Nyangomboli
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 3,501
- 1,956
Mtoa maada uko sahihi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Steve Nyerere sawa lakini siyo Julius Kambarage Nyerere.Baada ya nyerere ........magufuli anafuata
Nyie form six hamuwez elewaSteve Nyerere sawa lakini siyo Julius Kambarage Nyerere.
J K Nyerere mpaka anakufa barabara tu ya kutoka njiapanda kwenda Butiama Kilomita 10 ilikuwa haina lami.
Huyu mwizi wa Raslimali za nchi yetu kwa miaka 5 kajenga Airport yenye runway ya kimataifa na Hospitali ya RUFAA.
Kumlinganisha Magufuli na J K Nyerere ni kumdhalilisha Baba wa Taifa. Baba wa Taifa halinganishwi na takataka
Nina MBA ya mwaka 1993Nyie form six hamuwez elewa
Ya uuaji,kwani Ben yuko wapi?Legacy ipi hiyo jamani
Wasomi wa tanzania ndiyo mambumbu wakubwa wanaelimu ila hawana akili ," usomi wao ni kama kitabu tu kinaelimu ila hakina akili"Nina MBA ya mwaka 1993
Hongera sana kwa kufurahia UJINGAWasomi wa tanzania ndiyo mambumbu wakubwa wanaelimu ila hawana akili ," usomi wao ni kama kitabu tu kinaelimu ila hakina akili"
Mjinga mwenya akili ila wewe ni msomi asiye na akili " aka mmpumbavu"yaani mtu msomi ila akili hana ni mpumbaavuuHongera sana kwa kufurahia UJINGA
sijui kwanini kujenga hospital kile tunaona shida wakati kunabinadamu sawa na sehemu zingine zenye hospital za ngazi ya rufaa zaidi ya mojaSteve Nyerere sawa lakini siyo Julius Kambarage Nyerere.
J K Nyerere mpaka anakufa barabara tu ya kutoka njiapanda kwenda Butiama Kilomita 10 ilikuwa haina lami.
Huyu mwizi wa Raslimali za nchi yetu kwa miaka 5 kajenga Airport yenye runway ya kimataifa na Hospitali ya RUFAA.
Kumlinganisha Magufuli na J K Nyerere ni kumdhalilisha Baba wa Taifa. Baba wa Taifa halinganishwi na takataka
Wapinzani wenzangu ni wabishi sana. Hasa wanaCdm wenzanguWaache wapoteze muda.
Hangaya mwenyewe pamoja na kuwa rais anaogopa kujitenga waziwazi na JPM maana anajua nchi bado inaishi kwa kivuri Cha Jiwe.
Kujitenga na JPM ni samaki nje ya maji.