Macho yetu yaliyoshuhudia mambo yaliyotendeka tangu January 2016 hadi Desemba 2020 hakika tutaungana na Mwingira na Zitto.
Tazama:
1. Maiti kuokotwa kwenye viroba
2. Watu kupotea Ben Wa Saanane, Azory
3. Nyumba kuungua moto kimiujiza ... Nyumba ya Zitto
4. Mashamba kuharibiwa ...shamba la Mbowe, Zitto, ..
5. Magazeti kupigwa ban
6. Sabaya kupora mamilioni ya wafanyabiashara
7. Wanasiasa wa Uwanja wa Fisi kununuliwa kama njungu
8. Lissu kupigwa risasi mchana kweupe katika makazi yenye ulinzi mkali
9. Kupimana mikojo kusiko na tija
10. Clouds FM kuvamiwa na makiri kiri
11. Vifo vilivyotokana na stress za kutumbuliwa, kufukuzwa vyuoni na kuitwa vilaza huku malaika wa vilaza Jesi akiendelea kusoma
 
Ulitaka Watanzania wakuone wewe Hufai....

Jaribu kusema vibaya JPM.


Kuna watu waliamini kabisa, kua Kuja kwa Samia kutaleta unafuu mahali Fulani.


Maajabu, Maisha yamekua juu juuu .
 
Labda UN kwa bb yako
 
Nina mashaka na uelewa wako juu ya neno legacy.

Kitu kama hukijui funga domo lako badala ya kuwalazimisha watu waamini kile unachokiamini wewe.

Pumbaf
 
Wapinzani wenzangu ni wabishi sana. Hasa wanaCdm wenzangu
Mnapombatiza usafi muuaji mnajipotezea Muda tu. Magufuli Kwa dini yake alipaswa kuwa Mtu mwema na matendo yake Leo yangeliunganisha Taifa. Lakini Kwa ubabe wa kijinga akaona njia rahisi ni kutawala Kwa mkono wa Chuma na kuumiza wote anaopishana nao kauli.
 
Nina mashaka na uelewa wako juu ya neno legacy.

Kitu kama hukijui funga domo lako badala ya kuwalazimisha watu waamini kile unachokiamini wewe.

Pumbaf
Lugha yako tu inaonyesha level yako! Too low.
 
Ninaomba anayeelewa anieleweshe watanzania walienda wapi kiasi cha kumfanya JPM kukosa kura mpaka akapanga kuiba au kujitangazia ushindi wake mwenyewe , wabunge wake na madiwani kwa nguvu?
 
Ninaomba anayeelewa anieleweshe watanzania walienda wapi kiasi cha kumfanya JPM kukosa kura mpaka akapanga kuiba au kujitangazia ushindi wake mwenyewe , wabunge wake na madiwani kwa nguvu?
Kwa uchaguzi wa 2020 kusema Magu aliiba eti kura labda muwe na tatizo la ukichaa kwenye ukoo wenu. Nakumbuka kwenye kuwanadi wabunge alitumia kauli tatu tu za mauaji;
1. Nipeni connection.
2. Msichanganye betri na gunzi tochi haitawaka.
3. Nipeni huyu wa ccm ninammudu mkinipa hao wengine hata wakiboronga nitashindwa kuwawajibisha.
 
Lakini kuna mahala alishangaa kwa nini watu wengi walijitokeza kumpinga kwenye nafasi ya urais
 
First, let’s not make the mistake of intellectual simpletons. We need to bow to the basic fact that Dr Magufuli is a rare breed.


But Dr Magufuli stood out in his humility and self-deprecation. He shunned wealth, and fame In a country where thieves are celebrated, and murderers elevated — Dr Magufuli is the one public servant who forsook worldly possessions. Mark 8:38 asks: “For what shall it profit a man if he shall gain the whole world and lose his soul?” Methinks the author in the good book must have had Dr Magufuli in mind.


The simplicity of this Societal and moral giant is the one thing that remains an enigma to me and many. He always roots for the little guy. He abhors hierarchy and disdains flamboyance, he was ruthlessly self-critical and accepted the harshest critiques of himself. He always puts himself last. He’s a rare breed.


Second, folks should know that Dr Magufuli didn’t want to become President. He laughed off the idea when it was first suggested to him. He was dead serious. And even after he was convinced to put his name to apply for the job, he almost backed out.

That’s because he’s uncomfortable with state power. I’ve never told him this — but I believe he thinks that state power atrophies the hearts of men and women, and turns them into predators. It’s possible that he was afraid he would become an ogre in that office.

That’s why he worked so hard to demystify the Executive, and bring the temple of Executive service delivery closer to the common folk. This cultural transformation may be his most important legacy.
RIP Dr Magufuli.
 
Ninaomba anayeelewa anieleweshe watanzania walienda wapi kiasi cha kumfanya JPM kukosa kura mpaka akapanga kuiba au kujitangazia ushindi wake mwenyewe , wabunge wake na madiwani kwa nguvu?
Je vipi na legacy uchwara yaweza futika au nayo itasalia
 
How many of us can stand to be counted together with you?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…