Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Bina weee!! Kumbe kig ndo ananizagamulia binamu yangu?? 🤣🤣🤣Nampenzi wangu Honeeeeeyyyyyyy
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bina weee!! Kumbe kig ndo ananizagamulia binamu yangu?? 🤣🤣🤣Nampenzi wangu Honeeeeeyyyyyyy
Nimeacha baba 🙏Yes,
siri za ufalme ni kuzitunza vizuri kabisa aise 🐒
Hahahahaha..machalii wa chuga...waduduEndelea kunichachua uone, sie wazee wa mjini hatuna aibu, shauri yako. Kwanza umesema upo na raia ya chugga, hivi kweli?...chugga?...wala miraa? Phew!
Huyu ni mchumba mpya nimempata muda mchache ulopita, ngoja nione kama na yeye atanifikisha kitonga.Bina weee!! Kumbe kig ndo ananizagamulia binamu yangu?? 🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣 mnaniponda au sio??Hahahahaha..machalii wa chuga...wadudu
🤣🤣🤣 hapo umejipata bina huyo mwenyewe kabisaa.!!Huyu ni mchumba mpya nimempata muda mchache ulopita, ngoja nione kama na yeye atanifikisha kitonga.
Undertaker 🤣🤣🤣🤣Tena nasikia mashetani yakipanda sio cheni tu hata kukubeba na kukutupa chini km jiwe sio shida zake, huyo umeme mdogo kichwani 😂😂😂😂😂
hiyo nayo ntafanya consideration kuone vile itafanyeje kwa wakati muafaka 🐒Niwekee bando ili iwe rahisi kuwakumbusha 😜
Naomba link jf app ya zaman
nikajua nastruggle peke yangu na hii mpya… mbaya na haivutiiMpya haivutii
Na Mungu akubariki sana.Nimeacha baba 🙏
Nisamehe sana
Atakuua usijaribu bff 🤣🤣🤣🤣Undertaker 🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣 hapo umejipata bina huyo mwenyewe kabisaa.!!
Kuna kitu nataka nikuulize bina
Hahahahaha..sijaponda mtu🤣🤣🤣🤣 mnaniponda au sio??
Hujui wadudu ndio wazuri wananyevua nyevua
Ukorofi tuu 😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣 Shangazi kapoa sana anazidi kubongeka inatakiwa tumtie motro apungue.!!
Kashaizoea ndoa 😂😂😂
Asap mh waziri 😜hiyo nayo ntafanya consideration kuone vile itafanyeje kwa wakati muafaka 🐒
Weeeeh kama nimejipata bina aweeeeh ntacheza ngoma za kikwetu miee.🤣🤣🤣 hapo umejipata bina huyo mwenyewe kabisaa.!!
Kuna kitu nataka nikuulize bina
Usiende mwayego anakuwaga mwezi mchanga yule 😂😂😂😂Siendi bff ushanikanya
Shem mbona hueleweki sasa?? 😂😂😂😂 coca mshaachana mara hii??Evelyn Salt amka unitaje