wahuni na majambazi walivyochoma moto nani afidie mtumiaji?Kama inavyosomeka hapo juu, jana na_scan kadi yangu pale Ubungo Maji naona 1000 imekatwa. Nauliza mhudumu inakuaje ananiambia nauli 1000.
Abiria mwingine naye ananiambia tangu usafiri umerudi ndio nauli wanayokatwa. Naambiwa hiyo haijawahi hata tangazwa.
Sasa Hawa LATRA wanafanya kazi gani!? Inakuwaje watu wanajiamulia tu kuwakata abirria nauli wanayotaka kiharamu tu!?
Naamini wanatuona wanyonge na hatuna lolote la kuweza kuwafanya. Hii sio sawa kabisa.
ningekuwa mimi ningepandisha iwe 3000 mpaka watu next time wakiona mhuni anaharibu miundombinu wananchi mumpige wenyewe sio juzi wengine wanashangilia kabisa wanadhania wanaikomoa serikali, wa serikalini wote wana magari yao na wakubwa na vingora tu hawaitaji mwendokasi wala dada yake mwendokasiSilence means accepted
Nauli imepanda kwa 53.846% kutoka 650-1000.
dogo ikipan 100 kwenye mafuta kwakua unanunua lita nyingi ndo inakua ata buku sasa wewe 250 usafiri tena mzuri kelele zote izi, panda baiskeli kama vpMimi silipwi kwa kodi za wananchi na samia kama wewe. Ninyi si mnalipwa kwenye kitengo chenu cha propaganda. Nyie hamuwezi kuwa na shida. Eti 250!? Mafuta yenyewe huwa yanapanda kwa 100 mpaka 200!? Je kwa nini wasipandishe kwa shilingi 500 au zaidi kama 100 na 200 sio hela!?
sio lake oil tu ingetakiwa serikali iongeze bei ya mafuta kwa 500 kwa lita nchi nzima nyongeza ifidie uharibifu uliofanywa na kukomoa kabisa waliohusika na wasiohusika ili next time wote tuwe walinzi wa mwenzakeHili swali ni vyema ungewauliza wakazi wa Mbagala!? Mwambieni Lake Oil naye apandishe bei ya mafuta kufidia uharibifu, si ndiye mdau wenu.
Baada ya 2030, Samia apewe 10 kabisa ili anyooshe nchi.Kama inavyosomeka hapo juu, jana na_scan kadi yangu pale Ubungo Maji naona 1000 imekatwa. Nauliza mhudumu inakuaje ananiambia nauli 1000.
Abiria mwingine naye ananiambia tangu usafiri umerudi ndio nauli wanayokatwa. Naambiwa hiyo haijawahi hata tangazwa.
Sasa Hawa LATRA wanafanya kazi gani!? Inakuwaje watu wanajiamulia tu kuwakata abirria nauli wanayotaka kiharamu tu!?
Naamini wanatuona wanyonge na hatuna lolote la kuweza kuwafanya. Hii sio sawa kabisa.
Ndio upeo wako ulikoishia wala haishangazi,. Unaiangalia 250 kama 250 , mbona hiyo 100 ya kwenye mafuta hujaiangalia yenyewe kama yenyewe bali umedai unanunua lita nyingi!? Kwa hiyo mimi nasafiri mara moja tu!? Kwa wiki ni safari ngapi!? Kwa mwezi je!? Akili, Akili, Akili, ndio tatizo lako.dogo ikipan 100 kwenye mafuta kwakua unanunua lita nyingi ndo inakua ata buku sasa wewe 250 usafiri tena mzuri kelele zote izi, panda baiskeli kama vp
Eit serikali!? Hao viongozi wako waliojiteua wanatumia hela zao binafsi mfukoni kusafiri!? Mbona wao hawapati hayo maumivu!? Akili Akili Akili ndio shida yako.sio lake oil tu ingetakiwa serikali iongeze bei ya mafuta kwa 500 kwa lita nchi nzima nyongeza ifidie uharibifu uliofanywa na kukomoa kabisa waliohusika na wasiohusika ili next time wote tuwe walinzi wa mwenzake
wenye pesa hawalalamiki bob....kuna watu wana magari yao binafsi na bado wanatumia usafiri wa uma.Wenye pesa siku hizi nao wanatumia mwendokasi!? Nikajua wana teleza na bodaboda , bajaji na magari yao binafsi!? Kwa kuwa wewe mfanyakazi wa mwendokasi huna wasi. Wewe si unapanda bure hayo magari, unaingilia mlango wa mbele. Hongera.
kwanini hutaki kutembea kwa miguu kuokoa 750 yako? kuboresha afya yako?Eit serikali!? Hao viongozi wako waliojiteua wanatumia hela zao binafsi mfukoni kusafiri!? Mbona wao hawapati hayo maumivu!? Akili Akili Akili ndio shida yako.
Wala sishangazwi na jibu lako. Hao unaodai wana pesa wasipolalamika ndio inahalalisha wasio na pesa kutokulalamika!? Tumia Akili Tumia Akili.wenye pesa hawalalamiki bob....kuna watu wana magari yao binafsi na bado wanatumia usafiri wa uma.
tafuta pesa kijana upunguze makasiriko mjini! Hiyo 250 hats soda hupati halafu unakuja kujaza servers za Jamii Forums humu.Mara hii umekuwa msemaji wa Lake Oil!? Kazi mwendokasi umeacha!? Kiyoyozi sio big deal. Acha ushamba. Umekazania kiyoyozi kiyoyozi , we mshamba wa kiyoyozi!
kawaulize hao wamama wanaoenda kununua samaki feri wakwambia wanachajia nauli kiasi gani na makonda wa daladalaNini maana ya kuitwa usafiri wa “umma”?kwamba ni wa kwako ila wewe unachangia kidogo tu ili huduma iweze ku-survive sasa kuwaje iwe bei kubwa!
Daladala nauli yake inazungumzika hakuna ndoo inayotozwa 2,000 kwenye daladala.
kama umefika stage ya kulia 250, basi fanya kazi sana, yaaani ongeza juhudi za kutoshaNdio upeo wako ulikoishia wala haishangazi,. Unaiangalia 250 kama 250 , mbona hiyo 100 ya kwenye mafuta hujaiangalia yenyewe kama yenyewe bali umedai unanunua lita nyingi!? Kwa hiyo mimi nasafiri mara moja tu!? Kwa wiki ni safari ngapi!? Kwa mwezi je!? Akili, Akili, Akili, ndio tatizo lako.
Niko mbal, ila ikiwa hayatoki usione ajabu. Mwaka huu/Miaka hii mpaka maji tuite mma. Kule madrasa tunafundishwa kuwasikiliza na kuwatii viongozi hata kama waliingia madarakani kimagumashi, kwani uzuri na ubaya wa viongozi ni matokeo ya matendo ya raia. Rai wema wanaletewa kiomgozi mwema na raia wabaya wanaletewa kiongozi mbaya/mkorofi. Tuendelee tu.Sawa sheikhe
Vipi maji maeneo yenu yanatoka tuje kuchota
nauli ipande hata 2000 ili akili iwakae sawa. yaani nauli ni sawa na senti 10 za dola ya kimarekani na bado unalalamika...Wala sishangazwi na jibu lako. Hao unaodai wana pesa wasipolalamika ndio inahalalisha wasio na pesa kutokulalamika!? Tumia Akili Tumia Akili.
tuliza kalio sindano isije kukatikia ndani!! Watz sio kama wakenya ikipanda sh 10 kwenye Unga wanaitisha maandamano...Mnaotetea udhalimu msisahau kuwakumbusha mabwana zenu dhalimu , waitoe JamiiForums kwenye kifungo. Sio mpaka tuingie kama tuko Russia au sijui wapi huko!?
Ulitangaza vita na umaskini sio?😁🤣Ukiwa na pesa /Hela malalamiko/ makasiriko hupungua..
Ndio maana Mimi nilitangazaga vita na umaskini tangu nikiwa mdogo.
Ukiwa na kipato malalamiko automatic yanapungua mwisho kukoma kabisa
Waambieni mabwana zenu waifungulie JamiiForums! Ipatikane bila vikwazo!tuliza kalio sindano isije kukatikia ndani!! Watz sio kama wakenya ikipanda sh 10 kwenye Unga wanaitisha maandamano...
Tuvumilie, tuendelee kuchapa kazi tukuze uchumi wa Taifa