Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Hii style ya kuweka jina lingine ukifungua unakuta lingine mmeitoa wapi jamani😁😁Mie nikasema ukute shemeji yangu anahujumiwa ngoja nimchungulie huyo mwamba wa kaskazini mara paaaap namkuta ni mwamba kweli umekamatika😂😂😂😂 Hakunaga km mwamba wa kaskazini kwanza sijaona wa kumreplace kwenye nafasi yake!!
Ila nacheka hapa mbavu zinaniuma balaa, dada utaniponza ujue 🤣🤣🤣