Brian Spilner
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 1,915
- 5,750
Waliopotea waliweka wazi kua wanaenda kumjaribu? Au ni sisi tu wanamtaa kwa viashiria vyetu flani flani basi tumejipa majibu kua "wamemjaribu, wakafa".Nilichojifunza sio kila mtu anagusika .
Kuna jirani yetu ukimjaribu basi lazima mpoteane .
Nilimfata na kumuuliza inakuaje kila anayetaka kukufanyia ubaya au anayekufanyia anapoteana
Alinijibu kuwa hiyo hata yeye hajui na wamezikwa watu wengi na kupoteana tangia zamani.
Mimi mwenyewe najiuliza hii ni nguvu ya aina gani? Kila anayekujaribu anapoteana?.
Hakuna mtu untouchable kwenye hii dunia.
Unakwama wapi Rashidi