Aisee kumbe, duuh kweli vero alishindikanaNa
Vero mwenyewe amemfanyia mbaya huyo mdogo wake Masha aisee Kuna wanawake wabovu Ila wana nanihii tamu sijui zinawasumbua watu.
Demu kamzingua sana huyo mdogo wa Masha nae baada ya mzigo kukata
Itakuwa kapigwa kipapaiWakuu Mungu awe Nanyi Muda Wote.
.
Hii Taarifa Sio Muhimu Sana na Mtanisamehe Ambao Mtaona Au Mtajisikia Vibaya.
.
Napenda Kuwapa Taarifa Kwamba Ndugu Yetu Mkakaro Kagere Mkakaro Amefariki Dunia Jana Sa10 Jioni Kwa Saa za Afrika Mashariki Hospital ya mzena.
.
Kagere Alikuwa ni Msaidizi Wa Rais Jk Baada akawa Msaidizi(Mlinzi) Wa Makamu Wa Rais Wakati Ule Dr. Bilali.
.
Dr. Mwinyi alivyopitishwa na Ccm Kuwa Mgombea Urais Zanzibar Mkakaro Akawa Comadate 1 Wa Rais Mwinyi.
.
Uchaguzi Ulivyoisha aliendelea Kuwa Ocampo 1(Samahani Hizi Ni Lugha za Mbweni zaidi) Wa Rais Mwinyi Huko Zenji.
.
Hata Mwezi Haujaishi Kagere Akaumwa Sana Mguu na Kichwa ikabidi arudishwe Kwao Musoma akapata Tiba Akarudi Zenji Kazini.
.
Baadaye akaanza Kuumwa Kichwa Na Ule Mguu ukazimba Ukawa Mkubwa, So jana Amefariki Sa10 Jioni Hospital ya Mzena-Mikocheni.
.
Taratibu za Kuupeleka Mwili Kwao Musoma-Mara Zinaendelea.
.
R.I.P Comadate Mkakaro Kagere Mkakaro[emoji24]
Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 2127041
Inaonekana huu ni mjadala unaohitaji uwanja mpana.....Kila kifo kina risala yake
Poleni sana familia ya Ntararagala Chilangi....Rest in Eternal Peace Fallen Soldier!Jamaa ameteseka Sana almost mwezi Yuko Mzena anajiuguza Ila hawaoni Ugonjwa wwote
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa ameteseka Sana almost mwezi Yuko Mzena anajiuguza Ila hawaoni Ugonjwa wwote
Sent using Jamii Forums mobile app
Kma ni mtu wa system apepe motoni tuJamaa ameteseka Sana almost mwezi Yuko Mzena anajiuguza Ila hawaoni Ugonjwa wwote
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu fafanua kidogo komrediKARMA; hawa watu wanaofia hospitali ya Mzena wana mambo mengi sana ya mauza uza nyuma ya pazia!!
Huyo jamaa mshamba sana kwahiyo kufahamiana na watu lazima uwe idara moja na unayemfahamu?Sio Kila anacomment hapa ana kitambulisho Mzee Wengine Tulisoma nae Chuo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mshamba wa koromije alikuaMkakaro huyu huyu aliekuwa pale jumba jeupe au? Mimi nilimfahamu kwa jina la Charles Mkakaro au baba Glady, bado mdogo nini kimemkuta?
Sema jamaa alikua anapenda kutishia watu maisha, zile za unanijua mimi alikua nazo sana
Hebu fafanua kidogo komredi
Ushamba MzigoHuyo jamaa mshamba sana kwahiyo kufahamiana na watu lazima uwe idara moja na unayemfahamu?
Mie mbona nawajua vipepeo wengi tu wengine nilisoma nao sasa haina maana kwamba nikimtolea taarifa ya ugonjwa ama msiba lazima nami niwe naye ofisi moja.
Pole sana kwao.Poleni sana familia ya Ntararagala Chilangi....Rest in Eternal Peace Fallen Soldier!
Utakua ulimaanisha familia ya mzee Mtaragala Chilangi wa pale Kamunyonge jirani na kikosi cha kutuliza ghasia (FFU).Poleni sana familia ya Ntararagala Chilangi....Rest in Eternal Peace Fallen Soldier!