Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Alijikuta mahali pasipokuwa sahihi kwake,hivyo ni imani yake kuwa amerudi mahalo sahihi.Nyarandu kamanda mtiifu wa CDM kaiacha Chadema,ama kweli,,siasa' si hasa",,,!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alijikuta mahali pasipokuwa sahihi kwake,hivyo ni imani yake kuwa amerudi mahalo sahihi.Nyarandu kamanda mtiifu wa CDM kaiacha Chadema,ama kweli,,siasa' si hasa",,,!
Atumie nguvu hiyo hiyo kuuliza kwa nini umaskini upo mfumuko wa bei wananchi hawana uhakika wa matibabuAliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya kati na mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho mh Nyalandu kesho 3/5/2021 asubuhi atazungumza na taifa kupitia kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na runinga ya Clouds.
Wananchi wote mnaombwa kufuatilia ili muyselewe madhaifu ya upinzani na hasa Chadema na kwanini CCM itaendelea kutawala kwa miaka 50 ijayo.
Maswali na hoja zenu zitajibiwa na mwanasiasa huyu nguli na aliyetegemewa sana na Chadema.
Kazi Iendelee!
Tulia awavue nguo wanachaduma,unahofia nini,alipokuwa huko chaduma aliongea na wanahabari kwahiyo na sasa ni bora akaongea naoNi oora agekaa kimya kulinda heshima yake, lakini kubwabwaja ni ishara ya kuonyesha ni jinsi gai usaliti wake unamtesa! Msaliti i msaliti tu hata angejisafisha na kuchafua wengie kwa kiasi gani!
Aeleze kwa nini tuna umaskini miaka 60 ya uhuru hatuna uhakika wa matibabu wafanyakazi hawajapandishwa msharaUfipa wana mhaho sasa hivi, NYALANDU anataka kuinyea kambi. Ila mbowe ni sikio la kufa, halisikii dawa. Aache kuchukua oil chafu, mwisho wa siku anachafuka na yeye
Wafanyakazi tunadai nyongeza ya mishaharaAliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya kati na mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho mh Nyalandu kesho 3/5/2021 asubuhi atazungumza na taifa kupitia kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na runinga ya Clouds.
Wananchi wote mnaombwa kufuatilia ili muyselewe madhaifu ya upinzani na hasa Chadema na kwanini CCM itaendelea kutawala kwa miaka 50 ijayo.
Maswali na hoja zenu zitajibiwa na mwanasiasa huyu nguli na aliyetegemewa sana na Chadema.
Kazi Iendelee!
Ni kweli imedhaifushwa na polisi,tiss, bunge, tume na msajiriAmedai Chadema ni dhaifu sana!
Ila zaburi za Lema zinakuwekea fedha mfukoniYatatusaidia nini wakati mifukoni hatuna kitu
Clouds mna feli.Aliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya kati na mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho mh Nyalandu kesho 3/5/2021 asubuhi atazungumza na taifa kupitia kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na runinga ya Clouds.
Wananchi wote mnaombwa kufuatilia ili muyselewe madhaifu ya upinzani na hasa Chadema na kwanini CCM itaendelea kutawala kwa miaka 50 ijayo.
Maswali na hoja zenu zitajibiwa na mwanasiasa huyu nguli na aliyetegemewa sana na Chadema.
Kazi Iendelee!
Bado hamjajifunza tu. Jiwe yuko wapi? Wewe hauna uwezo wa kuona kesho na keshokutwa .mungu tu kwenye uwezo huoAliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya kati na mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho mh Nyalandu kesho 3/5/2021 asubuhi atazungumza na taifa kupitia kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na runinga ya Clouds.
Wananchi wote mnaombwa kufuatilia ili muyselewe madhaifu ya upinzani na hasa Chadema na kwanini CCM itaendelea kutawala kwa miaka 50 ijayo.
Maswali na hoja zenu zitajibiwa na mwanasiasa huyu nguli na aliyetegemewa sana na Chadema.
Kazi Iendelee!
Kuwa mvumilivu bwashee!Clouds mna feli.
Mambo ya siasa za kishamba achaneni nazo.
Mtapoteza watazamaji kwa mambo ya kipuuzi.
Mie ni mtazamaji wa 360/lakini kesho sito angalia
Wakati mwingine ni bora uhame kimyakimya kutunza heshima yako. Alivyo hamia Chadema aliongea na wananchi akawaeleza mapungufu ya CCM, leo anaitisha press conference kuelezea mapungufu ya Chadema. Is he really serious?Aliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya kati na mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho mh Nyalandu kesho 3/5/2021 asubuhi atazungumza na taifa kupitia kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na runinga ya Clouds.
Wananchi wote mnaombwa kufuatilia ili muyselewe madhaifu ya upinzani na hasa Chadema na kwanini CCM itaendelea kutawala kwa miaka 50 ijayo.
Maswali na hoja zenu zitajibiwa na mwanasiasa huyu nguli na aliyetegemewa sana na Chadema.
Kazi Iendelee!
Siasa ni sayansi bwashee, ngoja tumsikilize kwanza.Wakati mwingine ni bora uhame kimyakimya kutunza heshima yako. Alivyo hamia Chadema aliongea na wananchi akawaeleza mapungufu ya CCM, leo anaitisha press conference kuelezea mapungufu ya Chadema. Is he really serious?
Aliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya kati na mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho mh Nyalandu kesho 3/5/2021 asubuhi atazungumza na taifa kupitia kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na runinga ya Clouds.