Lawrence Masha! Mpambanaji anayekaribia kupoteza pambano

Na hii ndiyo timu iliyomfuata lowasa chadema, tungekwisha! Mungu katuepushia mengi.
 
Ulipoweka hii thread hukutegemea Hilo? Kwasababu hata thread yako ilivyokaa imemlenga Masha personally ndio maana watu wanamuongelea kwa hisia zao.
Ukisoma kwa makini ni 50/50 +/-

Jr[emoji769]
 
Hahaha nimeona paragraph ya mwisho umesema ameacha LEGACY, naomba kuelewa ni LEGACY gani kaacha?! Au mimi ndio sielewi LEGACY ni nini mkuu. Naomba kueleweshwa kwenye hili.
[emoji23][emoji23][emoji23]kwenye msitu kuna majani na miti midogo pia, kuna vichaka pia na mimea mingine... Katika ujumla wake tunapata msitu /misitu

Jr[emoji769]
 
Sidhani kama watu watakuelewa zaidi ya wachache wazee wa samora na watoto wa mjini wapiganaji..

JENISTER MHAGAMA MUST GO.
[emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 

Kuna Mwanamke mmoja wa Kichagga alikuwa anaishi Kawe na sasa anaishi Mbezi Afrikana (Jina lake nalihifadhi) aliwahi kuniambia alichomfanyia huyu Jamaa baada ya Jamaa Kumtongoza, Kumsumbua na Kutishia Kumfukuzisha Kazi katika hiyo Hotel maeneo ya Baharini ambapo Dada huyu alikuwa ni Receptionist hapo hatokuja Kukisahau na ilibaki kidogo tu angemchafua katika Media ila aliamua tu Kumtunzia Heshima yake. H
ilo la Wake za Watu nakuunga mkono kwa 100% zote Mkuu.

Naomba niishie hapa tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…