Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 4,994
- 9,625
Silence means acceptedKwa Elfu moja sio mbaya,, muhimu huduma iwe nzuri na isije kupanda Tena nauli,maana hawakawii
Kwanini usafiri wa umma uliojengwa kwa kodi zao ni gharama kubwa? Kuna mambo hayana mantiki.Kama inavyosomeka hapo juu, jana na_scan kadi yangu pale Ubungo Maji naona 1000 imekatwa. Nauliza mhudumu inakuaje ananiambia nauli 1000.
Abiria mwingine naye ananiambia tangu usafiri umerudi ndio nauli wanayokatwa. Naambiwa hiyo haijawahi hata tangazwa.
Sasa Hawa LATRA wanafanya kazi gani!? Inakuwaje watu wanajiamulia tu kuwakata abirria nauli wanayotaka kiharamu tu!?
Naamini wanatuona wanyonge na hatuna lolote la kuweza kuwafanya. Hii sio sawa kabisa.
Sio mbaya!? Kwa faida ya nani!? Kwa nini ipitishwe kimya kimya!? Taratibu za kuomba nauli kupandishwa zimefuatwa!? Zimejali kipato cha wananchi wanaotumia huo usafiri!? Nachokiona hapa ni kuwa "hawana cha kutufanya, wakitaka watapanda na wasipotaka watapanda" ndipo tulipofikia .Kwa Elfu moja sio mbaya,, muhimu huduma iwe nzuri na isije kupanda Tena nauli,maana hawakawii
Sasa tunafanyaje mkuu?kuna pakulalamikia?Sio mbaya!? Kwa faida ya nani!? Kwa nini ipitishwe kimya kimya!? Taratibu za kuomba nauli kupandishwa zimefuatwa!? Zimejali kipato cha wananchi wanaotumia huo usafiri!? Nachokiona hapa ni kuwa "hawana cha kutufanya, wakitaka watapanda na wasipotaka watapanda" ndipo tulipofikia .
Huu ni mzaha au!? Unaponunua bando kwenye simu yako kwa kutumia "simu pesa" huwa unarudishiwa chenji!?Wahudumu wamechoka kuwahangaikia chenji za sh 200 na 50...
mbezi - kivukoni/Gerezani inatakiwa walipe 2000
Gaza- kivukoni/Gerezani inatakiwa 1500
Kwa hiyo tunalalamika kwa sababu hatufanyi kazi!? Je, tunapokuwa tunapanda hayo mabasi, tunakuwa tunaenda wapi!? Kuzurula!? Na nauli tunayolipa huwa tunapata wapi!? Au mwenyekiti wa ccm wa mtaa ndio huwa anatuoa nauli!?Fanyeni kazi vijana muache kulalamika....!! Nchi inajengwa kwa pesa zetu wenyewe...yaani ongezeko la asilimia 33.3% kutoka nauli ya awali ya 750tsh ni liwafanye mlalamike?
Unasemaje mzee?kwako wewe kutoka Morocco hotel to Fire buku siyo jingi?wewe kuwa na uwezo wa kuilipa hiyo 1,000 siyo tatizo.Kwa Elfu moja sio mbaya,, muhimu huduma iwe nzuri na isije kupanda Tena nauli,maana hawakawii
Angalia nilishasemaje kwenye mijadala yangu kuhusu mambo kama haya. Kwa ufupi ni matokeo ya uharibifu. Kama mtu alidhani anaikomoa mamlaka amechelewa. Wacha tufaidike na machumo yetu. Huu ni mwanzo tu. Wacha tule mtori, nyama tutaikuta chini. Mchuma janga hula na wa kwao.
Sasa tunafanyaje mkuu,unataka tutekweUnasemaje mzee?kwako wewe kutoka Morocco hotel to Fire buku siyo jingi?wewe kuwa na uwezo wa kuilipa hiyo 1,000 siyo tatizo.
Em muwazie mmama mjane anayetakiwa akafungashe dagaa mchele pale ferry aje nao mtaani kuunga unga,aende kwa elfu arudi kwa elfu wakati uwezekano wa kuwaruhusu watu waweke gari zao wafanye nauli Tsh 600 upo ila wanabanwa ili wote mpeleke hela mwendokasi,siyo rahisi kihivyo.
yaani sh 250 tu ndio ije kukutoa povu mitandaoni.Kwa hiyo tunalalamika kwa sababu hatufanyi kazi!? Je, tunapokuwa tunapanda hayo mabasi, tunakuwa tunaenda wapi!? Kuzurula!? Na nauli tunayolipa huwa tunapata wapi!? Au mwenyekiti wa ccm wa mtaa ndio huwa anatuoa nauli!?
Kuna mtu ATAKUJA kakwambia TAFUTA Heraaa/pesa/ helaa (money) MWANAUME hawatiagi HURUMA...Kama inavyosomeka hapo juu, jana na_scan kadi yangu pale Ubungo Maji naona 1000 imekatwa. Nauliza mhudumu inakuaje ananiambia nauli 1000.
Abiria mwingine naye ananiambia tangu usafiri umerudi ndio nauli wanayokatwa. Naambiwa hiyo haijawahi hata tangazwa.
Sasa Hawa LATRA wanafanya kazi gani!? Inakuwaje watu wanajiamulia tu kuwakata abirria nauli wanayotaka kiharamu tu!?
Naamini wanatuona wanyonge na hatuna lolote la kuweza kuwafanya. Hii sio sawa kabisa.
mlivyochoma vituo vya mwendokasi mlitegemea serikali itoe wapi pesa za dharura kufanya ukarabati ndani ya wiki 2 tu kurudisha huduma?Huu ni mzaha au!? Unaponunua bando kwenye simu yako kwa kutumia "simu pesa" huwa unarudishiwa chenji!?
Wenye pesa siku hizi nao wanatumia mwendokasi!? Nikajua wana teleza na bodaboda , bajaji na magari yao binafsi!? Kwa kuwa wewe mfanyakazi wa mwendokasi huna wasi. Wewe si unapanda bure hayo magari, unaingilia mlango wa mbele. Hongera.ukiona huwezi gharama nunua baisikeli/boda yako au tembea kwa miguu.
Waacheni wenye pesa waendelee kufurahia huduma za usafiri wa mabasi yaendayo kasi