greenwoods
JF-Expert Member
- Sep 21, 2020
- 2,328
- 3,955
Ni mpumbavu tuu kama wewe ndiye anayedhani ataishi milele.Linabanikwa kama ndafu huko jehanam
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mpumbavu tuu kama wewe ndiye anayedhani ataishi milele.Linabanikwa kama ndafu huko jehanam
Sasa watu waache kufanya maendeleo kisa nyerere hajafanya? nyerere aliwekeza kwenye mambo ya ukombozi na vita, ndio maana taifa likawa maskini hadi leo, Magufuri alikuja na kujenga miundombinu,kama hospital huko Musoma kuna hospital ilikuwa imeshindikana imekuja kumaliziwa na Magufuri,hatuwezi kuiga nyerere kila kituSteve Nyerere sawa lakini siyo Julius Kambarage Nyerere.
J K Nyerere mpaka anakufa barabara tu ya kutoka njiapanda kwenda Butiama Kilomita 10 ilikuwa haina lami.
Huyu mwizi wa Raslimali za nchi yetu kwa miaka 5 kajenga Airport yenye runway ya kimataifa na Hospitali ya RUFAA.
Kumlinganisha Magufuli na J K Nyerere ni kumdhalilisha Baba wa Taifa. Baba wa Taifa halinganishwi na takataka
Hiyo yako tu.Legacy kubwa ya Magufuli aliyoaiacha na itakumbukwa kwa vizazi vingi ni kuwa Rais wa nchi akiwa ni mgonjwa wa akili.
Hiii ni legacy ya pekee sana maana vichaa wengi huishia barabarani lakini yeye kaishia ikulu,what a legacy!
Pole chadema inakunyima raha kweliBonge moja la uzi... tatizo humu robo tatu ya watu wote ni wale walioathiliwa na magu direct or indirect, hawa ni wale waliotumbuliwa, machadema na mianaharakati uchwara, matajiri wanyonyaji wa raia, wakwepakodi, nk!
walitafuta chaka lao ndo wakalipata huku... wataponda lakini ukweli ndo huo, wanaumia sana na huu ukweli wa kuona mtu kafa lakini bado anasifiwa km yupo hai vile
Wewe ni nani mpaka ujuwe dhambi za mwenzio !!?? acha umatakoWapi nimesema kuna mtu ataishi milele? Hapa nazungumzia adhabu ya mtenda maovu baada ya kufa. Tumia akili badala ya kinyeo kufikiri.
Wacha kuandika pumba hapa. Magufuli alikuwa anaoenda miradi ya ujenzi kwa vile ilikuwa ndiyo njia yake kubwa ya kuiba hela.Sasa watu waache kufanya maendeleo kisa nyerere hajafanya? nyerere aliwekeza kwenye mambo ya ukombozi na vita, ndio maana taifa likawa maskini hadi leo, Magufuri alikuja na kujenga miundombinu,kama hospital huko Musoma kuna hospital ilikuwa imeshindikana imekuja kumaliziwa na Magufuri,hatuwezi kuiga nyerere kila kitu
Sasa ni yupi mwema,huyu kachua pesa za nchi kawekeza kwenye ukombozi na vita,kitu ambacho kilikuwa ni kutafuta sifa,mwingine kajenga miundombinu kama hospital,barabara,shule vyote vipo, sanasana wabaya wake wanasema kajenga uwanja wa ndege chato,utafikiri chato ni Burundi,kwani Magufuri kujenga uwanja wa ndege chato kuna ubaya upi,wakati uwanja hupo?Wacha kuandika pumba hapa. Magufuli alikuwa anaoenda miradi ya ujenzi kwa vile ilikuwa ndiyo njia yake kubwa ya kuiba hela.
🤣🤣🤣🤣 Ininyime raha kwa lipi la maana walilolifanya? Hata siku mona siwezi kunyimwa raha na chadema ambayo kila siku inaitafuta hiyo raha na hawaipati
🤣🤣🤣🤣 Wachumia tumbo bana... Mshajipa uMungu sasa. Mnaamza kutoa na adhabu kabisa.... Aiseee (hapa ngoja nisikitike kidogo) 😂😂😂Wapi nimesema kuna mtu ataishi milele? Hapa nazungumzia adhabu ya mtenda maovu baada ya kufa. Tumia akili badala ya kinyeo kufikiri.
Ulitaka awe shoziniga kama mama yenu anavofanya siku hizi???😳😳😳Wacha kuandika pumba hapa. Magufuli alikuwa anaoenda miradi ya ujenzi kwa vile ilikuwa ndiyo njia yake kubwa ya kuiba hela.