Kwenu Wanaume, Mwanamke akikuletea Zawadi jua ni mtego, atachukua kwako mara 2 yake

Vijana ndio mnagundua sasa hivi. Ni jambo la kawaida katika maisha uamuzi ni wako upokee zawadi na baadae utoe mara mbili au tusitoe. There's no free lunch for men. Kila kitu tunanunua na sisi ni fursa kwa wanawake. Hakikisha hata kama utalipa mara mbili basi malipo yatoke kwenye pesa yako ya ziada.
 
ndo ushangae,, mtu anampa zawadi kwa upendo ila ye anawaza ni mtego
Kwani si kweli, mara nyingi inakua ni mtego, wadada wachache ndo zawadi zao zinatoka moyoni, wengi wanapigia hesabu ya hela uliowahi kumpa, kama tangu umjue ushawahi mpa elf 60, atatafta zawadi ya tsh elf 25 au elf 10..bajeti ya hela ya zawadi atakayokupa inatoka kwenye hela ile ile uliowahi kumhonga win-one
 
You are wise….

I will teach my son this, ziada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…