Kwenye haya Maisha kuna watu ni untouchable , hii nimejifunza kwa njia ngumu.

Nilichojifunza sio kila mtu anagusika .

Kuna jirani yetu ukimjaribu basi lazima mpoteane .

Nilimfata na kumuuliza inakuaje kila anayetaka kukufanyia ubaya au anayekufanyia anapoteana

Alinijibu kuwa hiyo hata yeye hajui na wamezikwa watu wengi na kupoteana tangia zamani.

Mimi mwenyewe najiuliza hii ni nguvu ya aina gani? Kila anayekujaribu anapoteana?.
Waliopotea waliweka wazi kua wanaenda kumjaribu? Au ni sisi tu wanamtaa kwa viashiria vyetu flani flani basi tumejipa majibu kua "wamemjaribu, wakafa".
Hakuna mtu untouchable kwenye hii dunia.
Unakwama wapi Rashidi
 
Nilichojifunza sio kila mtu anagusika .

Kuna jirani yetu ukimjaribu basi lazima mpoteane .

Nilimfata na kumuuliza inakuaje kila anayetaka kukufanyia ubaya au anayekufanyia anapoteana

Alinijibu kuwa hiyo hata yeye hajui na wamezikwa watu wengi na kupoteana tangia zamani.

Mimi mwenyewe najiuliza hii ni nguvu ya aina gani? Kila anayekujaribu anapoteana?.
Hasta mzee kikwete nasikia ana hiyo nguvu!!

Kila aliejaribu kuingia mzigoni alizikwa!!yaani ukituna scard inarudi kwako kwa speed ya 4G!!

Hatujui ni natural au witch made!
 
Nilishawahi kuwa kwenye uhusiano na mwanamke wa aina yako, kiufupi hata mkiwa mmelala hiyo nguvu yako inamlinda na mpenzi/mumeo pia..

Mnamambo mengi sana mazuri.
Umeona basi unajua na umekutana na wa aina hii. Utanifanya nimwage mchele kwenye kuku wengi 😅😅😅😅 ukiona hadi mtu anakiri kuwa una nyota kali sana. Toka umekuwa kwenye maisha yangu, kila nachogusa kinaenda, zaidi hata kilivyotakiwa kuwa 🙌🙌🙌🙌🙌
 
Yeah na hata ukitabasamu tu mambo yanakuwa bul bul ila ukinuna kazi ipo🤣 inatosha aisee usiendelee kumwaga mchele..
 
Wewe mwisho, unajua mpaka unajua tena. Yes kuna watu miaka na miaka hawataki tugombane, wako lazima wanicheki, nikinuna watafanya chochote nisiwanunie wale wa karibu yangu sana.

Nikuulize je ni kitu Mungu anatoa wengine wabarikiwe ama? Naona kuna wengine hawastahili hili ila ndiyo wanapata pitia mimi. Nakuwa sina jinsi. Kweli ni 🤐🤐🤐🤐😄😄😄😄😄
 
Mungu humchagua yule amtakae so kupitia watu kama nyie wengine hupata na kujifunza pia.
 
Umeona basi unajua na umekutana na wa aina hii. Utanifanya nimwage mchele kwenye kuku wengi 😅😅😅😅 ukiona hadi mtu anakiri kuwa una nyota kali sana. Toka umekuwa kwenye maisha yangu, kila nachogusa kinaenda, zaidi hata kilivyotakiwa kuwa 🙌🙌🙌🙌🙌
Nafikiria hilo tabasamu lako
 
Nilichojifunza sio kila mtu anagusika .

Kuna jirani yetu ukimjaribu basi lazima mpoteane .

Nilimfata na kumuuliza inakuaje kila anayetaka kukufanyia ubaya au anayekufanyia anapoteana

Alinijibu kuwa hiyo hata yeye hajui na wamezikwa watu wengi na kupoteana tangia zamani.

Mimi mwenyewe najiuliza hii ni nguvu ya aina gani? Kila anayekujaribu anapoteana?.
Nilidhani unaongea vitu vya maana,

Kumbe unazungumzia imani za ushirikina.
 
Wewe mwisho, unajua mpaka unajua tena. Yes kuna watu miaka na miaka hawataki tugombane, wako lazima wanicheki, nikinuna watafanya chochote nisiwanunie wale wa karibu yangu sana.

Nikuulize je ni kitu Mungu anatoa wengine wabarikiwe ama? Naona kuna wengine hawastahili hili ila ndiyo wanapata pitia mimi. Nakuwa sina jinsi. Kweli ni 🤐🤐🤐🤐😄😄😄😄😄
Je ambao mtu akigusa imo , ni kweli mnakuwa mnajitunza sana mpo decent Sana

Maana kuna KE wengine ukigusa usipokuwa makini unafirisika kabisa
 
lipia tangazo
 
Nikikukataza kitu usifanye nikakupa tahadhari kitakacho kutokea ukapuuzia basi lazima kitatokea.
Wapo ndugu, rafiki na vijana wa wangu wa kazi wameshuhudia hilo.
Wengine nikisema kitu wanaogopa wananisihi nisiseme hivyo.
Sasa kama nakiona na najua madhara yake naachaje kukupa tahadhari?
Nikiota ndoto flani lazima nisikie habari ya msiba wa mtu ninaye mfahamu. Nikiota tu nawahi kuomba usiku huo huo isitokee kwa ndugu au rafiki wa karibu.
Bibi yangu alikuwa na uwezo wa kutafsiri(kuagua) ndoto. Nadhani nimerithi karama hizo toka kwake.
 
Back
Top Bottom