Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waendelee kuzitumia ila iwe kwa mifuko yao kuanzia manunuzi hadi matunzo ikiwemo mafutaland cruiser vx v8 hii gari isikie tu!
Hii ni ndege ya chini!
Ukionja hii gari unaweza ishauri serikali kuwe na leseni maalum kwa madereva wa hizi gari maana ni ndege ya chini wallah!
Nahisi ndiyo maana ilibatizwa Ushangingi maana ni kweli VXV8 ni shangingi la njia siyo uwongo!
Na ukitaka kuielewa vizuri panda kwenda safari ndefu ndiyo utajua TOYOTA HAPA ALITULIZA KICHWA.
Ulaibu wa hii gari ni viongozi wachache sana wakiafrika wanaweza kukubali kuushinda ili waachane kununua magari Haya ya gharama kubwa!
Zote zipo fiti ila hii land cruiser vx v8 2022 ni kiboko yao!
Ni gari bomba sana, very comfort, stable, luxury, High speed tolerance, sensor of crush, music system, massaging seat, sleeping sensor and much more!
Napata ugumu kukuelewesheni hii ya 2022 ilivyo bora na bomba ila kama kuna mtu yuko karibu na mwigulu nchemba anayo moja bado mbichi kabisa unaweza kuitizama ni mashine!
Land cruiser vx v8 inasifa moja kuu! INAOMBA NJIA MUDA WOTE!
Tunawalaumu bure viongozi wanavyopita pyuupyuupyuu huko barabarani siyo wao! Bali ni land cruiser vx v8 ndivyo inataka mambo hayo!
Naomba Mungu anijalie na mimi siku nimiliki yangu!
View attachment 2373415
Hizi ambazo warranty ikiisha Inabidi ufanye mpango kuchukua nyingine,hizo Ni za kupigia picha sio Gari za kwenda field.Hv nyie Mmezion BMW X7 Audi Q7, Porsche na benzi gl300
Hyo sio v8 ni v6
Wamehairisha v8 sababu za kimazingira
MwambieHizi ambazo warranty ikiisha Inabidi ufanye mpango kuchukua nyingine,hizo Ni za kupigia picha sio Gari za kwenda field.
Uzuri wa v8 ukipita kwenye matuta na machimo huyasikiiVxr v8 ni habari nyingine.
Hua najiuliza kwa nini serikali nyingi za kiafrika viongozi wanapenda hiki chuma, ni habari nyingine.
Hata viongozi wa ulaya wanatamani wangekua wanatumia Toyota sema kwa unafiki wa kuonyesha uzalendo unakuta wanalazimika kupanda magari ya kampuni zao.
Majanga siku hizi zinaitwa Bi-tozoNi gari nzuri sana ila tatizo linakuja tunapoyatumia kwa anasa wakati uchumi wa tozo.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Hicho kiberenge IST unaomba ligi la V8 kweli? Au unatafta kupasuka bure msambwanda!Mimi na IST huwa natembea hadi 150 usiku. Nikwa nasafiri napenda kutembea usiku kwa vile hakuna 50.
Kwa jinsi mziki wa IST ulivyo mtamu, sioni haja ya gari nyingine ya gharama kubwa.
Wengi wana magari mazuri but driving skills ni ndogo. Ni mwendo wa kuwatesa na magari yao huko bara barani. Wengine wanaojichanganya kuleta ligi, huwa wanaishia kuaibika.
Ile mbona unafukia matuta tuBarabara zenyewe ziko wapi, matuta kila baada ya 1Km
Hawezi shughuli za Rough RoadMuulize na Range Rover 2022 model
MuongoKaka hio nibhatar.nakunbuka nilipanfaga dom dar masaa 4
Sisi ngoja tu opt kwenye crown tu.hizi ni za kina mwigulu 😊land cruiser vx v8 hii gari isikie tu!
Hii ni ndege ya chini!
Ukionja hii gari unaweza ishauri serikali kuwe na leseni maalum kwa madereva wa hizi gari maana ni ndege ya chini wallah!
Nahisi ndiyo maana ilibatizwa Ushangingi maana ni kweli VXV8 ni shangingi la njia siyo uwongo!
Na ukitaka kuielewa vizuri panda kwenda safari ndefu ndiyo utajua TOYOTA HAPA ALITULIZA KICHWA.
Ulaibu wa hii gari ni viongozi wachache sana wakiafrika wanaweza kukubali kuushinda ili waachane kununua magari Haya ya gharama kubwa!
Zote zipo fiti ila hii land cruiser vx v8 2022 ni kiboko yao!
Ni gari bomba sana, very comfort, stable, luxury, High speed tolerance, sensor of crush, music system, massaging seat, sleeping sensor and much more!
Napata ugumu kukuelewesheni hii ya 2022 ilivyo bora na bomba ila kama kuna mtu yuko karibu na mwigulu nchemba anayo moja bado mbichi kabisa unaweza kuitizama ni mashine!
Land cruiser vx v8 inasifa moja kuu! INAOMBA NJIA MUDA WOTE!
Tunawalaumu bure viongozi wanavyopita pyuupyuupyuu huko barabarani siyo wao! Bali ni land cruiser vx v8 ndivyo inataka mambo hayo!
Naomba Mungu anijalie na mimi siku nimiliki yangu!
View attachment 2373415
IST ukila mzinga,uwezo wa kulala yoo ni Mkubwa sana, haya magari yaache tu MkuuMimi na IST huwa natembea hadi 150 usiku. Nikwa nasafiri napenda kutembea usiku kwa vile hakuna 50.
Kwa jinsi mziki wa IST ulivyo mtamu, sioni haja ya gari nyingine ya gharama kubwa.
Wengi wana magari mazuri but driving skills ni ndogo. Ni mwendo wa kuwatesa na magari yao huko bara barani. Wengine wanaojichanganya kuleta ligi, huwa wanaishia kuaibika.
Hizo ndio zinabeba maana halisi ya ndege. Maana hamna ndege inajazwa tu mafuta na kula misele.Hizi za trip one road trip nyingine Garage 😄😄
Sasa ulitaka apeleke gari gani wakati chuma zote ni Luxury?Nilishangaa sana Wkt wa hii Vita ya Ukraine Boris(PM wa UK by then) alinunua landcruiser za kutosha na kuzipeleka Ukraine kusaidia Vita,sijui kwanini hakununua Gari yoyote Ile kutoka Landrover(UK) na kuzipeleka field. 😄😄.
USA nao wakapeleka LC 70 series huko Ukraine sijui kwanini hawakupeleka Ford,GM etc