watu wamewekewa viyoyozi na bado wanalalamika aiseeHepa nipo kwenye mwendokasi naenda mbagaraaa one time aisee full kiyoyozii.
VITI VIPO VIZURI YAAN 😃 YAAN ILITAKIWA KAMA TAIFA TUWE MBARII SANAAAAAA
Kwa Sasa dar es salaam ni JOTO SANAA YAANI UKITOKA NJE NI AHERA/ JEHANAMU
Hili swali ni vyema ungewauliza wakazi wa Mbagala!? Mwambieni Lake Oil naye apandishe bei ya mafuta kufidia uharibifu, si ndiye mdau wenu.mlivyochoma vituo vya mwendokasi mlitegemea serikali itoe wapi pesa za dharura kufanya ukarabati ndani ya wiki 2 tu kurudisha huduma?
29-10/9DWewe member unayejiita Mkono Mmoja unaandika ujinga sana ingekuwa mimi ni wewe mwenye akili ndogo kama hii uliyo nayo ningekuwa nimeshajiuwa mapema maana nisingekuwa na faida hata kwa wanangu sembuse taifa.
Sawa sheikheAngalia nilishasemaje kwenye mijadala yangu kuhusu mambo kama haya. Kwa ufupi ni matokeo ya uharibifu. Kama mtu alidhani anaikomoa mamlaka amechelewa. Wacha tufaidike na machumo yetu. Huu ni mwanzo tu. Wacha tule mtori, nyama tutaikuta chini. Mchuma janga hula na wa kwao.
Lake oil ana bima....hawezi kupiga kelele..!Hili swali ni vyema ungewauliza wakazi wa Mbagala!? Mwambieni Lake Oil naye apandishe bei ya mafuta kufidia uharibifu, si ndiye mdau wenu.
Ukiwa na pesa /Hela malalamiko/ makasiriko hupungua..watu wamewekewa viyoyozi na bado wanalalamika aisee
Jaribu kuficha upumbavu wako japo kidogo. Kwa hiyo Kiyoyozi kwako ni big deal!? Acha ushamba. Wapi uliwahi ona gari ya kiyoyozi watu wanabanana mpaka mlango unabembelezwa kufunga!? Faida ya kiyoyozi inakuwa wapi hapo zaidi ya watu kunyang'anyana hewa!? Elimika kidogo.watu wamewekewa viyoyozi na bado wanalalamika aisee
Kama inavyosomeka hapo juu, jana na_scan kadi yangu pale Ubungo Maji naona 1000 imekatwa. Nauliza mhudumu inakuaje ananiambia nauli 1000.
Abiria mwingine naye ananiambia tangu usafiri umerudi ndio nauli wanayokatwa. Naambiwa hiyo haijawahi hata tangazwa.
Sasa Hawa LATRA wanafanya kazi gani!? Inakuwaje watu wanajiamulia tu kuwakata abirria nauli wanayotaka kiharamu tu!?
Naamini wanatuona wanyonge na hatuna lolote la kuweza kuwafanya. Hii sio sawa kabisa.
Nipo hapa nakula kiyoyozii mpaka NAANZA KUZIDIWA NACHOO 😂😂Lake oil ana bima....hawezi kupiga kelele..!
Mimi nakaa mbagala pia! Ila siwezi kulalamika wakati naona tumewekewa viyoyozi, basi nyingi za mwendokasi tofauti na awali.
Daladala la kawaida ukipanda na doo lako la dagaa mchele unalipia na mzigo....Wewe na mzigo unalipa 2000Unasemaje mzee?kwako wewe kutoka Morocco hotel to Fire buku siyo jingi?wewe kuwa na uwezo wa kuilipa hiyo 1,000 siyo tatizo.
Em muwazie mmama mjane anayetakiwa akafungashe dagaa mchele pale ferry aje nao mtaani kuunga unga,aende kwa elfu arudi kwa elfu wakati uwezekano wa kuwaruhusu watu waweke gari zao wafanye nauli Tsh 600 upo ila wanabanwa ili wote mpeleke hela mwendokasi,siyo rahisi kihivyo.
Umeona ulivyo mjinga?29-10/9D
mbona ulijifungia ndani ukiangalia sinema zetu?
yaaani 250 ni ela ya kuja kuandika uzuri mrefuKama inavyosomeka hapo juu, jana na_scan kadi yangu pale Ubungo Maji naona 1000 imekatwa. Nauliza mhudumu inakuaje ananiambia nauli 1000.
Abiria mwingine naye ananiambia tangu usafiri umerudi ndio nauli wanayokatwa. Naambiwa hiyo haijawahi hata tangazwa.
Sasa Hawa LATRA wanafanya kazi gani!? Inakuwaje watu wanajiamulia tu kuwakata abirria nauli wanayotaka kiharamu tu!?
Naamini wanatuona wanyonge na hatuna lolote la kuweza kuwafanya. Hii sio sawa kabisa.
Lake oil ana bima....hawezi kupiga kelele..!
Mimi nakaa mbagala pia! Ila siwezi kulalamika wakati naona tumewekewa viyoyozi, basi nyingi za mwendokasi tofauti na awal
Mpumbavu sana huyo jamaa. Labda analipwa kuandika humu jukwaani.Wewe member unayejiita Mkono Mmoja unaandika ujinga sana ingekuwa mimi ni wewe mwenye akili ndogo kama hii uliyo nayo ningekuwa nimeshajiuwa mapema maana nisingekuwa na faida hata kwa wanangu sembuse taifa.
Acha porojo hizo. Mimi napanda na wamama wanaotoka feri kwenda gongo la mboto hawalipii ndoo. Tunapandia daladala Eicher hapa NBC posta ya zamani. Wewe kama umeamua kuwatetea wezi sawa ila acha kutunga porojo.Daladala la kawaida ukipanda na doo lako la dagaa mchele unalipia na mzigo....Wewe na mzigo unalipa 2000
ila mwendokasi hawakuchaji gharama za mzigo wako halafu bado unapata faida kibao kama
-Kutosimama kwenye foleni muda mrefu
-kiyoyozi n.k
Nini maana ya kuitwa usafiri wa “umma”?kwamba ni wa kwako ila wewe unachangia kidogo tu ili huduma iweze ku-survive sasa kuwaje iwe bei kubwa!Daladala la kawaida ukipanda na doo lako la dagaa mchele unalipia na mzigo....Wewe na mzigo unalipa 2000
ila mwendokasi hawakuchaji gharama za mzigo wako halafu bado unapata faida kibao kama
-Kutosimama kwenye foleni muda mrefu
-kiyoyozi n.k
Mimi silipwi kwa kodi za wananchi na samia kama wewe. Ninyi si mnalipwa kwenye kitengo chenu cha propaganda. Nyie hamuwezi kuwa na shida. Eti 250!? Mafuta yenyewe huwa yanapanda kwa 100 mpaka 200!? Je kwa nini wasipandishe kwa shilingi 500 au zaidi kama 100 na 200 sio hela!?yaaani 250 ni ela ya kuja kuandika uzuri mrefu