Km huyu OP ndo ana aminiwa akili kubwa, na hii post yake ndo inaonekana mkombozi wa alicho kusudia kuandika.
Basi Ushoga utazidi kukua na kuenea kwa kasi hapa Nchini. Yaan hii ndio akili ya wabongo ktk pingamizi juu ya suala la ushoga.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kazi ipooo. Mtatesekaaa sanaaaa, poleeeeni.