Wahudumumieni huko hukoUnataka tufanyeje sasa mkuu kwa wale tulionao tayari watoto na wanaishi na Mama zao?
😂😂🤣 sasa hiyo ni roho mbaya Demi, vipi kama mama yake alishatangulia mbele za haki je? Maana kuna wanawake wengine huwakuta watoto baada ya mama yao kufariki.Mtoto hana kosa lakini akakae na mama yake, baba amuone akitaka. Akiletwa kwa mama wa kambo tunamfinya hadi atie akili.
Kila mwanamke alee mtoto wake.
Nakadori nimeikumbuka ile komenti yako ya kwamba WANAWAKE HAMPENDANIMtoto hana kosa lakini akakae na mama yake, baba amuone akitaka. Akiletwa kwa mama wa kambo tunamfinya hadi atie akili.
Kila mwanamke alee mtoto wake.
Acheni mahusiano na mapenzi na mume wa mtu, that's logical. Purely kutoka moyoni unajua huyu ni mume wa mtu na lengo kuu lake ni starehe, sasa dada yangu ambaye bado huna direction unatafuta mahusiano na mume wa mtu ili iweje. Umemuona simba huyo apo, ila kuchukua hatua kutomsogelea hutaki bali unamfuata, akikung'ata utalalamika simba kakung'ata kumbe it's purely known kuwa karibu na simba utang'atwa ufe tu. Leo utaanzisha kesi kuwa tulaumiwe wote[emoji23][emoji23][emoji23], seriously. Mwenzako alishaweka rehani nafsi yake kuwa, I don't care, chamsingi starehe ila wewe unatest tu, wakati roho yako hujaiweka rehani kama yeye. Kwenye hivi vitu, muathirika wakwanza ni mtoto wapili ni wewe ila bado unashupaza shingo tu. Madam, you're the primary person!Kosa liko pande zote
Msikojolee ndaniii
SASA WAKE WENZA INAKUWAJE HAPO KWENYE KU-SHARE dyudyu?Hahaha yani achaga tuu tena mwanamke mliyeshare dyudyu kila mkionana ni vita tu
.........shida ya mamichepuko ni kutaka yapendwe upendo sawa na mke.....ndo yanakuja na mbinu za zamani za kivita kama vile kuvaa majani eti ufanane na kichaka!!!!......Sio kama tunatakaga kuzaa na michepuko ila michepuko inatutegeshea ikidhani ndo tutaongeza upendo kuliko jana.
Hakunaga kupendanaSASA WAKE WENZA INAKUWAJE HAPO KWENYE KU-SHARE dyudyu?
KUna aina tatu za michepuko;.........shida ya mamichepuko ni kutaka yapendwe upendo sawa na mke.....ndo yanakuja na mbinu za zamani za kivita kama vile kuvaa majani eti ufanane na kichaka!!!!......
Hakika umenena, ila mtoto apewe haki ya kutumia majina ya baba yake mzazi.Nitakula tembele na mwanangu
Never niruhusu mtoto akalelewe na mtu nikiwa hai.
Kuna wakati unakutana na mtu, amehangaika na kizazi kakosa mtoto. ANawaza afanyeje ili naye apate mtoto. Ukimpa mimba wa hivi wala hasumbuiNdugu yangu na umalaya wake anakwambia kamwe hawezi zaa nje ya ndoa. Maana hatoweza kumsupport mtoto financially wala physically.
Anawaambia wasichana zake kabisa ukija kwangu siku hatari kunitega nikupe mimba utalea mwenyewe.
Muda mwingine ni wanawake tunachemka unafikiri ukibeba mimba ndio utamteka mume wa mtu kumbe unajitafutia ugumu wa maisha ya mtoto wako
Wanaume wanapaswa wawe waz kama huyu ili terms and conditions zizingatiweNdugu yangu na umalaya wake anakwambia kamwe hawezi zaa nje ya ndoa. Maana hatoweza kumsupport mtoto financially wala physically.
Anawaambia wasichana zake kabisa ukija kwangu siku hatari kunitega nikupe mimba utalea mwenyewe.
Muda mwingine ni wanawake tunachemka unafikiri ukibeba mimba ndio utamteka mume wa mtu kumbe unajitafutia ugumu wa maisha ya mtoto wako
Unabomu halafu unataka kuanzisha mabomu mengine. Watanzania bwana[emoji23][emoji23][emoji23]Mke mnyanyasaji wa mtoto asiye wake dawa yake ni kuongeza watoto wengine kama wa3 hivi. Ni suala la muda tu atawaogopa. Watoto wa3 wenye common enemy.
Ukikutana na msaka mtoto hata uweke terms gani, lazima alete mbususu siku ya mimbaWanaume wanapaswa wawe waz kama huyu ili terms and conditions zizingatiwe
Kabla ya uzazi target ndio hiyo. Ila akishajifungua vurugu haziishi. Ni wanawake wachache wanao ona sawa mtoto kukua bila baba yake karibu na yupo hai.Kuna wakati unakutana na mtu, amehangaika na kizazi kakosa mtoto. ANawaza afanyeje ili naye apate mtoto. Ukimpa mimba wa hivi wala hasumbui