Missy Gf
JF-Expert Member
- Oct 30, 2022
- 5,441
- 15,201
Huyu mimi simtaki jamani apambane na wastaafu wakeMbona Kwa msisitizo sana🤣?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu mimi simtaki jamani apambane na wastaafu wakeMbona Kwa msisitizo sana🤣?
Kuna vitu special, watu hawajui tu, vipo vitu special sana🤣🤣🤣 liwe halina aibu, linajiachia, limepiga mvinyo kidogo kuondoa wingu la aibu..dadeq! Naacha uzee wangu kwa mda🤣🤣Eeeh unahangaika nazo🤣
Naona unataka nikuimbie sasa 😅😂Anakua anakuimbia wimbo Gani?
Sijui uko na nani karibu afiche hiyo simu kwanza🤔🤣🤣🤣🤣🤣 dada sio mimi ni haya maji niliyokunywa
Mbona huba lishakufa kitamboWifi jana kamtaja mwingine kamuacha buloo 🤣🤣🤣🤣
Hujamalizia kitu kimoja,liwe lisafiiii😂Kuna vitu special, watu hawajui tu, vipo vitu special sana🤣🤣🤣 liwe halina aibu, linajiachia, limepiga mvinyo kidogo kuondoa wingu la aibu..dadeq! Naacha uzee wangu kwa mda🤣🤣
Bff Missy Gf umeona huyu kichaa bora ulivyomkataa angekata chain yako ya gold 😂😂😂😂😂Hatari Mzee. Unapewa shoo ya hela yote, hakuna kubaniwa baniwa. Kazi inakuwa kwako tu kuligeuza unavyotaka, mpaka mnakata shanga 😅
Portable kwangu nope, yaani portable kabisa kweli? Nataka mzigo...70kg+Kila rika Lina mashangazi wake mkuu. Alafu kitu unachotakiwa kukifuta kichwani, shangazi sio lazima awe mnene au tipwa tipwa. Wapi ambao ni portable tu
Kwa Neema na Baraka za Mungu, jambo hili linazungumzika, na tutazungumza kwa upendo, na tuta afikiana kwa salama na Amani , na tutasonga mbele pamoya 🐒Nitaua mtu 🤣🤣🤣🤣
Hiyo ni pie, liwe na natural scent toka kwa Mungu, sitaki marashi mie....ile inayoleta mzuka🤣🤣Hujamalizia kitu kimoja,liwe lisafiiii😂
Endelea kumpa sifa ambazo hana. One day utaangukia kwa mwenye sifa hizo 😅Si unaona ninavyocheka hata mademu wanavyokukataa 😂😂😂😂
Yule jamaa anajua nakwambia ukweli ohhh show show mpk nyau inatepeta 🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
🤣🤣🤣🤣🤣 dada nimeacha🤣🤣🤣Hivi unavutaga bange?
Nataka nikimpata wa kumuogesha nijue nyimbo za kumwimbiaNaona unataka nikuimbie sasa 😅😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 dada nimeacha
Waje hata km hao wazee wa hovyo waone kitakachowakuta 🤣🤣🤣🤣Kwa hiyo huyo Mzee atazipanga hapahapa jukwaani?duuuh hatari😂😂😂
Huyo Watu8 itakuwa alitoka na mbibi wa makamo, akahisi ni Shangazi. Siku akitoka na shangazi, lazima aje kuomba ladhi jukwaani 😅Watu8 kasema hapo juu eti mashangazi Hadi tuchemshiwe maji ya moto ndio tupate joto mi nikazooom tu nikasema hiiiiiiiiiii huyu siku akinasa Kwa mshangazi Mmoja atajua alichelewa kujua
Aweee kwani naniii amekuacha??? 🤣🤣🤣