Uchaguzi 2020 Lamadi: Wananchi wafunga barabara na kumtaka Tundu Lissu asipite bila kuzungumza chochote

Magufuli na ccm wanatamani haya angekuwa anafanyiwa yeye. Anashangaa mtu ambaye hajajenga hata kisima kimoja cha maji anafurahiwa sana hivi. Dhambi ni mbaya sana. Zinakutenga na upendo wa Mungu.
Kufurhiwa siyo kupewa kura. Tukumbuka mafuruko ya 2015 ambayo bado hayakumpa kur mgombea wa CHADEMA wakati huo
 
Bado watanzania wanaendelea kufikiri ushindi wa kishamba wa kukimbia na masanduku ya kura ili kuiba ushindi.

Nakumbuka nikiwa mtwara nilimshuhudia Huyu waziri wetu mkuu enzi hizo akiwa mwalimu akifanikisha kutorosha masanduku ya kura za uraisi kwa usimamizi wa Meck sadiq aliyekua mkuu wa pale wakati ule wakitumia gari aina ya Izuzu pick up(van) mali ya kampuni ya Muhamad enterprises.

Hapa ndipo alipopatia uteuzi wa ukuu wa wilaya aliyoteuliwa na Mh Kikwete.
Zama zile kwa sasa zimebadilika, na hata huu ubunge majaliwa aliyopora haki ya watu kuchagua na kuamua kuwatawala kinguvu asistaajabu atakapo utapika kwenye kulazimishwa kuuachia kwenye vyombo halali vya kisheria vitakapokuwa huru kutenda haki
 
Lissu akiapishwa anaanza na Katiba mpya na Chaguzi kidogo kwa wale wote walioenguliwa kinazi
 
Hamna lolote,amuulize Lowassa kilichomkuta,he is wasting his time
 

Kamanda tunaomba jukwaa usilikimbie kabisa tarehe 28
 
Well Spoken
 
Natoa pongezi kubwa kwa Watanzania wenzangu kwa kukataa kuingizwa kwenye siasa za Ukabila ambazo CCM awamu ya tano ulikuwa ikizihubiri

Natoa pongezi za kipekee wa Wasukuma na Wanyantuzu kwa kukataa kuchonganishwa na ndugu zao na Watanzania wenzao

Mungu ibariki Tanzania.
 
Magufuli na ccm wanatamani haya angekuwa anafanyiwa yeye. Anashangaa mtu ambaye hajajenga hata kisima kimoja cha maji anafurahiwa sana hivi. Dhambi ni mbaya sana. Zinakutenga na upendo wa Mungu.
Sio mara ya kwanza kuona sarakasi za kudeki barabara....mwisho wa siku mpira kwapani
 
Hapa siongelei watu kufagia barabara. Naongelea wingi wa uungwaji mkono wa Lissu. Kanda zote zenye wapiga kura wengi ziko kwa Lissu tofauti na chaguzi zingine zote
Sio mara ya kwanza kuona sarakasi za kudeki barabara....mwisho wa siku mpira kwapani
 
Wananchi wa Lamadi wakimdekia barabara Mhe. Tundu Lissu asubuhi hii
Huu ni uchanguzi kati ya machungu na mateso dhidi ya furaha na tabasamu kila mmoja ataamua kwa kadiri ya upeo wake ila majuto siku zote ni mjukuu, kupanga ni kuchagua kura yangu ni kwa TL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…