Lazaro Nyalandu ataongea na Watanzania kesho kuelezea udhaifu wa Upinzani kupitia kipindi cha Clouds 360

Atumie nguvu hiyo hiyo kuuliza kwa nini umaskini upo mfumuko wa bei wananchi hawana uhakika wa matibabu
 
Ni oora agekaa kimya kulinda heshima yake, lakini kubwabwaja ni ishara ya kuonyesha ni jinsi gai usaliti wake unamtesa! Msaliti i msaliti tu hata angejisafisha na kuchafua wengie kwa kiasi gani!
Tulia awavue nguo wanachaduma,unahofia nini,alipokuwa huko chaduma aliongea na wanahabari kwahiyo na sasa ni bora akaongea nao
 
Ufipa wana mhaho sasa hivi, NYALANDU anataka kuinyea kambi. Ila mbowe ni sikio la kufa, halisikii dawa. Aache kuchukua oil chafu, mwisho wa siku anachafuka na yeye
Aeleze kwa nini tuna umaskini miaka 60 ya uhuru hatuna uhakika wa matibabu wafanyakazi hawajapandishwa mshara
 
Kumbe Nyalandu is very smart, alitoka CCM tena akatema ubunge akaenda Chadema baada ya ujio wa Raisi Magufuli.
Nao Chadema wakaangukia mtego wake,wakamsafisha kuwa sio fisadi,akawatendea mema wasimshutukie hadi akapewa sifa za kugombea uraisi,akishindana na Lissu.
Sasa amerudi nyumbani CCM tena kuna tetesi kupitia Kigogo 2014 kwamba atalamba teuzi kubwa.
Hata tembo na twiga ameishawatumia salaamu wameanza kukimbilia makazi ya watu.
 
Kama ni mwanamume kweli naomba muda ukifika agombee URais Kwa tiketi ya CCM.
 
Wafanyakazi tunadai nyongeza ya mishahara
 
Ndiyo maana naamini kuwa kati ya wanasiasa wenye hekima, Lowasa ni miongoni.

Aliondoka CCM, hakupoteza muda wake kuisimanga CCM. Alitoka CHADEMA, hakupoteza muda kuisema.

MTU YEYOTE MWENYE AKILI TIMAMU, ATAMDHARAU MWANASIASA YEYOTE ANAYEJIFANYA KUANZA KUELEZA MADHAIFU YA CHAA CHAKE CHA MWANZO BAADA YA KUONDOKA AU KUONDOLEWA.
 
Clouds mna feli.
Mambo ya siasa za kishamba achaneni nazo.
Mtapoteza watazamaji kwa mambo ya kipuuzi.
Mie ni mtazamaji wa 360/lakini kesho sito angalia
 
Bado hamjajifunza tu. Jiwe yuko wapi? Wewe hauna uwezo wa kuona kesho na keshokutwa .mungu tu kwenye uwezo huo
 
Wakati mwingine ni bora uhame kimyakimya kutunza heshima yako. Alivyo hamia Chadema aliongea na wananchi akawaeleza mapungufu ya CCM, leo anaitisha press conference kuelezea mapungufu ya Chadema. Is he really serious?
 
Wakati mwingine ni bora uhame kimyakimya kutunza heshima yako. Alivyo hamia Chadema aliongea na wananchi akawaeleza mapungufu ya CCM, leo anaitisha press conference kuelezea mapungufu ya Chadema. Is he really serious?
Siasa ni sayansi bwashee, ngoja tumsikilize kwanza.
 
CCM itatawala milele mana upinzani wenyewe haueleweki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…