubic centimetre

Nawashangaa tu mnaotumia nguvu kumuelewesha Huyu jamaa, waga anakuja kajiandaa kubisha kuwa 1+1=11 na sio 2, kwahiyo ata iweje huwezi kumbadirisha

Kuna muda anaandika ujinga hadi waga nafikiri kuna muda akikaa mwenyewe akasoma ujinga wake anaishia kucheka tu, maana ukimkuta kwenye topic zingine anakuwa na Akili timamu hadi unasema mtu sindo huyu sasa, ila mkute kavaa uyanga wake sasa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Wacha nicheke kidogo, hiyo inaitwa mtu chake apendacho hakina ila machoni. Lakini hebu fikiria baba yako wa kambo mpya anakuja nyumbani kwenu, humjui hakujui, lakini baada ya wiki 2 TU kuishi kwenu anasema wewe una tabia mbaya hufai duniani na mbinguni, hiyo ni sawa? Hivi ni wakati gani kocha anaweza kusema Kagere au Mugalu au Lwanga, au Boko au Mkude au Mbaga hafai kwa wiki mbili TU za mazoezi na kucheza na Ismailia wachezaji wa akiba?
 
Wanayanga wengi ni akili ndogo sana na kimsingi wana wivu wa kike,mbona kipindi cha manji walikuwa wanaweka kambi uturuki hawakujua haya ya viwanja?
Ilikuwaje Senzo akafanya booking ya kambi Uturuki kama aliyajua yote hayo? mpunga umekata, Aziz Ki alikataa nusu ya ada na bado akaweka sharti la kuondoka muda wowote. Yaani ni kwamba anapewa mpunga mzima ila kuondoka ni hata kabla ya pre season!
 
Wanayanga wengi ni akili ndogo sana na kimsingi wana wivu wa kike,mbona kipindi cha manji walikuwa wanaweka kambi uturuki hawakujua haya ya viwanja?
Mi sikufichi, boss anaepoteza hela nyingi kwenda kuweka kambi ulaya timu maskini isiyokuwa na hata uwanja wake wa mazoezi ni ama fisadi ama anafanikisha biashara yake haramu ya madawa ya kulenya kwa mgongo wa jina la timu. Hakuna justification ya kupeleka timu ombaomba kuweka kambi nje ya nchi hivihivi tyuuuu. Watu wana akili ndogo sana, hawaoni mbali kama vile walivyodanganywa kuhusu 20 bil, ziko wapi? anazo nani? zimetumikaje? wewe mwenye akili kubwa jibu maswali hayo
 
Na nyie hiyo m 200 atakayolipa Ghalib kwa safari hewa ya Uturuki siyo hasara?
 
Ni hivi

Simba ilitaka kuacha wachezaji na wengine kuvunja mikataba yao

Kocha ndio kasema bfr hayo mambo ngoja niwaone hao ambao mnaplan kuwaaacha

Wanaweza kuwa ni wachezaji wazuri Kwa mifumo yake, sasa hapo kipi ni Kibaya?

Kama ww ni secretary wa MO basi naamini maneno yako
hakuna scouting ya wiki mbili weweee kwenye kambi ya preseason. Huyo kocha ili ajue kama mchezaji atamfaa kwenye mifumo yake lazima amfualitie kwenye battle mbalimbali. Kama wanataka hivyo kwanini wasimapatie video za game zao aone kutoka huko?
 
Tanzania kuna scauting?
Yanga wamemsajili Yule mrundi ilifanyika scaut gani?

Tuache ushabiki maandazi
 
Nyie tena ndo wakusema hvyo leo[emoji23][emoji23]
 
Tanzania kuna scauting?
Yanga wamemsajili Yule mrundi ilifanyika scaut gani?

Tuache ushabiki maandazi
Kumbe hakuna scouting Tanzania kule misri mnafanya nini? Wote mlikuwepo msimu uliopita waliomsaidia timu mnawafahamu wote Kwanini kazi ya kuwafukuza iachwe kwa kocha mgeni? Mnaogopa nini kuwaambia wazee akina Nyoni, Kagere, Onyango, bocco, waende zao? Mnaogopa nini hapo? Au ni zile danadana zenu kama kwa Morrison
 
Misri tumeenda kujipanga sehemu tulivu na kufanya mazoez ili mwali mpya ajuaje na wafanyakazi wake

Hakuna scauting, hata ww ukipata dem mpya si unampeleka lodge mzuri unashinda nae mnaongea? Mnajuana?

Ni mambo ya utaratibu Tu, hata yanga walikuwa wanataka kwenda turkey, ndio maana walishaanza maandalizi Yao

Wameshindwa kwenda sio kwamba evic ni Bora hapana tena evic imekuwa last maamuzi

First priority ilikuwa USA au Turkey
 
Huyo ni kiongozi mlevi sana na walevi wengine TU. Muda huu ni muda wa wachezaji wageni kuizoea Tanzania na mitaa yake, vyakula vyake, na taratibu zake kabla ya ligi kuanza. Kwani Misri Kuna nn Cha mno? Wachezaji si wanakaa kambini TU huko Misri au wanazirura mitaani?
 
Back
Top Bottom