Lazaro Nyalandu: Tatizo kubwa la CHADEMA ni Uongozi wa juu, CCM imejaliwa mfumo

Karudi ccm kwa hasara why hakuhama zama zile za manunuzi afute pesa.
Ukishaondoka ccm ukarudi sahau kabisa kupata nafasi tena hayo yalifaa zama zile za ccm ya mwendazake
 
Nilimuona kama matured na civilized kumbe hana tofauti na lijuakali
 
Nyarandu binafsi nakueshim na mahamuzi yake nayaeshim,ila asiwe muongo na kutafuta huruma ya kupata cheo ccm, kamati kuu hata Kama alimgalagaza mh lissu, so alitaka jina lake ndo lije tu barazakuu bila wagombea wengine ? Si ndo maana jina lake pia halikukatwa yakiwemo na wenzake ambao anadai aliwashinda kupelekwa baraza kuu la chama kumpata mtu mmoja KWA kupigiwa kura na kugalagazwa vibaya Sasa hapa tatizo liko wapi? Mbona alipo KWA Sasa wote waliotaka kugombea au kutia nia walishughulikiwa, na form ya mgombea wa chama chake ilikua moja, so Kama anasema mfumo wa chama alichotoka sio mzuri ,vipi anauzungumziaje mfumo wa chama chake Cha Sasa kuanzia majimboni mpaka taifa katika mchakato mzima wa mwaka jana!
 
hapo nyarandu umenena na hiki kirusi kinachoitafuna CDM hakitaisha sababu kuna kundi ndani ya chama hicho wao kwa siasa ni uadui.kila anayefanya kinyume na mtazamo wao kwao ni adui.wajipange upya sababu hata wafuasi wao wanaanza kukata tamaa na chama chao.migogoro haiishi,matusi hayaishi sasa hicho ni chama au ni genge tu la wahuni fulani?
 
Clouds wamenisikitisha Sana kumpa huyu jamaa airtime

He is not trustworthy hata kidogo... He has demonstrated it over and over again

Enzo za akina aunty Ezekiel, how he ran the ministry, his decision to join chadema and how he is now mudslinging watu waliompokea,

Huyu jamaa joined chadema because he knew lowasaa would win the 'erection'
 
Mkutano mkuu wa Uchaguzi wa Chadema kwa kiasi kikubwa (kifedha) ulifanikishwa na Nyalandu.
 
Nyalandu Leo kawavua nguo, Safi sana
Kawavua nguo wakina nani.?unaonesha upeo wako wa kuhoji mambo unaishia wapi zaidi ni ushabiki maandazi mzee wewe ni kopo tupu kichwani hamna kitu. Mtu yeyote mwenye akili timamu hawezi kumsikiliza huyo Nyalandu.
 
Mbowe achie ngazi umelalamikiwa na wengi,.
ipo siku hao unaowalipa kukutetea watachoka.
Mbowe ataachia cheo chake KWA wakati na mda muhafaka, sio KWa matakwa yenu ili mpate mwanya wa kuweka mapandikizi yenu, mfano Nyarandu, nk Chadema ni imani, chama kimejengwa KWA dam na jasho that's ukija na jazba za kukiua , unakufa au kupotea kisiasa ila bado hamuelewi, wapi, WASIRA, n.k
 
Aache porojo atulie atapata cheo kwani ccm hakuna shida ya uongozi?
Anakimbia CCM kwenda CDM na kutegemea kwamba mila, destruri, taratibu , dua , sara na mengine yoyote, yatafanyika kama CCM. Ni kama vile unaacha kazi na unapata kazi nyingine na kutegema same job descriptions. Ni ujuha wa hali ya juu sana... utapeli wa kisiasa aache kwa kweli...
 
Tatizo kubwa la ccm na vibaraka wao ni Mbowe wanashidwa kumwondoa ili waweke vibaraka wao kuuwa chama, walijaaribu kwa kumtumia Mwambe,, Sumaye, Nyalandu na wengine ili kupanda mtu wao na chadema mbinu hizo wanazijua
Kweli mkuu, sasa imagine mtu kama huyu unampa CHAMA, si anakiuza tu asubuhi wakati wa supu!!
 
Sikujua kumbe huyu jamaa hata uwezo wa kujenga hoja hana, sijui alikwenda kufanya nini pale 360...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…