Lazaro Nyalandu: Tatizo kubwa la CHADEMA ni Uongozi wa juu, CCM imejaliwa mfumo

Nadhani Chadema Pia walishiriki Msiba sasa unaposema Uongo kwamba Walikushambulia kwa kweda Msiba wakati na wao walikuepo nashangaa sana Wanasiasa nyie..Nyie watu ni waongo sana..Siasa inaonekana kazi ya ajabu ya kiuogo uongo kwa ajili yenu.

MIMI sio shabiki wa chadema ila naona kama Mbowe akitoka upewe wewe ambae umekimbia siku mbili tu si ungewaulia chama chao??

NAO ni Wajanja walikustukia...
 
Mkuu' JK alishapigilia msumari long time "AKILI ZA KUAMBIWA, CHANGANYA NA ZAKO", Sisi tutaaminije hayo??

Mwenye akili na afahamu
 

Huyu muda wote alikuwa kwenye lile pakacha. Hata lilipovuja mchukuzi alikuwa na haki ya kufurahi.

Kuondoka kwake Chadema hakuna athari zozote.
 
Hao chadema walikuwa sahihi kumtosa! Na ushahidi wa yeye kuto kuaminika kama kada mwenzake Lowasa, ndiyo huu wa kurudi kwake nyumbani. Ingawa pia siungani nao kwa huu utaratibu wao wa kuwapokea makada wa ccm, na kuwapa vyeo vya kamati kuu na vile vingine vya kanda, na mwisho wa siku wanaishia tu kuwaacha kwenye mataa.

Ifikie wakati Chadema iwekeze kwa wanachama walio safi, badala ya kuendeleza tabia ya kuokoteza makombo kutoka ccm!
 


Nyalandu alitumwa / alipewa KAZI MAALUM DHIDI YA CHADEMA.
 
Bora amenyimwa.
Kwani alipoenda huko alifuata Uraisi?
Angekua muwazi kama mzee Lowassa
Huyo ni sawa na mnyama alitekatwa mkia akiingia zizini wenzake humwogopa.
Nadhani angesema yale aliyokua amelalamikia yakamfanya aondoke ccm sasa anaona yatakwisha au yamekwisha.
Walio wengi wangemuona anamaana sana
 
"..Nyalandu alipata 100 wajumbe walikuwa 30 nilipata kura zote Tundu Lissu alipata kura 24 nilimgalagaza kweli kweli" . Ebu nieleweshe hii hesabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…