Kwenye mfumo dume hakuna kitu kinaitwa Ushoga

Kwenye mfumo dume hakuna kitu kinaitwa Ushoga

Hivi kuna mkurya au msukuma au mmasai shoga?? Wale waliokulia huko vijijini acha hawa wa dar..

Hiyo haiwezi kutokea,
Msukuma au mkurya na jamii zenye mifumo ya kibabe haiwezi kutoa vitu vya hivyo. Labda wakulie mjini. Au wachanganye makabila
 
KWENYE MFUMO DUME HAKUNA KITU INAITWA USHOGA.

Anaandika, Robert Heriel
Kuhani.

Nimeona andiko la Kaka Mshana Jr akionesha masikitiko yake kuhusu janga la ushoga ambalo kwa kiasi linaongezeka hapa nchini. Nikaona nami niseme KITU.

Familia, koo, makabila na mataifa yanayoendekeza mfumo dume hayana kitu kiitwacho Ushoga sijui usagaji na matakataka ya namna hiyo.

Mfume dume sio rafiki kwa mambo ya kijingajinga, mfumo dume ni Katili na hauna huruma na mambo ya hovyohovyo. Baba mwenye mfumo dume kamwe hawezi kuruhusu Mtoto wake awe Shoga dunia ingalipo yeye akiwepo.

Ukifuatilia Kwa umakini Watu wenye ushoga na hapa nazungumzia ushoga wa Aina Mbili;

1. Ushoga wa kitabia
2. Ushoga wa kimatendo

Ukiwafuatilia Watu hao wengi wao wamelelewa aidha na Mama tu, au Wanawake, au wamelelewa kwenye familia zenye mifumo ya Haki Sawa, demokrasia, na mifumo jike.

Kukubali kukaliwa tu na Mwanamke ndani ya nyumba ni ushoga tosha, mwanaume anayekaliwa na Mkewe hana la maana atakalo-offer Kwa Kijana wake wa kiume hasa kwenye upande wa malezi.

Mfumo dume, hautampa nafasi kijana kukaakaa na kuwaza ujinga kwani utampa majukumu yanayotumia nguvu na Akili. Mfumo dume utamjenga mtoto katika mazingira ya kumfanya awe kadiri, shujaa, na mwenye aibu na mambo ya ajabuajabu yasiyohusu jinsia ya kiume.

Kupigwa na adhabu za kiume katika familia yenye mfumo dume ni kitu cha kawaida. Wakati mfumo jike unajikita katika perepete, kudekeza mtoto, kumuadhibu mtoto wa kiume huku unambembeleza.

Mfumo dume unamuandaa kijana kukabiliana na Hali ngumu, na kumkomaza kijana bila kukata tamaa na kuikubali hali yoyote. Lakini mfumo jike unakuta litoto halijaandaliwa kukabiliana na hali ngumu, ni kama dume jike hivi, akikutwa na shida kidogo analia Lia. Inafikia hatua kijana anaambiwa ili apewe kazi basi itabidi atoe 0712.

Kuna mmoja akileta Uzi humu ATI sijui Mwalimu wake anamtaka sijui kimapenzi, sijui anamshika Matako, kesi kama hiyo ingepaswa iripotiwe na Media, redio na Luninga Baada ya kijana huyo kumpa kichapo huyo Mwalimu. Lakini Watoto wakiume wamefundishwa uoga.

ATI anaomba ushauri, mwanaume mzima unaomba ushauri kwenye ishu za kipuuzi. Umekuwa Mwanamke? Tena siku hizi Wanawake wanamaamuzi Hawana muda wa kuomba ushauri.

Mfumo dume unamuandaa kijana awe ndio mzalishaji Mkuu, mlinzi Mkuu, mhudumiaji wa familia, jamii na taifa.

Ushoga ni pamoja na kila saa kuwaza mambo ya urembo na utanashati kama Mwanamke. Unataka uwe na Mvuto kila muda kujizingatia kama toto la kike. Kushinda kwenye Gym wiki nzima ni sehemu ya ushoga WA kitabia. ATI lengo ni kutengeneza Mvuto.

Kiasili mwanaume ni mzuri hata asipojiremba, mwanaume kuwaza kujiremba remba ndio ushoga wenyewe huo hasa ushoga wa kitabia. Unajiremba remba ili iwe nini? Mara Kulitoboa pia, mara hereni, mara kuvaa shanga na mikufu, Mfumo dume hauruhusu mambo kama hayo.

Mlezi Mkuu wa familia ni Baba, mafunzo na Maadili yote yanatoka Kwa Baba. Sasa kama libaba lenyewe Mkewe aanamuendesha unategemea huyo MKE ndio amlee kijana katika misingi Bora ya kuwa mwanaume kamili.

Wanaume ni Wakati wa kushika nafasi zetu vizuri. Ubaba ni ubabe lakini ubabe wenye manufaa Kwa familia na jamii.
Sio unacheka Cheka tuu kama lipumbavu.

Unakuta Mbaba anaona kabisa familia yake inaenda mrama, alafu anakalia kusema Hawa Wanawake ndio wanaharibu Watoto. Wanaharibu Watoto wewe ukiwa wapi? Jukumu lako kama Baba hulijui mpaka Mkeo aharibu Watoto? Kama anaharibu Watoto si umfukuze!

Oooh! Sisi Wakristo hatutoi talaka. Pumbavu! Mwanaume mzima unakubali kuamuliwa Maisha na wanaume wenzako hata kama unaona kabisa Jambo hili halipo Sawa. Kisa dini? Kisa nini?

Mfumo dume hautambui Dini isiyotambua nafasi na maamuzi ya mwanaume pale anapoona mambo hayaendi Sawa. Ni aidha, Mkeo na watoto wafuate unachotaka au Waondoke iwe Kwa hiyari au Kwa nguvu yaani kivyovyote bila kujali Matokeo.

Toto linakuwa Shoga unalichekea, ATI liache! Aisee! Familia zenye mifumo dume Hilo kamwe halitotokea na likitokea maamuzi magumu lazima yafanyike bila kujali Nani atasema nini na nini kitatokea.

Nipumzike sasa.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Leo umepiga kwenye mfupa, nakubali kabisa baba lazima uwe mtata, baba uwe mkaksi kweli hata mama watoto akileta za kuleta anachezea kelbu mbele ya watoto wake, yan uwe mbogo kweli. Masuala ya kuleta usawa, mambo ya usawa ni kwenye kununua viwanja huko kila mtu akajenge kwenye mpaka wake, au barabarani huko kila mtu apite kwenye site yake.

Linapo kuja suala la malezi Mwanaume ndo anae andaa watoto wake kuwa wapambanaji wa taifa la kesho. Usitarajie kuona baba alie lishwa limbwata na mkewe akawa na kauli kwa mke au watoto wake. Na hawa wanawake wanao roga waume zao nao wakishtukiwa na ndugu wa mme wanatakiwa kuwajibishwa haswa ikibidi kuachwa kabisa. Wanawake wameharibu sana wanaume kwenye sekta ya familia kwa ushirikina, viburi na dharau kwa wanaume.

Ninapo ona mwanaume mtata na mkali kwenye familia yake huwa nafurahia, kwasababu anajenga misingi mizuri kwa watoto wake hapo kesho, huu ukali uwe katika mambo ya kulenga malezi bora.

Single mamaz wengi hawawez lea mtoto wa kiume akawa imara ukubwani, wengi tunawaona wanakua watoto wa mama. Legelege hawana maamuzi., kila kitu anasema "U know my momy".. Mfumo dume ndo suluhisho katika kuhakikisha watoto wananyooka.
 
Leo umepiga kwenye mfupa, nakubali kabisa baba lazima uwe mtata, baba uwe mkaksi kweli hata mama watoto akileta za kuleta anachezea kelbu mbele ya watoto wake, yan uwe mbogo kweli. Masuala ya kuleta usawa, mambo ya usawa ni kwenye kununua viwanja huko kila mtu akajenge kwenye mpaka wake, au barabarani huko kila mtu apite kwenye site yake.

Linapo kuja suala la malezi Mwanaume ndo anae andaa watoto wake kuwa wapambanaji wa taifa la kesho. Usitarajie kuona baba alie lishwa limbwata na mkewe akawa na kauli kwa mke au watoto wake. Na hawa wanawake wanao roga waume zao nao wakishtukiwa na ndugu wa mme wanatakiwa kuwajibishwa haswa ikibidi kuachwa kabisa. Wanawake wameharibu sana wanaume kwenye sekta ya familia kwa ushirikina, viburi na dharau kwa wanaume.

Ninapo ona mwanaume mtata na mkali kwenye familia yake huwa nafurahia, kwasababu anajenga misingi mizuri kwa watoto wake hapo kesho, huu ukali uwe katika mambo ya kulenga malezi bora.

Single mamaz wengi hawawez lea mtoto wa kiume akawa imara ukubwani, wengi tunawaona wanakua watoto wa mama. Legelege hawana maamuzi., kila kitu anasema "U know my momy".. Mfumo dume ndo suluhisho katika kuhakikisha watoto wananyooka.

Wanaume wengi wenye Misimamo na kusimamia nafasi zao kama wanaume husema Mzee alikuwa Mkoloni vibaya mno
 
Hayo yote uliyoandika ni ukweli usiopingika haya masuala ya 50/50 ndiyo yameleta mlezi mbovu. Baba akikemea kitu au kumuadhibu watoto mama anakuja juu. Na hapo baba akipotezea ndiyo familiainakuwa ya hovyo. Mama ndiye mwenye Sauti analea watoto wote kimayai. Hapo ndipo shida inapoanzia.
 
Wanaume wengi wenye Misimamo na kusimamia nafasi zao kama wanaume husema Mzee alikuwa Mkoloni vibaya mno
Mimi binafsi namshukuru sana mzee wangu alikua mtata sana leo hii najiona nilivyo. I must be the same to my son to make sure ananyooka pia.
 
Dunia ilianza kuaribika pale iliporuhusu haki sawa. Eti ndoa ikivunjika mnagawana mali, mke apigwi na ukimpiga anakushitaki, sasa tunalalamika nini kuhusu ushoga wakati tumeruhusu mengi yasiyoendana na nature ya Dunia hii?
 
Pole Sana Mkuu.
Ahsantee
Mfumi dume unampa mwanaume ulinzi urijali ukuuu
Mfumi dume ndo mfumo rasmi mzuri wa Malezi
Mfumi dume ndo mfumo unajenga familia ,mgawanyo wa kimajukumu kati ya ke na me
Mfumi dume ndo mfumo ni mfumo wa kutengeneza familia zenye misimamo,Heshima utu na uadilifu vizazi bora
Baba lazima awe baba na mama lazima awe mama

Hakuna usawa kati ya mwanaume na mwanamke mpk Dunia iishe
Mwanamke kujifanya mwanaume ni ukosefu wa akili na vivyo hvyo Kwa mwanaume pia
Mwanaume na mwanamke anayeingiliwa ,anaeshabikia na kutetea vitendo vya mapenzi ya jinsia Moja wote ni wakosefu wa akili

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
siku namtafuta mwenzio namwagia tindikali nikiwa namrekodi live,,,ili watanzania wajue ushoga hatuutaki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utaenda wee kuliwa na manyapara gerezani.
 
Waongezeke mara ngapi sasa? Na wamejaa teleee.
Mnaishia kulia kwenye keyboard, tokeni hadharani kupinga km mnaweza.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu mbona kma unashadadia hii ktu ?
 
Kwa zama za sasa tukubali tu "A woman can never raise a man"

Hapo zamani iliwezekana sababu mtoto alikua mali ya jamii. Ila kwa sasa ni uongo mwanamke hawezi, wanaume jukumu la kulea watoto wa kiume ni letu.
Mama humlea mwanawe toka utoto hadi ujana. Ni jukumu la Baba kumtoa kutoka ujana na kumfanya mwanamume!!
 
Upinde wako kila mahali.... hata huku mitandaoni
Mkuu kuna uwezekano kabisa kuna wanaojitambulisha huku kama wanawake ila unakuta ni madunga nyembe , kuna I'd za wadada wengi tu zina sound sauti za kiume kwenye comments .
 
Umeandika ukweli mkuu wangu Robert. Japo labda wengine wanaweza kuitafsiri kwa maana ya kuwa wanaume tuwe wakatili kwa wake na watoto lakini sivyo.

Msisitizo ni kuwa tusichekee masuala ya ajabu ajabu. Na tusidekeze wake au watoto kiasi cha kuwafanya wawe mtorojo.
 
Back
Top Bottom