Brian Spilner
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 1,915
- 5,750
Waliopotea waliweka wazi kua wanaenda kumjaribu? Au ni sisi tu wanamtaa kwa viashiria vyetu flani flani basi tumejipa majibu kua "wamemjaribu, wakafa".Nilichojifunza sio kila mtu anagusika .
Kuna jirani yetu ukimjaribu basi lazima mpoteane .
Nilimfata na kumuuliza inakuaje kila anayetaka kukufanyia ubaya au anayekufanyia anapoteana
Alinijibu kuwa hiyo hata yeye hajui na wamezikwa watu wengi na kupoteana tangia zamani.
Mimi mwenyewe najiuliza hii ni nguvu ya aina gani? Kila anayekujaribu anapoteana?.
Hasta mzee kikwete nasikia ana hiyo nguvu!!Nilichojifunza sio kila mtu anagusika .
Kuna jirani yetu ukimjaribu basi lazima mpoteane .
Nilimfata na kumuuliza inakuaje kila anayetaka kukufanyia ubaya au anayekufanyia anapoteana
Alinijibu kuwa hiyo hata yeye hajui na wamezikwa watu wengi na kupoteana tangia zamani.
Mimi mwenyewe najiuliza hii ni nguvu ya aina gani? Kila anayekujaribu anapoteana?.
Unanizungumzia mimikuna watu naturally ni wachawi kuzaliwa yaani ukimjaribu tu unakaribisha mikosi,na ajabu wao hawanaga mda na mtu.
Umeona basi unajua na umekutana na wa aina hii. Utanifanya nimwage mchele kwenye kuku wengi π π π π ukiona hadi mtu anakiri kuwa una nyota kali sana. Toka umekuwa kwenye maisha yangu, kila nachogusa kinaenda, zaidi hata kilivyotakiwa kuwa πππππNilishawahi kuwa kwenye uhusiano na mwanamke wa aina yako, kiufupi hata mkiwa mmelala hiyo nguvu yako inamlinda na mpenzi/mumeo pia..
Mnamambo mengi sana mazuri.
Yeah na hata ukitabasamu tu mambo yanakuwa bul bul ila ukinuna kazi ipoπ€£ inatosha aisee usiendelee kumwaga mchele..Umeona basi unajua na umekutana na wa aina hii. Utanifanya nimwage mchele kwenye kuku wengi π π π π ukiona hadi mtu anakiri kuwa una nyota kali sana. Toka umekuwa kwenye maisha yangu, kila nachogusa kinaenda, zaidi hata kilivyotakiwa kuwa πππππ
Wewe mwisho, unajua mpaka unajua tena. Yes kuna watu miaka na miaka hawataki tugombane, wako lazima wanicheki, nikinuna watafanya chochote nisiwanunie wale wa karibu yangu sana.Yeah na hata ukitabasamu tu mambo yanakuwa bul bul ila ukinuna kazi ipoπ€£ inatosha aisee usiendelee kumwaga mchele..
Waliojaribu kumgusa Lissu wako wapi? Amebaki Bashite kwa ajili ya kutoa ushuhuda tu
Mungu humchagua yule amtakae so kupitia watu kama nyie wengine hupata na kujifunza pia.Wewe mwisho, unajua mpaka unajua tena. Yes kuna watu miaka na miaka hawataki tugombane, wako lazima wanicheki, nikinuna watafanya chochote nisiwanunie wale wa karibu yangu sana.
Nikuulize je ni kitu Mungu anatoa wengine wabarikiwe ama? Naona kuna wengine hawastahili hili ila ndiyo wanapata pitia mimi. Nakuwa sina jinsi. Kweli ni π€π€π€π€πππππ
Nafikiria hilo tabasamu lakoUmeona basi unajua na umekutana na wa aina hii. Utanifanya nimwage mchele kwenye kuku wengi π π π π ukiona hadi mtu anakiri kuwa una nyota kali sana. Toka umekuwa kwenye maisha yangu, kila nachogusa kinaenda, zaidi hata kilivyotakiwa kuwa πππππ
Nilidhani unaongea vitu vya maana,Nilichojifunza sio kila mtu anagusika .
Kuna jirani yetu ukimjaribu basi lazima mpoteane .
Nilimfata na kumuuliza inakuaje kila anayetaka kukufanyia ubaya au anayekufanyia anapoteana
Alinijibu kuwa hiyo hata yeye hajui na wamezikwa watu wengi na kupoteana tangia zamani.
Mimi mwenyewe najiuliza hii ni nguvu ya aina gani? Kila anayekujaribu anapoteana?.
Je ambao mtu akigusa imo , ni kweli mnakuwa mnajitunza sana mpo decent SanaWewe mwisho, unajua mpaka unajua tena. Yes kuna watu miaka na miaka hawataki tugombane, wako lazima wanicheki, nikinuna watafanya chochote nisiwanunie wale wa karibu yangu sana.
Nikuulize je ni kitu Mungu anatoa wengine wabarikiwe ama? Naona kuna wengine hawastahili hili ila ndiyo wanapata pitia mimi. Nakuwa sina jinsi. Kweli ni π€π€π€π€πππππ
Na wewe ushaanza kuwa mlamba asali...Hapa ndio huwa mnaonekana kituko. Makonda mwenyewe ndo kwanzaa anawika kuliko lissu
Je ambao mtu akigusa imo , ni kweli mnakuwa mnajitunza sana mpo decent SanaWewe mwisho, unajua mpaka unajua tena. Yes kuna watu miaka na miaka hawataki tugombane, wako lazima wanicheki, nikinuna watafanya chochote nisiwanunie wale wa karibu yangu sana.
Nikuulize je ni kitu Mungu anatoa wengine wabarikiwe ama? Naona kuna wengine hawastahili hili ila ndiyo wanapata pitia mimi. Nakuwa sina jinsi. Kweli ni π€π€π€π€πππππ
lipia tangazoNilichojifunza sio kila mtu anagusika .