Hivi huyo kwenye RED kapotelea wapi? haonekani humu jamvini isije kuwa no wale wahanga wa mabomu ya ntwara!!!!!
kweli hapa umesema mwaya
hata CHAI CHUNGU alipata kule kule
naona na Baba V kakomalia huko huko inawezekana naye anatafuta
kweli hapa umesema mwaya
hata CHAI CHUNGU alipata kule kule
naona na Baba V kakomalia huko huko inawezekana naye anatafuta
Konnie nitafutie kina Nivea, MwanajamiiOne, Mzee wa Rula, snowhite, BAK Mzee Mwanakijiji Bishanga na manoah uwapangie kamati please.
Umemsema mjeda CHAI CHUNGU umenikumbusha mbali sana na mikasa yake! Hivi yuko wapi?
Nilishamwambia hilo handsome, nadhani atalizingatia....Mie na Kisura FP tuachie idara ya Burudani weye na Bi Harusi @ Lady Doctor na waalikwa wote mtasuuzika roho zenu. Hongera zenu nyingi.