Kwenu Wanaume mnaozaa na michepuko

Kwenu Wanaume mnaozaa na michepuko

Unataka tufanyeje sasa mkuu kwa wale tulionao tayari watoto na wanaishi na Mama zao?
Wahudumumieni huko huko
Kamwe mkeo asije akakurubuni eti mlete nimlee ni wivu tu ili upunguze contact na mchepuko.
Wanawake wachache sana wanaweza kulea watoto wa wenzao
 
Mtoto hana kosa lakini akakae na mama yake, baba amuone akitaka. Akiletwa kwa mama wa kambo tunamfinya hadi atie akili.
Kila mwanamke alee mtoto wake.
😂😂🤣 sasa hiyo ni roho mbaya Demi, vipi kama mama yake alishatangulia mbele za haki je? Maana kuna wanawake wengine huwakuta watoto baada ya mama yao kufariki.
 
Mtoto hana kosa lakini akakae na mama yake, baba amuone akitaka. Akiletwa kwa mama wa kambo tunamfinya hadi atie akili.
Kila mwanamke alee mtoto wake.
Nakadori nimeikumbuka ile komenti yako ya kwamba WANAWAKE HAMPENDANI
 
Kosa liko pande zote
Msikojolee ndaniii
Acheni mahusiano na mapenzi na mume wa mtu, that's logical. Purely kutoka moyoni unajua huyu ni mume wa mtu na lengo kuu lake ni starehe, sasa dada yangu ambaye bado huna direction unatafuta mahusiano na mume wa mtu ili iweje. Umemuona simba huyo apo, ila kuchukua hatua kutomsogelea hutaki bali unamfuata, akikung'ata utalalamika simba kakung'ata kumbe it's purely known kuwa karibu na simba utang'atwa ufe tu. Leo utaanzisha kesi kuwa tulaumiwe wote[emoji23][emoji23][emoji23], seriously. Mwenzako alishaweka rehani nafsi yake kuwa, I don't care, chamsingi starehe ila wewe unatest tu, wakati roho yako hujaiweka rehani kama yeye. Kwenye hivi vitu, muathirika wakwanza ni mtoto wapili ni wewe ila bado unashupaza shingo tu. Madam, you're the primary person!
 
Sio kama tunatakaga kuzaa na michepuko ila michepuko inatutegeshea ikidhani ndo tutaongeza upendo kuliko jana.
.........shida ya mamichepuko ni kutaka yapendwe upendo sawa na mke.....ndo yanakuja na mbinu za zamani za kivita kama vile kuvaa majani eti ufanane na kichaka!!!!......
 
SASA WAKE WENZA INAKUWAJE HAPO KWENYE KU-SHARE dyudyu?
Hakunaga kupendana
We si uliona baada ya mke wa pili wa manara kuaga mashindano yule mkubwa akaanza vijembe. Yani hawajawah kupendana hawa japo walikuwa wanakuwa paraded kwamba wanapendana
 
Ndugu yangu na umalaya wake anakwambia kamwe hawezi zaa nje ya ndoa. Maana hatoweza kumsupport mtoto financially wala physically.

Anawaambia wasichana zake kabisa ukija kwangu siku hatari kunitega nikupe mimba utalea mwenyewe.
Muda mwingine ni wanawake tunachemka unafikiri ukibeba mimba ndio utamteka mume wa mtu kumbe unajitafutia ugumu wa maisha ya mtoto wako
 
.........shida ya mamichepuko ni kutaka yapendwe upendo sawa na mke.....ndo yanakuja na mbinu za zamani za kivita kama vile kuvaa majani eti ufanane na kichaka!!!!......
KUna aina tatu za michepuko;
1. Mchepuko vumbi
2. Mchepuko molamu
3. Mchepuko lami.

Huyo uliyemtaja hapo juu ni mchepuko vumbi. Tafuta mchepuko wenye lami
 
Ndugu yangu na umalaya wake anakwambia kamwe hawezi zaa nje ya ndoa. Maana hatoweza kumsupport mtoto financially wala physically.

Anawaambia wasichana zake kabisa ukija kwangu siku hatari kunitega nikupe mimba utalea mwenyewe.
Muda mwingine ni wanawake tunachemka unafikiri ukibeba mimba ndio utamteka mume wa mtu kumbe unajitafutia ugumu wa maisha ya mtoto wako
Kuna wakati unakutana na mtu, amehangaika na kizazi kakosa mtoto. ANawaza afanyeje ili naye apate mtoto. Ukimpa mimba wa hivi wala hasumbui
 
Wanaume wanapaswa wawe waz kama huyu ili terms and conditions zizingatiwe
 
Mke mnyanyasaji wa mtoto asiye wake dawa yake ni kuongeza watoto wengine kama wa3 hivi. Ni suala la muda tu atawaogopa. Watoto wa3 wenye common enemy.
Unabomu halafu unataka kuanzisha mabomu mengine. Watanzania bwana[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna wakati unakutana na mtu, amehangaika na kizazi kakosa mtoto. ANawaza afanyeje ili naye apate mtoto. Ukimpa mimba wa hivi wala hasumbui
Kabla ya uzazi target ndio hiyo. Ila akishajifungua vurugu haziishi. Ni wanawake wachache wanao ona sawa mtoto kukua bila baba yake karibu na yupo hai.
 
Back
Top Bottom