Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Unafiki hauondoki bila ya kukumbushwa uzalendo kuntu....Mimi ninachojaribu kusema hapa ni kwamba tatizo halipo kwa viongozi, ila kwa wanaoongozwa. Wanaoongozwa ni wanafiki, hawawapendi viongozi wao toka rohoni. Wanatamani viongozi hao hata wawe wanafukuzwa mara kwa mara
Wengine wanajinafasi...wengine wanapambana na hali zao. Yote maisha
Shaka amekwenda kama ShakaTumia maneno machache kuwaambia watu Shaka alienda kama nani? maelezo meeeengi
Na iwe hivyo, AminaUnafiki hauondoki bila ya kukumbushwa uzalendo kuntu....
Mitaala ya shule imebadilika....hawa watoto wadogo watakuwa ni wazalendo kuzidi kizazi chetu kilichozaliwa miaka ya 80 mpaka ya 2000......
Ana Sura nzuri, anapendeza, atavutia wawekezaji!Kuna jambo limenistua kidogo japo linaonekana la kawaida lakini ni kubwa sana katika siasa na uadilifu,
Huyu Mwenezi wa CCM Bwana Hamdu Shaka, ana role gani kwenye ziara ya Rais huko Dubai katika mkutano huu wa kibiashara?
Mlinzi?
Mwekezaji?
Mfanyabiashara?
Mjasiliamali?
Machinga?
Kangomba?
Mwandishi?
Mpishi?
Msanii?
Ni Kayemba?
Ntu ya Dili?
Mkutano wa Kibiashara, Viongozi wa Ccm wanatumia pesa ya umma kwenda kusaka wanachama huko au ndio zamu yao ya kula nchi kwenyewe?
Ujio wa YerickoNyerereApp.
App imekamilika na itazinduliwa soon,
App hii itakuwa ni ya kulipia kwa
Wiki 5,000/=,
Mwezi 10,000/=,
Miezi Mitatu 20,000/=
Miezi sita 25,000/=
Mwaka mmoja 30,000/=
Ukishalipia vitabu vyote utasoma Soft copy BURE yaani FREE kupitia simu yako kuanzia Kitabu cha Ujasusi, Madaraka, Strategy na Mtu baada ya Mtu.
Malengo ni kuwa na platform inayomfanya kila mtu asome vitabu kwa kiasi chochote cha pesa alichonacho, na mtu atasoma kitabu kwa simu, iPad yake bila kuhangaika kunipigia simu mimi.
View attachment 2135726
matumizi mabaya ya kodi zenu. ccm ni mchwa unashangaa nn?Kuna jambo limenistua kidogo japo linaonekana la kawaida lakini ni kubwa sana katika siasa na uadilifu,
Huyu Mwenezi wa CCM Bwana Hamdu Shaka, ana role gani kwenye ziara ya Rais huko Dubai katika mkutano huu wa kibiashara?
Mlinzi?
Mwekezaji?
Mfanyabiashara?
Mjasiliamali?
Machinga?
Kangomba?
Mwandishi?
Mpishi?
Msanii?
Ni Kayemba?
Ntu ya Dili?
Mkutano wa Kibiashara, Viongozi wa Ccm wanatumia pesa ya umma kwenda kusaka wanachama huko au ndio zamu yao ya kula nchi kwenyewe?
Ujio wa YerickoNyerereApp.
App imekamilika na itazinduliwa soon,
App hii itakuwa ni ya kulipia kwa
Wiki 5,000/=,
Mwezi 10,000/=,
Miezi Mitatu 20,000/=
Miezi sita 25,000/=
Mwaka mmoja 30,000/=
Ukishalipia vitabu vyote utasoma Soft copy BURE yaani FREE kupitia simu yako kuanzia Kitabu cha Ujasusi, Madaraka, Strategy na Mtu baada ya Mtu.
Malengo ni kuwa na platform inayomfanya kila mtu asome vitabu kwa kiasi chochote cha pesa alichonacho, na mtu atasoma kitabu kwa simu, iPad yake bila kuhangaika kunipigia simu mimi.
View attachment 2135726
Aaaamin 🙏Na iwe hivyo, Amina
Jengeni kwa pesa zenuKwa hiyo unataka wakujengee wewe nyumba?
Ungeziketa wewe hizo threads fikirishi wala tusingesoma za huyo YNThreads za kipumbavu zinaanzishwa kila siku humu JF kuponda kila hatua ambayo Rais SSH anafanya. Halafu eti Yericko Nyerere naye ni mtunzi wa vitabu vya KIJASUSI.
Tafuteni mada fikirishi siyo haya maongezi ya jikoni
Jibu swali ameenda kama nani?? unajimwaya mwaya tuu!Kumbe unawaadaa watu ili upromote app yako…Siku hizi chadema hamna mvuto mmekosa hoja za msingi
Marhaba mjukuu wanguMkuu utakua umekula chumvi nyingi hongera Sana.
Kenyatta senior ulimuona na ulikua 20+ ?
Shikamoo!
Kwani M/kiti wa Taifa wa CCM wamesharuhusu siasa za kwenda kwa wananchi kuwapa hiyo elimu? Wewe Kamanda uliyechoka vipi tena?Habari za mwenezi taifa wa CCM kuonekana Dubai tunaikomalia sana. Huku mkibeza alienda kununua vipodozi hazitusaidii.
Kuwabeza wanaCCM waliokosa uteuzi kama Makonda na wenzake pia sio busara maana hayo ya kukosa shavu ni ya kwao.
Sisi tujadili mambo ya msingi kama kuwa na sera na hoja zinazoendana na wakati huku tukiwapa elimu wananchi. Hasa namna taifa lao linanyonywa hovyo na wanaCcM huku wakikataa katiba mpya ambayo italeta mabadiliko.
Polepole nadhani Yuko na hasira na Mwenyezi yoyote wa fisiemuKuna jambo limenistua kidogo japo linaonekana la kawaida lakini ni kubwa sana katika siasa na uadilifu,
Huyu Mwenezi wa CCM Bwana Hamdu Shaka, ana role gani kwenye ziara ya Rais huko Dubai katika mkutano huu wa kibiashara?
Mlinzi?
Mwekezaji?
Mfanyabiashara?
Mjasiliamali?
Machinga?
Kangomba?
Mwandishi?
Mpishi?
Msanii?
Ni Kayemba?
Ntu ya Dili?
Mkutano wa Kibiashara, Viongozi wa Ccm wanatumia pesa ya umma kwenda kusaka wanachama huko au ndio zamu yao ya kula nchi kwenyewe?
Ujio wa YerickoNyerereApp.
App imekamilika na itazinduliwa soon,
App hii itakuwa ni ya kulipia kwa
Wiki 5,000/=,
Mwezi 10,000/=,
Miezi Mitatu 20,000/=
Miezi sita 25,000/=
Mwaka mmoja 30,000/=
Ukishalipia vitabu vyote utasoma Soft copy BURE yaani FREE kupitia simu yako kuanzia Kitabu cha Ujasusi, Madaraka, Strategy na Mtu baada ya Mtu.
Malengo ni kuwa na platform inayomfanya kila mtu asome vitabu kwa kiasi chochote cha pesa alichonacho, na mtu atasoma kitabu kwa simu, iPad yake bila kuhangaika kunipigia simu mimi.
View attachment 2135726
Ni CCM pekee ambapo ukweli huitwa matusi.Mkuu Bujibuji matusi ,dhihaka na uzushi si mbeleko ya kisiasa......
Hapo ni kulipana posho tuKuna jambo limenistua kidogo japo linaonekana la kawaida lakini ni kubwa sana katika siasa na uadilifu,
Huyu Mwenezi wa CCM Bwana Hamdu Shaka, ana role gani kwenye ziara ya Rais huko Dubai katika mkutano huu wa kibiashara?
Mlinzi?
Mwekezaji?
Mfanyabiashara?
Mjasiliamali?
Machinga?
Kangomba?
Mwandishi?
Mpishi?
Msanii?
Ni Kayemba?
Ntu ya Dili?
Mkutano wa Kibiashara, Viongozi wa Ccm wanatumia pesa ya umma kwenda kusaka wanachama huko au ndio zamu yao ya kula nchi kwenyewe?
Ujio wa YerickoNyerereApp.
App imekamilika na itazinduliwa soon,
App hii itakuwa ni ya kulipia kwa
Wiki 5,000/=,
Mwezi 10,000/=,
Miezi Mitatu 20,000/=
Miezi sita 25,000/=
Mwaka mmoja 30,000/=
Ukishalipia vitabu vyote utasoma Soft copy BURE yaani FREE kupitia simu yako kuanzia Kitabu cha Ujasusi, Madaraka, Strategy na Mtu baada ya Mtu.
Malengo ni kuwa na platform inayomfanya kila mtu asome vitabu kwa kiasi chochote cha pesa alichonacho, na mtu atasoma kitabu kwa simu, iPad yake bila kuhangaika kunipigia simu mimi.
View attachment 2135726
Hiki chuo mlichojengewa na Putin au kingine?Ndio maana chama bora Afrika kinazidi kuwa bora kwa kutuletea chuo cha UONGOZI JULIUS NYERERE pale Kibaha....
Utasomea ndani ya app tuje nikishajiunga na hyo app yako hvyo vitabu ntakhwa na uwezo wa kuvi appload au ni lazma kuvisoma ndani ya app?maana hicho cha ujasusi nilikitafuta sana nkatoka empty