Ladies tajeni Wanaume mnaovutiwa nao humu JF

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hakunaga km mwamba wa kaskazini kwanza sijaona wa kumreplace kwenye nafasi yake!!
Ila nacheka hapa mbavu zinaniuma balaa, dada utaniponza ujue 🀣🀣🀣
Hii style ya kuweka jina lingine ukifungua unakuta lingine mmeitoa wapi jamani😁😁Mie nikasema ukute shemeji yangu anahujumiwa ngoja nimchungulie huyo mwamba wa kaskazini mara paaaap namkuta ni mwamba kweli umekamatika
 
🀣🀣🀣🀣 ukafungua mbio mbio ufumanie!! Dada mpana wewe!! Hapo ushajipanga kukiwasha kwann anaibiwa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Dada yangu mpenda pesa hakunaga km wewe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…