Mama Mwana
JF-Expert Member
- Jun 6, 2023
- 2,435
- 7,784
- Thread starter
-
- #101
mkuu, maisha ndio haya haya kama circle fulani hivi, ukitendwa samehe chia moyo songa mbele, akija mwengine mpe nafas ona ana impact gan ataleta kwako akishindwa mwache aende usieke kinyongo usimchukie mtu bora ukafanya mmbo yanayokupa furaha, mimi nilikua napenda sana outing za weekend na relax sometimes natoka na bestie sometimes alone sometimes na stranger tulikutana naye on the mean time sijali hata kuhusu kipi ninepitia naamini kuna namna nilitakiwa kupitia hayo nijifunze jamboKama unaweza kumpenda mtu bila sababu basi unaweza kumchukia bila sababu.
Chuki ndo chanzo cha migogoro. Hapo kuna mmoja kafanya juhudi ya kesho yenu. Mwingine anafanya juhudi ya jana yenu.
yan nilikua moyoni najiona nna fundo niliona bora niwe mkweli aamue tunazika au tunasafirishaSafi vizuri Mama mwana
Lakin ulikosea sana kumwambia uliyopitia huko nyuma ya kunyanduana,sjui ulikuwa na lengo gani
ushawah kwenda washroom ukakikuta kile kidude kama kibomba kinaflash maji aloo nilikua nikikita kile lazima nifike sehem nisiojua lazima nikifanyie kaz hahahaHebu fafanua vizuri hapa mahi 😜😹
aamin, amini itakua hivoIpo siku binti wa watu atakua proud na mimi aamin
aamiinaaaaasStory nzuri
Wanaume wema wapo sana
Mungu atupe macho ya rohoni tuwaone
heheheee, nikwambie kitu jiamini, halaf muache mwanamke ajue you are hustling kama ni wako mtakua pamoja kwenye hio safar yenushida ni kwamba hatuna hela😀
😃😃😃amina amina lol ntakupa mmoja
sikutaka nianze kulala na mawazo mana hata mm nilikutana na viumbe wa kila ainaNina swali, hapa ulikosa mwanaume wa karibu aliewahi kukutongoza, ukaona bora uji drone drake kuliko umtafte mwanaume? 🤔 Mama Mwana
Mama Mwana ni mida ya kupalilia ndoa hii🙄aamiinaaaaas
Mtupe mbinu za kuchagua aiseeaamiinaaaaas
naangalia uzalo, ameenda shamba till weekend tushaagana tu via whatsapp video call hope nimekujibu vizurMama Mwana ni mida ya kupalilia ndoa hii🙄
tulikua broke, yan huyu tulipotoka na tulipo ni history nitakuja hadithia wajukuu hope nitakua na umri huoKwani hawa walipoanzana walikuwa na hela?
Amina sananakuombea ikawe hivyo, achilia moyo usiukaze sana, amini kuna seco
nd chances, samehe usihesabu makosa, kubali kuanza upya
jaribu kumshirikisha Mungu waimani yako, sali mwambie akupe yule mtu unayemtaka mpe na sifa, tenakwa imani, kuna muda huo tuliotengana nilikua naomba sana Mungu nimpate wa kufanana naye au kama ameniandikia yeye amlete nimechoka na hawa mazombi ninaokutananao,Mtupe mbinu za kuchagua aisee
Nawish kuwa na ndoa yenye amani hata nikiangalia rafikizangu na ndoa zao hazitii moyo ukiangalia vijana wa kiume wengi ni wajinga na utoto kibao
naomba sana Mungu kila mtu ampe hitaji la moyo wake, wewe ishi ukiamini ubavu wako upo sehem hivi saa hizi na yeye anvurugwa na mahaba huko lakini mtakutana tu 😜😜Amina sana
Na iwe kwangu kama ulivyosema mama mwana.
Alhamdulillah naswali sana na Mungu ananipa hasa ninaoomba tumatch ila sijui why Huwa dini tofaut na wazazi wangu hawataki hata kusikia ilo sualajaribu kumshirikisha Mungu waimani yako, sali mwambie akupe yule mtu unayemtaka mpe na sifa, tenakwa imani, kuna muda huo tuliotengana nilikua naomba sana Mungu nimpate wa kufanana naye au kama ameniandikia yeye amlete nimechoka na hawa mazombi ninaokutananao,
Kumbe nimejifunza wanawake wakuoa ni wale maharage ya mbeya...ukiona demu anakizungusha huyo hakupendi. Asante kwa funzoStory yako mwanzon inafana Na yangu...tulikutana kanisan Ibada ilivoisha kwenye kusalimiana....the way alivokua ananiangalia while tunaongea made me fall in love with him hata siku alivokuja kunifungukia sikupoteza muda Kesho yake nilimpa jibu la yes