London hapo housegirl analipwa kuliko unavyolipwa wewe na mabwana zako. Halafu huko hakuna machawa kama wewe.nauli ipande hata 2000 ili akili iwakae sawa. yaani nauli ni sawa na senti 10 za dola ya kimarekani na bado unalalamika...
Tembea kwenye majiji ya wenzetu mfano london tu usafiri wa mabasi ya uma ni paundi 1.75....kwa pesa za kibongo 6000...
Tupige kazi wakuu tuache kulalamika
Unazionea huruma servers za JamiiForums wakati unawaunga mkono madhalimu wanaouua uchumi wa JamiiForums kwa kuizuia isipatikane kwa uhuru kwa Raia wote wa Tanzania. Acha unafiki mpumbavu wewe.tafuta pesa kijana upunguze makasiriko mjini! Hiyo 250 hats soda hupati halafu unakuja kujaza servers za Jamii Forums humu.
Unadhani hela ya kukarabati mwendokasi ilitoka wapi na itarudi vipi?Kama inavyosomeka hapo juu, jana na_scan kadi yangu pale Ubungo Maji naona 1000 imekatwa. Nauliza mhudumu inakuaje ananiambia nauli 1000.
Abiria mwingine naye ananiambia tangu usafiri umerudi ndio nauli wanayokatwa. Naambiwa hiyo haijawahi hata tangazwa.
Sasa Hawa LATRA wanafanya kazi gani!? Inakuwaje watu wanajiamulia tu kuwakata abirria nauli wanayotaka kiharamu tu!?
Naamini wanatuona wanyonge na hatuna lolote la kuweza kuwafanya. Hii sio sawa kabisa.
Kwanini sasa huwa watu wanakaa stendi saa moja mpaka saa tatu asubuhi wakizisubiri mwendokasi wakati nauli iko juu na zinachelewa au ni mazoea tu?Ndo maana watu wameikacha mwendokasi baada ya kurudisha daladala.
Imagine Mbezi mpaka posta ni 800 kwa daladala na Mwendokasi eneo hilo hilo ni 1600. Na wanatumia gesi ya hapa hapa na wanabeba watu wengi.
Warudishe daladala zote milele. Mwendokasi iwe option tu
Hao wamam wasionewe huruma maana ni ccmUnasemaje mzee?kwako wewe kutoka Morocco hotel to Fire buku siyo jingi?wewe kuwa na uwezo wa kuilipa hiyo 1,000 siyo tatizo.
Em muwazie mmama mjane anayetakiwa akafungashe dagaa mchele pale ferry aje nao mtaani kuunga unga,aende kwa elfu arudi kwa elfu wakati uwezekano wa kuwaruhusu watu waweke gari zao wafanye nauli Tsh 600 upo ila wanabanwa ili wote mpeleke hela mwendokasi,siyo rahisi kihivyo.
Hata wangepandisha kwa 5000 wewe chawa huna cha kupoteza. Si mnalipwa kwa kodi za wananchi kufanya propaganda. Inawezekana wewe ndiye gerson msigwa mpiga domo.ningekuwa mimi ningepandisha iwe 3000 mpaka watu next time wakiona mhuni anaharibu miundombinu wananchi mumpige wenyewe sio juzi wengine wanashangilia kabisa wanadhania wanaikomoa serikali, wa serikalini wote wana magari yao na wakubwa na vingora tu hawaitaji mwendokasi wala dada yake mwendokasi
Ninadhani !? Wewe unalo jibu la kwa nini wamepandisha!? Na kwa nini ni 1000 wala sio 1500 au 2000 au 900!? Wewe unajua hela ilitoka wapi!? Na kwa nini wamefanya kimya kimya bila tangazo rasmi!? Ilivyopandishwa toka 650 mpaka 750 mbona ilitangazwa!? Hapa kinachotakiwa ni FACTS na sio dhania. Hizo dhania zako baki nazoUnadhani hela ya kukarabati mwendokasi ilitoka wapi na itarudi vipi?
kuna mtu asiyejua jinsi ya kuipata JF?Unazionea huruma servers za JamiiForums wakati unawaunga mkono madhalimu wanaouua uchumi wa JamiiForums kwa kuizuia isipatikane kwa uhuru kwa Raia wote wa Tanzania. Acha unafiki mpumbavu wewe.
HUNA HABARI KUWA SASA HIVI KUNA BASI MPYA???Kwanini sasa huwa watu wanakaa stendi saa moja mpaka saa tatu asubuhi wakizisubiri mwendokasi wakati nauli iko juu na zinachelewa au ni mazoea tu?
Kuizuia JamiiForums isipatikane kwa uhuru Tanzania ni kuua uchumi wa JamiiForums. Unafikiri makampuni yataipa vipi JamiiFroums matangazo!? Waambieni mabwana zenu wanaowatumikisha waiachie Huru.kuna mtu asiyejua jinsi ya kuipata JF?
NinayoHUNA HABARI KUWA SASA HIVI KUNA BASI MPYA???
Kwani ww shida yako ni kutotangaza au ni kupandisha bei mbona uheleweki.Ninadhani !? Wewe unalo jibu la kwa nini wamepandisha!? Na kwa nini ni 1000 wala sio 1500 au 2000 au 900!? Wewe unajua hela ilitoka wapi!? Na kwa nini wamefanya kimya kimya bila tangazo rasmi!? Ilivyopandishwa toka 650 mpaka 750 mbona ilitangazwa!? Hapa kinachotakiwa ni FACTS na sio dhania. Hizo dhania zako baki nazo
Wakutangazie wanakuogopa,we nani kwanza!?.. halafu unapanda mwendokasi wakati uliuchoma?Ninadhani !? Wewe unalo jibu la kwa nini wamepandisha!? Na kwa nini ni 1000 wala sio 1500 au 2000 au 900!? Wewe unajua hela ilitoka wapi!? Na kwa nini wamefanya kimya kimya bila tangazo rasmi!? Ilivyopandishwa toka 650 mpaka 750 mbona ilitangazwa!? Hapa kinachotakiwa ni FACTS na sio dhania. Hizo dhania zako baki nazo
kweli nawaonea huruma walioshangilia sana uharibifu mbona wa serikalini maisha kaa kawa du unaongeza OC TUkutoka ilioni 10 mpaka 20 kwa mwezi , shida mliowaponza huko chini ndo watasaga menoHata wangepandisha kwa 5000 wewe chawa huna cha kupoteza. Si mnalipwa kwa kodi za wananchi kufanya propaganda. Inawezekana wewe ndiye gerson msigwa mpiga domo.
Mimi bwana wako. Kama jibu unalo ulikuwa unauliza maswali ya nini!? Unadhani unadhani. Nikajua una Facts kumbe dhania tu. Kuzichosha server tu!Wakutangazie wanakuogopa,we nani kwanza!?.. halafu unapanda mwendokasi wakati uliuchoma?