Lavrov wa Urusi awavunja mbavu wajumbe G20 India

Habari imeishia tu hapo?
Halafu unasema umeelewa?
Nenda kaisome upya mpaka maneno ya mtoa mada aliyoandika kwa lugha nyepesi kwako mwishoni mwishoni huko.
Chief acha utoto na jaribu kuwa siriaz.
Fanya jambo moja, ngoja ni ashumu kuwa habari haikomei hapo, kuna maelezo ya ziada. Naomba usikilinshot kipande cha habari hii inapooshesha kuwa wajumbe wa G20 walilia na kulaani uvamiiza wa Ukraine iliofanya dhidi ya urusi.
 
Aiseee. Dah!!!.
 
Kimtu kijinga kamawewe kiko uswahilini kinashabikia marekani kuitawala dunia ili ieneze uchafu wanaotaka!! Hiyo marekani ilipoingia Iraki ulikuwa umezaliwa? Uliona nivema? Unawelewa wajinsi walivyoibomoa USSR? Mambo yandaani tuwaachie wenye akili kubwa sisi tuwaombee
 
Mso

Msomi bila neno ushoga huwezi kuchangia mada.Kwahiyo waafghanstan walipokua wanapigana na warusi walikua mashoga pia???
Wa afghanistan ndio hao wamarekani?? Jifunze taratibu zingatia wakati,wahusika,mahali na uhalisia!! Kaa hapo kwanza
 
Wewe mswahili mujahidina wa hapo mwanakwerekwe acha ukafiri. Kweli wewe ulipendezwa na udikteta na ukatili wa Saadam Hussein kule Iraq?!!! Au kwasababu ni yakhe mwenzio ndio unaumia roho kwa yeye kuondokewa? Cha ajabu nyie akina yakhe kila siku ndio mnamwomba mola awapeleke Marekani na Ulaya. Nendeni Yemen na huko Iraq kama mnaamini katika waislamu wenzenu!
we
 
Look at the map of Europe and compare the NATO area in 1998 to the NATO area in 2022 (plus Finland & Ukraine) it's quite clear who is the true agitator, the real instigator
 
Jifunze kuwa mfuasi wa Mungu siyo mfuasi wa dini na viongozi wako wa makanisa we mtoto.... nonesense!!
 

Watu kama wewe Dk. Mollel aliwaona. Kipi nilichongeza kilicho kupa wewe makasiriko haya ewe Mrusi mwitu.

 
Hii mada uliomwelekeza mleta mada asome ili kumpa uelewa haina Jambo jipya na Wala haitoi majibu ya kile unachomkosoa.
 

Akikujibu usiache kutustua
 
Hiyo kazi kafanye wewe ambaye unaona kuwa alichokisema huyo Mrusi na walichocheka hao G20 wengine walikuwa na tafsiri sawa.
Hiyo taarifa ilikuja na maneno Warusi wa sijui wapi?
Acha kusumbua wakati hujui.

Siriaz ni wapi huko unakonitaka niweko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…