Lazaro Nyalandu ataongea na Watanzania kesho kuelezea udhaifu wa Upinzani kupitia kipindi cha Clouds 360

bora angenyamaza tu
 
Waliondoka waliokuwa magwiji imara kama kina Slaa, Mdee nk na haikuyumba aje kuwa huyu wa kuja? Bila shaka hawezi kuwa na jipya la kusema
 
Apuuzwe.....mtu yeyote anaehama chama kisha aseme vibaya kule alikotoka..hasa wa nchi hii ni wa kupuuzwa
Njaa mbaya...mameno aliyoyasema Dr.Slaa (mihogo) kwamba kuhusu choo sebureni..sasa hivi anatamani ayafute...!!
 
Hebu acha upumbavu wako wewe!!! Hivi umewahi kuhoji kuhusu playing field in political arena? Is it the same to both parties. Acha kujitoa ufahamu kuhusu huyo mganga njaa. Eti hakuna upinzani wa kweli nchini wakati huo huo maccm yanahofia kuwepo kwa Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi.
 
Waliondoka waliokuwa magwiji imara kama kina Slaa, Mdee nk na haikuyumba aje kuwa huyu wa kuja? Bila shaka hawezi kuwa na jipya la kusema
Huyu mpiga scrub atajiharibia tu!! Ni kheri abakie kimya.
 
Kwa nini hayo madhaifu asingewaambia hao CHADEMA kabla ya kutoka huko ili kuwapa mbinu za kuwakabili wapinzani wao, mpaka asubir abadili Chama zen ayaanike hadharani?? Yatasaidia nini?

Asituchoshe!
Busara ni kitu adimu sana haswa kwa wanasiasa wengi nchini kwetu.
 
Huu ndiyo ukweli wenyewe, mengine ni siasa chafu tu. Hili hata CCM wanaompokea "mwana mpotevu" Nyalandu wanalijua, labda tu wale ambao akili haziwatoshi kuijua siasa.
 
Akieleza hayo ss watanzania tutapata faida gan?
 
Waliondoka waliokuwa magwiji imara kama kina Slaa, Mdee nk na haikuyumba aje kuwa huyu wa kuja? Bila shaka hawezi kuwa na jipya la kusema
Huyu malaya hana jipya, aendelee kugonganisha vi weita vya hoteli yake vinavyokunywa sumu kila mara kwa kumgombea boss wao.
 
..na ccm nao walisema ni nyalandu ni mwizi sasa amerudi kwao/ nyumbani, je, ccm wataanza kazi ya kumsafisha?
 
Hawa mashoga wa clouds kwa nini wasingeli balance kwa kumuita mtu wa cdm ajibu hoja za jangili nyurandu?
 
Eti nguli wa siasa, duh fani imevamia
Kwani watalam wenuewe wanasemaje
 
Tushawajua kuwa hao jamaa wanaendeleza aliyo kuwa anayapendelea jiwe
Hasa kale ka mama ka kwenye kipindi cha magazeti, kenye sauti kavu, kama ya wanaowinga ndege kwenye shamba la mpunga.
 
Ccm hawapaswi kumuamini Huyu hata kidogo, labda kama kwenda kwake cdm ilikuwa ni mission
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…